Je nini mchango wa TLS kuelekea Katiba Mpya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je nini mchango wa TLS kuelekea Katiba Mpya?

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Kimbori, Sep 13, 2012.

 1. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,725
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Naomba kujua mchango unaotolewa na Tanganyika Law Society (TLS) katika mchakato wa Katiba Mpya.
  Naomba kama wanatarajia kuandaa mijadala kwenye redio au TV, kujua hivyo kutatusaidia tupate mwanga kutoka kwa wanasheria wataalamu ambao wamechambua Katiba za nchi mbalimbali na kujua udhaifu na uimara wake.
  Tanzania itajengwa na Watanzania.
   
 2. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Kama alivyosema Lisu hawa ni waoga, wanatetea maovu. Bure kabisa wanafikiria pesa tu. Shyster lawyers!!!
   
Loading...