Mbunge wa ubungo 2015, JJ Mnyika VS Shehk ponda, piga kura yako"

Status
Not open for further replies.

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,492
5,040
Kumekuwa na maneno mengi ya hapa na pale kufuatana na gazeti Al-huda kuandika habar ya shehk ponda kugombea ubunge 2015 ubungo. Wapo wengi wanapinga kuwa hana uwezo huo lakin pia wapo wengi wanaosema anafaa.

Sasa piga kura yako kati ya JJ Mnyika vs Shehk ponda na utoe na vigezo ni nani anayefaa zaidi.

Karibuni & piga kura yako.
 
hivi kumbe sio wote waliomo JamiiForums ni GreatThinkaz eeeh! maana GretThinkaz wengine wanalazimishia wenzao BAN.
 
Ponda asiyependa sensa ambayo ni kiini cha maendeleo nani ampe kura yake labda agombee ual-shababu
 
Ponda amegomea sensa, vitambulisho vya taifa, uchaguzi nk. Kwa ufupi hatagombea wala kupiga kura
 
Sasa ponda ni nani kwenye siasa?
Kwanza hawezi kuruhusiwa kugombea!
Ana makosa mengi sana!
 
Ponda asiyependa sensa ambayo ni kiini cha maendeleo nani ampe kura yake labda agombee ual-shababu
Kashfa, dharau, kejeli kwa Waislamu ndivyo vilivyoifikisha nchi hapa ilipo! litafutwe suluhisho!
Je unaonaje Waislamu kwa wingi wakihamishia adress zao za ukazi ubungo ili wakamchague Sheikh Ponda?
Sensa ilikuwa hivihivi tulisema hapa mwanzo kabisa itafutwe suluhu tukaambiwa "tokeni mapovu mpaka mwisho lakini kipengele cha dini hakiingizwi period" ,"sahani za pilau zikitembezwa tu watatulia" n.k angalia sasa mabilioni ya pesa yanateketea bure!
Na ninafikiri hakuna funzo lilopatikana kutokana na sensa.
 
Sema na chama uyo ponda atakacho gombea magamba, ADC au cuf?

Kumekuwa na maneno mengi ya hapa na pale kufuatana na gazeti Al-huda kuandika habar ya shehk ponda kugombea ubunge 2015 ubungo. Wapo wengi wanapinga kuwa hana uwezo huo lakin pia wapo wengi wanaosema anafaa.

Sasa piga kura yako kati ya JJ Mnyika vs Shehk ponda na utoe na vigezo ni nani anayefaa zaidi.

Karibuni & piga kura yako.
 
nchi hii iliyomilikiwa na mtakatifu nyerere na mnajitahidi kutaka kummilikisha padre slaa 2015 ni lazima mtamkejeli shekh ponda mwenye uwezo mkubwa wa kuondoa udhalimu ktk nchii. Mnyika hana uwezo kumlinganisha na shekh ponda.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom