Mh.Kikwete Tunaomba Uongozi wako: Nchi inaelekea Kubaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh.Kikwete Tunaomba Uongozi wako: Nchi inaelekea Kubaya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Sep 13, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Kuna matukio ya ajabu sana yanayojitokeza katika nchi yetu. Matukio ambayo yanahatarisha usalama wan chi lakini Rais ni kama vile hayupo. Kazi kubwa ya rais ni kulinda raia wake. Polisi wake wanateka, wanapora na hat akuwaua raia lakini rais hasikiki. Kesho kuna uwezekano wa vurugu za Kidini (kiislamu) ambazo ni matuda ya udini aliyopanda, rais hasikiki.

  Kama yeye rais hana muda kujibu au kushugulikia matatizo ya wananchi, basi tujulishwe. Ingekuwa Chadema wana mkutano, tungeona uongozi wake kuwashutumu chadema kwamba ni wavunjifu wa amani, ila nashangaa alivyokimya wakati udini ni matunda ya mbegu alizopanda. Rais kikwete, mimi kama mwana CCM tena mwislamu, ningependa uingie kati kunusuru taifa letu tunakoelekea ni kubaya. Nchi yetu iko ukingoni
   
 2. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hii dhambi ya udini itamtafuna sana JK
   
 3. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Napenda_ga hoja zako..Nadhani wewe ni gamba chakavu a.k.a mfu Kama LWAITAMA.
   
Loading...