Cwt waipa serikali siku saba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cwt waipa serikali siku saba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Magesi, Aug 30, 2012.

 1. M

  Magesi JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Chama cha walimu tanzani CWT kimeipa serikali siku saba kufuatia amri ya mahakama ya kuitaka serikali kukutana na CWT na kufanya majadiliano kuhusiana na madai ya walimu SOURCE ITV
   
 2. M

  Meshack G Senior Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Vip serikali inagoma nini kufanya hayo majadiliano,?!! wakati mahakama ilitoa amri ya majadiliano ya mezani kati ya pande mbili. Serikali sikivu huwa sikivu kwa wafanyakazi wake na hata wananchi wote kiujumla.
   
 3. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Walimu kama watoto!
   
 4. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Du part 2 ya hili movie imeanza ngoja nikae mkao wa kula, serikali haichelewi kusema walimu wametumwa na M4C!
   
 5. M

  Meshack G Senior Member

  #5
  Aug 30, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Acha dharau ww? Mwalimu ndiye aliyefanya ww uchangie hapa JF.
   
 6. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  umenena meshack.watu wengine bana hawafanani na elimu zao
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Na hiyo altimatum ya siku 7 ina masharti gani? Watarudi kunako mgomo tena?
  Au mtaambiwa LIWALO NA LIWE!
   
 8. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sio dharau kijana, tatizo hawana mshikamano, they are NOT focused and divided. Kujikomboa ni shughuri.
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mie wananiudhi, hawana msimamo kabsaaa!!
   
 10. N

  Ndogue Ndogue Member

  #10
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Walimu tusikate tamaa,wataeleweka tu.NO PROGRESS WITHOUT STRUGGLE!ALUTA CONTINUA!VIVA TEACHERS!VIVA CWT!WE HAVE TO SHOW THEM WE ARE THE JACK OF ALL TRADES.AMAAAAANDLAAAAAAAA
   
 11. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #11
  Aug 30, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  kwa hili sawa but la kwanza umepotoka mkuu...
   
 12. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndio logic ya kauli yangu!
   
 13. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #13
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nashukuru umenielewa BUT hawa cwt nao waangaliwe kwa macho mawili, ni chanzo cha wao kutanga tanga!
   
 14. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #14
  Aug 30, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Pumbavu wewe,umesomea wapi? ulifundishwa na nani mpaka unaandika hapa? kuku wewe.
   
 15. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #15
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Hawa nao!!!
   
 16. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #16
  Aug 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku mamluki wakiondolewa katika ualimu,solidarity itakuwepo,kwa sasa kuna former barmaids waliochakachua vyeti hawawezi kamwe kuivimbia "sirikali"
   
 17. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #17
  Aug 30, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mukoba hivi unakufaham mambwepande? We endelea wakusikie akina.......bahati mbaya mtetezi mwanahalisi kafungiwa.
   
 18. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #18
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ujinga ndio shibe iliyo tulevya
   
 19. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #19
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hii move starling & killer washajulikana na starling akishajulikana inamaana msindi anajulikana nikimaanisha walimu bado kabisa hawajawa na ushirikiano wa kusema sasa tunagoma mpaka kieleweke
   
 20. e

  emkey JF-Expert Member

  #20
  Aug 31, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 728
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kajifunze kuandika, au ndo kinachokufanya uwadharau walimu?
   
Loading...