PICHA; CHADEMA Yazidi Kuikalia Kooni CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA; CHADEMA Yazidi Kuikalia Kooni CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kiganyi, Sep 13, 2012.

 1. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
  Godfrey Chikandawali alipokuwa akitambulishwa rasmi baada ya kuvua gamba na kuvaa gwanda
  [​IMG]
  John Heche Mwenyekiti wa BAVICHA akihutubia mkutano wa wananchi wa Mwenge wilaya ya kinondoni


  CHADEMA Imeendelea kuwatesa wapinzani wao CCM kwa kuendeleza kwa kasi kampeni yake ya VUA GAMBA VAA GWANDA,ambapo jana jioni kabisa Mwenyekiti Vijana (BAVICHA) John Heche aliwapokea wanachama wengi wa CCM walioamua kujivua magamba na kujiunga na M4C.

  Anayeonekana na gwanda jeusi pichani akiwa na mwenyekiti heche ni ndg Godfrey Chikandamwali aliyekuwa mjumbe wa kamati ya utendaji wa CCM wilaya ya Kinondoni,pamoja naye ni ndugu yake Anna Chikandawali mjumbe wa UWT wilaya, na wengine wengi.

  Heche amepokea wanachama hao Mwenge jijini Dar es Salaam

  Picha kwa hisani ya Jackson Makala
   
 2. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Piga kote kote Heche, Magamba yazidi kusambaratika
   
 3. M

  Msengapavi JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 23, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 2,753
  Trophy Points: 280
  Hakuna kulala mpaka kieleweke
  VIVA M4C
   
 4. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Leo Chadema Yaikalia kooni Ccm, kesho utaskia Chadema yaikalia mapajani CCM tabia hujenga mazoea shauri yenu!
   
 5. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  nape inampwaya uko aiko
   
 6. M

  Magesi JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  M4c mpka kieleweke
   
 7. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Huyu Chikandamwali ameogopa fedhela, kwa vile alikuwa mbioni kutemwa na chama chetu kwa ajili ya UFISADI
   
 8. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  viva M4C, Viva chadema
   
 9. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,351
  Likes Received: 2,691
  Trophy Points: 280
  duh mtu nyomi
   
 10. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  sasa hapa msajili anatamani asitafu mapema ili asiharibu cv yake
   
 11. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema Kamanda John Heche ameendelea kuwa mwiba mkali kwa chama cha mapinduzi. Kwa mara nyingine tena jana amefanikiwa kupokea wananchama zaidi ya 100 kutoka ccm katika mkutano wa hadhara alioufanya jana jioni maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam.

  Miongoni mwa watu waliorudisha kadi za ccm na kujiunga na Chadema ni pamoja na Bw.Godfrey Chikandamwali aliyekuwa Mjumbe wa mkutano mkuu wa ccm wilaya ya Kinondoni pamoja na Bi.Anna Chikandamwali aliyekuwa mjumbe wa uwt wilaya ya kionondoni.
   

  Attached Files:

 12. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hata Chimolo mlimsema vivyo hivyo kumbe amechoka na urasimu wenu
   
 13. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  nawashauri CHADEMA muda mwingine wawe wanatafuta maeneo makubwa sana ili watu wawe conftable wanapo sikiliza hotuba
   
 14. mathewa

  mathewa JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 5, 2012
  Messages: 420
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 80
  Watu wanazidi kujitambua. Ccm wakiona hivi wanatetemeka
   
 15. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #15
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,643
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Mkiishiwa ndo huwa mnasema haya.
   
 16. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #16
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseeee babaangu mi nilidhani fiester kumbe chadema viva m4c viva chadema
   
 17. T

  Topetope JF-Expert Member

  #17
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Ccm nikopo lilo toboka cdm inapokea vitu vinavyo mwagika leo hamtaiyo ila 2015mtakiona kilicho mtoa kanga manyoya
   
 18. U

  Uswe JF-Expert Member

  #18
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Load of manure!
   
 19. kvelia

  kvelia JF-Expert Member

  #19
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Good, tuko pamoja.
   
 20. w

  wifiyangu Member

  #20
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa wananchi wanaotaka maendeleo this is your chance 2 make a right decision.
   
Loading...