Riziwan awavuruga UVCCM Dodoma na mamilioni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Riziwan awavuruga UVCCM Dodoma na mamilioni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OgwaluMapesa, Sep 13, 2012.

 1. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mtoto Rais Jakaya Kikwete, Riziwan, ambaye yupo Dodoma kuhudhuria vikao vya Kamati ya utekelezaji na Baraza kuu la vijana huko Dodoma amewavuruga vijana wenzake baada ya kuzidiwa hoja na vijana wengi nchi nzima kwenye vikao hivyo, sasa akaanza kutumia nguvu ya mamlaka/dola na mabilioni ya pesa ambayo amejitengenezea katika kipindi hiki cha Urais wa baba yake.

  kwanza, anamtumia mtumishi wa UVCCM, Mzee Mipiko kubadilisha muhtasari/minutes za vikao vyote ili kuweza kulinda hoja zake ambazo alishindwa kwenye vikao. na kwasababu maamuzi ya UVCCM bado yanahitaji baraka za baba yake/ mwenyekiti wa chama, basi anataka kupeleka mapendekezo ambayo ni ya kulinda maslahi yake na Membe. bahati mbaya Katibu mkuu Shigela amekuwa makini sana na hata akamtonya Makamu Beno na muhtasari zote zikabadilishwa na zinaendelea kubadilishwa kutokana na mapendekezo ya vikao vya vijana.

  pili, katika kujaribu kuanza kufanya kampeni ya watu kwenye uchaguzi nchi nzima na taifa, kwanza ni jambo ambalo linashangaza wengi, kwasababu anafanya kama vile Kikwete anautafuta Urais wa awamu ya tano au labda yeye angaombea. Kwakweli amejenga historia mpya ya familia za marais kwa nchi yetu ya Tanzania. Kwahiyo jana usiku aliwaita MAKATIBU WOTE wa MIKOA wa UVCCM na kuwapatia kila mmoja Tsh MILIONI MOJA, maana yake kama takribani MILIONI 30 jumla, na akwapa maelekezo na kuwatishia wengine kwamba wasipotii, ajira zao zitasitishwa. Haya nia matumizi mabaya sana ya madaraka na fedha za umma. Tunaomba tuikemee wote.
   
 2. s

  sweke 34 JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mambo ya ccm ni uharu mtupu...peleka huko..
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  huyu si anataka kugombea ubunge kwenye jimbo la mjomba wake singida magharibi?
  ndo maana wakamhonga msaliti ghambaku ili jimbo lisiangukie mikononi mwa chadema sasa yule msaliti wakampa ukuu wa wilaya huko usukumani.
  huyu mtoto ni kirusi kibaya sana katika nchi yetu.
   
 4. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  mbona hutuambii na wewe ulipewa au ndio vile tena ulinyimwa
   
 5. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Lete vithibitisho kwa unayosema.
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Ridhiwani anatumiwa na CHADEMA kuivuruga CCM
   
 7. K

  Kibagata JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 773
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Cio kukemea. kama unauashahidi alifanya hivyo jana ita TAKUKURU DODOMA kamata huyo dogo na wote waliopokea weka ndani.HAYO NDO MAAMUZI MAGUMU KUCHUKUA sio kulialia hapa jamvini. magamba tulishawazoea ndo zenu.
   
 8. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  like father, like son! ni janga la kitaifa riz moko!
   
 9. Confederate Spy

  Confederate Spy JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 6, 2012
  Messages: 426
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unahitaji vithibitisho gani.Ni jambo la ajabu kabisa kuona kijana anatumia wadhifa wa baba yakwe ku-dictate uongozi uliochaguliwa kihalali.UVCCM haiwezi kuamuliwa mambo yake na familia moja na wakae wakijua hilo halitafanikiwa.Watu wapo radhi hata kutumia nguvu na kuomba ushirikiano kwa vijana ambao wako nje ya chama
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Wacha Wafu wazikane, unataka watu wenye akili timamu wakemee nini kwenye CCM? kwanza kitendo tu cha kuishabikia CCM unapaswa kukemewa hasa wewe mleta thread.
   
 11. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  like father, like son! ni janga la kitaifa rizmoko!
   
 12. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135

  Hata siku moja CDM haiwezi kutumia kiraza kama hiki
   
 13. K

  Kageuka JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninavyojua hapa kuna mchezo mchafu, aliyeandika ndiye mtandao wake umehonga watu na ni lazima utakuwa mtandao ambao unapingana na mwingine. Ni lazima utakuwa mtandao wa Bashe ndiyo umehusika kwa sababu ndiyo mchezo wao, wanafanya ikiharibika wanawahi kuvujisha kwa kuwageuzia wengine ndiyo wahusika. Virusi UVCCM ni Malisa na Bashe.
   
 14. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,100
  Likes Received: 11,251
  Trophy Points: 280
  hii ni kali ya mwaka.
   
 15. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #15
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Haya mambo anayofanya Riziwani, yatakuwa yamesababishwa na uchawi wa CDM...
   
 16. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #16
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  mkuu unaonekana ni mpambanaji mzuri tatizo huko kwenu CCM.
   
 17. B

  Baba Kimoko Member

  #17
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  acha wafu wazike wafu wao
   
 18. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #18
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Sioni news hapa, ndani ya CCM? Mbona hii ni kawaida tu. Waacheni wamalizane issue zao.
   
 19. A

  ADK JF-Expert Member

  #19
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Na bado mtakumbana sana mpaka 2015 tutasikia mengi
   
 20. a

  assuredly4 JF-Expert Member

  #20
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 1,215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ww umeshaona matokeo halafu bado unang'anga'ania kubaki kuwa mwanachama wa ccm unategemea nn? unakaribishwa kuingia ktk safina kabla ya mlango haujafungwa. jivue gamba vaa gwanda mwaga data ktk vyombo vya habari ili Rk aaibike airudie tena
   
Loading...