Angola kama Tanzania tu - Tume yake ya uchaguzi yafanya madudu, uchaguzi waharibika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Angola kama Tanzania tu - Tume yake ya uchaguzi yafanya madudu, uchaguzi waharibika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Aug 31, 2012.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kuna vurugu kubwa nchini Angola katika uchaguzi uliopangwa leo -- vyama vya upinzani vyasusia sababu orodha ya majina ya wapiga kura yaliyowekwa juzi yana kasoro kubwa, wengi wapigakura hawaoni majina yao na wengine yamehamishiwa vituo vingine vya mbali.

  Kweli Miafrika ndivyo tulivyo -- demokrasia hawaitaki, wanapenda kuwepo vurugu kila siku. Angola wanasahao vita ile ya miaka 25.

  Hivi hizi nchi za Afrika huambizana namna ya kuvuruga chaguzi? mbinu ni zile zile!


  Source; BBC
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Balaa hili sasa kwa Africa

  I was scheduled to be there kuanzia tar 9 mwezi wa tisa.......... Aisee!!!
   
 3. p

  petrol JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 322
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Unapokuwa na rais aliyeapa kufia madarakani unategemea nini jipya. Ni uchakachuaji wa kura mtindo mmoja, hakuna cha demokrasia wala kauli/chaguo la wananchi.
   
 4. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #4
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Mh, jamaa anataka afie madarakani!...
   
 5. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  mbinu anazotumia dos santos kubaki madarakani ni copy and paste from tz. utakuta labda kuna wazee wa it wa NEC frm tz waliombwa kwenda luanda ili wakawasaidie mpla washinde kwa lzm km tz 2010. hakuna kisichowezekana tz.
   
 6. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Lazima hilli somo walilipata toka ccm kwasababu hii ndio area ccm waliospecialize
   
Loading...