Naona kama maono kumbe ndivyo ilivyo.

Tukundane

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
11,455
8,248
Nimewakuta wanaccm walioko kwenye uchaguzi wa ndani ya chama kwenye mughahawa mmoja wapo wilayani mbozi.wakilalamika kuwa wakati wanaelekea kwenye chaguzi. wameshuka kwenye kijiji fulani ili wajipatie chakula. wauzaji walipo waona wamevaa kijani waliwaambia kuwa mungekuwa cdm tungewauzia chakula lkn kwa vile ninyi ni ccm hatuwezi kuwauzia bora masufuria yetu yalale yakiwa yamejaa chakula kuliko kuwauzia ninyi.Nikiwa ninatafakari kuwa ni kweli kitu hicho kinaweza kutokea kwa ccm ambayo inajivunia kuwa na wapiga kura wengi vijijini.Nimempigia cm mkaazi wa eneo hilo.Akasema kuwa wana ccm waliposimama kwa lengo la kupata chakula walipoanza kushuka kijana mmoja alipoona gari imejaza watu wengi alilazimika kuchungulia ili aangalie watu waliojazana humo ni wa namna gani.alipoona ni kijani tupu alisikika akisema kuwa kumbe ni mafisadi.lugha ilio waudhi wanaccm na kutaka kumshambulia. wenzake walimsadia kwa kuwashambulia wanaccm ambao walijiokoa kwa kukimbilia kwenye gari baada ya kuona kuwa hakuna anae wasadia.
 
Usitake tufike huko kaka utajilaumu mwenyewe. Uliza yaliyotokea Zanzibar utafakari kisha uchukue hatua
 
  • Thanks
Reactions: Ame

Kamba bin fix
 
mtanisamehe kwa hili lakni nkimwona mtu mzima kavaa kijani nashindwa kumtofutisha na mtoto mdogo
anaedanganyiwa pipi au kutishiwa nyau akakubali kula.
sina chama lakini nkisikia kijani au mtu anasifia CCM namuona kama mtu aliepungukiwa na ufahamu kichwani
 
Yataka moyo na ushujaa wa hali ya juu kuvaa vazi la kijani ukatembea mtaani au barabarani.
 
Back
Top Bottom