Masasi wasimamisha zoezi la sensa tangu jana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masasi wasimamisha zoezi la sensa tangu jana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mnyanyaswaji, Aug 30, 2012.

 1. mnyanyaswaji

  mnyanyaswaji JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 469
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Habari,
  Nawatch Channel 10 habari, makarani wamesitisha zoezi la kuhesabu wananchi kwa kukosa vifaa. Zoezi limesimama kuanzia jana.
   
 2. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,832
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Mkuu,sio Masasi tu,huku kwetu Ulanga-morogoro zoezi limesimama siku ya tatu leo,sababu ni ukosefu wa madodoso!
   
 3. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jk bana hata sensa umeshindwa kusimamia
   
 4. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Hili zoezi lilionekana lina matatizo mapema tu, lakini watu waliziba masikio. haya, ngoja tuone mwisho wake. ila binafsi naamini tutaishia kulishwa COOKED DATA. hili li-serikali la ccm magamba/mafisadi/majambazi/wauaji limeishiwa. hata yaliyo ndani ya uwezo wake nayo pia SARAKASI tupu. BALAA GANI JAMANI HILI LI-SERIKALI????


  Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, ili waelimike waliondoe madarakani hili li-serikali la ccm magamba/mafisadi/majambazi/wauaji.
   
 5. Bartazar

  Bartazar JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 805
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Hili li-serikali ni janga kwa taifa. Toka jumatatu hakukuwa na dodoso refu. Wameleta leo fotokopi ya madodoso halisi, leo alhamisi, sasa sijui mashine itasomaje haya makaratasi. Kila kitu serikali hii imeshindwa. Watendaji wa vitongoji wamegoma kutoa ushirikiano kwa makarani wa sensa kwa sababu wamelipwa sh. 12,000/= tu wastani wa sh. 1550/= kwa siku. Wameona kazi hii ni kupoteza muda na ni bora wakaendelea na shughuli zao. Wamesema sh, 12,000/= yaliyolipwa imefidia kazi za siku ya kwanza tu, hivyo makarani wanazunguka peke yao. Sasa kama serikali inashindwa hata zoezi lililoanza kuandaliwa tangu miaka kumi iliyopita, itaweza jambo gani? Madaktari, walimu, kote imefeli, hata sensa? Kama haiwezi, si iwapishe wengne wafanye? Kweli kabisa, kwa kiwango kikubwa data zitakazopatikana kutokana na zoezi hili, hazitakuwa realistic!
   
 6. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  gwenga! Hamjagoma?mi ninavyojua mpogoro ni mwiko kuhesabiwa.
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Embu serikali ya ccm ituambie hayo mabilion ya fedha yaliyotengwa yameishia wapi kama wanafanya wizi kwa mambo wanayojaribu kuhubiri ni kwa maendeleo sijui tuwaelewe je?
   
 8. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwa ustaarabu na faida kwa taifa ccm must resign kama mambo madogo na yanayohitaji maandalizi mapema kama haya mmekuwa mkishindwa
   
 9. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,776
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Inasemaka zoezi la sensa halikuweza kusimamishwa mbali na malalamiko mengi kuhusu kasoro zilizojitokeza kabla sababu ikiwa ni kuwa serikali ilishajiandaa muda mrefu kwa ajiri ya shughuli hii.

  Kwa hiyo aliyetoa kauli hiyo alilidanganya Taifa.
   
 10. N

  Nonda JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Serikali ilisema sensa ina lengo la kupanga mipango ya maendeleo. Ni wazi serikali haina mpamgo wa kupeleka maendeleo sehemu husika kwa hiyo kila sababu inahitajika ili zoezi la sensa lisifanikiwe na hivyo ndivyo wanavyofanya.

  Sio ajabu baada ya muda mfupi tukaambiwa kuwa sensa inarudiwa ili bilioni nyengine za walipa kodi ziingie mifukoni mwa wajanja.
   
 11. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #11
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,776
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Nonda: Zoezi hili likirudiwa nitakuwa wa kwanza "kumvika paka kengele"
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #12
  Aug 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hata mimi sijahesabiwa kutokana na serikali laghai ya JK/CCM.
   
 13. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #13
  Aug 31, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Hata vitambulisho vya taifa ni usanii mtupu hata sensa wanachakachua kweli serikali ya dhaifu imepoteza dira
   
 14. mnyanyaswaji

  mnyanyaswaji JF-Expert Member

  #14
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 469
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mi nadhani hizo Billions zilitengwa kutafunwa. Haiwezekani hata madodoso yakakosekana, Je wengine wasingegoma je ingefika hata siku 3 zoezi?? Hapo tu wengine wamesusia
   
 15. m

  master gland Senior Member

  #15
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Yaani hadi aibu, nilikuwa naongea na msimamizi wa hili zoezi anajuta kabisa kuwa kwenye hili zoezi
  Inaonekana hawakujipanga kabisa hawa watu.WANATUMIA PHOTOCOPY WAKATI HIZI FORM INABIDI ZISOMWE KWENYE MASHINE MAALUMU?

  Navyofikiri wanafahamu kabisa mashine zitshindwa kusoma ILA WANAAMUA KUANUA MPIRA JUANI TU,
  HII NI AIBU MI NIPO HAPA MASASI DODOSO REFU WALIMALIZA FORM SIKU ILEILE YA KWANZA
  KINACHOFUATA HAPA NI KUFANYA MAKADIRIO TU YA DATA
   
 16. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #16
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,740
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  I remember my great professor of philosophy, Dr. Prince, used to challenge his class this way "If you aim at nothing, be sure you'll hit the mark".

  I feel JK is just doing that and is reaping results.
   
 17. 7

  7ceven Member

  #17
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 67
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duh! Aisee, Mbesa za walipa kodi hapa zimeungua. Kila kona problems.
   
 18. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #18
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hata nami karani nitakuwa nimekula ya soda km hela za sensa zimetafunwa na ni kweli. Jk yeye ataambiwa ilikuwa poa atangaze idadi kamili.
   
 19. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #19
  Aug 31, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  siku ya tano bado hatujahesabiwa kwenye kamtaa ketu!!
   
Loading...