Wananchi wa Sumbawanga Mjini wanataka uchaguzi urudiwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wananchi wa Sumbawanga Mjini wanataka uchaguzi urudiwe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Concrete, Sep 12, 2012.

 1. C

  Concrete JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kufuatia taarifa iliyotoka kwenye vyombo vya habari leo(gazeti la Nipashe) iliyoarifu kuwa muda wa kukata rufaa hukumu iliyotengua matokeo ya ubunge wa Aeish(CCM) kupita na yeye na chama chake kushindwa kukata rufaa, hivyo kuashiria kurudiwa kwa uchaguzi.

  Wananchi hao wanataka ofisi ya spika kutangaza rasmi kuwa jimbo hilo liko wazi na tume ya uchaguzi kutangaza rasmi tarehe ya kurudiwa uchaguzi mara moja.

  Wengi wameshangazwa na kauli ya ofisi ya spika kuwa suala hilo lisubiri mpaka october kwenye kikao cha bunge, wakati wao wananchi hawana mwakilishi kwa zaidi ya miezi mitatu sasa.

  Wadau tunaomba ufafanuzi wa kiutaratibu, kanuni na kisheria kuhusu hali hii.
   
 2. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kwani Spika anaitwa nani tena?
   
 3. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Bibi K.....Yuko bisy kufuata na kutunga kanoni za kuthibiti upinzani, hasa CDM!!!! Bunge kama genge la gongo!!
   
 4. a

  afwe JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,087
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Kipimo kingine cha dhamira ya kuleta demokrasia ya kweli nchini.
   
 5. B

  Bob G JF Bronze Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kufanya uchaguzi ni kwa hisani ya ccm 2,wanafanya uchaguzi harakawalipona uhakika wa kushinda kama Bububu, kile kichapo cha Arumeru ccm haitaki ikikutetena
   
 6. K

  Kasent Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usiwe mjinga kudangannya watu.jana nimepita ofisi ya chadema sumbawanga nimekuta tangazo kuwa kesi itasikilizwa mwezi huu.sasa unawazungumzia wanainchi gani? Nyie ndiyo unayoishushia heshima JF pumbafUuuuu
   
 7. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Sijui sana mambo ya uchaguzi.lkn natamani sana kama mshindi wa kwanza amegundulika kuchakachua kwa nini mshindi wa pili mwalimu wangu Yamsebo asichukue jimbo bila ya kurudia uchaguzi?
   
 8. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Kama muda wa kutata rufaa umepita, hakuna kesi tena. Jimbo linatakiwa kutangazwa kuwa wazi na uchaguzi kurudiwa ndani ya siku 90. Mengine yanayosemwasemwa ni porojo tu!
   
 9. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  source ni gazeti la nipashe labda ukanushe hii habari kutoka gazetini
   
 10. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo Katiba yetu haisemi hivyo, so kw akufanya hivyo ni kukiuka katiba lkn kimsingi ni moja ya mambo ambayo tunajitahidi kuyapigia kelele yawepo kwenye Katiba mpya ili kuepuka gharama kwa serikali ktk kurudia rudia uchaguzi.
   
 11. C

  Concrete JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mkuu mbona unanitukana bila sababu,
  Source ya habari yangu ni gazeti la Nipashe la jana na wananchi wa sumbawanga mjini, sio chama chochote cha siasa.

  Sasa ninaomba ufafanunuzi kuhusu tarehe ya mwisho kukata rufaa na kanuni zinasemaje kama muda utapita na rufaa haikukatwa?
   
 12. C

  Concrete JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu, ila huyo wa kutangaza(Spika au tume ya uchaguzi) anatakiwa kufanya hivyo wakati upi, i mean kuna kanuni inamsukuma au ni utashi wake tu?
   
 13. C

  Concrete JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu kwa kumsaidia kuelewa thread hii.
   
 14. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Anavyosafiri toka Bunge liishe... alianzia South Korea; Japan; Rwanda; Kenya; Germany sasa hivi yuko SRI LANKA na ZITTO na

  WENGINE... NCHI INA MAPESA...

  Yaani ni kama VILE ni DADA wa VASCO DA GAMA -
  D. Estêvão da Gama,

  [​IMG]
   
 15. C

  Concrete JF-Expert Member

  #15
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Asante kwa kulielewa hili,

  Wananchi wa Sumbawanga Mjini wanahamu kubwa sana kuwa na mwakilishi ndani ya bunge, walihuzunika sana budget ilipopita bila ya wao kuwa na mwakilishi wao ndani ya bunge.

  Wadau wote wa kidemokrasia embu tulipigie kelele hili mpaka tupewe maalezo ya kina yenye kueleweka.
   
 16. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #16
  Sep 13, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  asante kwa taarifa mkuu sasa tunawajua vizuri viongozi wetu duh ! kweli pesa ipo ila matumizi ya maana ndiyo hayapo nimeamini
   
 17. C

  Concrete JF-Expert Member

  #17
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mkuu ukimya wetu ndio unawafanya viongozi wetu wafanye wanayoyataka, lakini kelele zetu ndio zitakazo waogopesha.

  Ndio maana wananchi wa Sumbawanga mjini wanapaza sauti zao kwa sasa kutaka watangaziwe uchaguzi.

  Please wadau tutumie nafasi na usomi wetu kushinikiza kupatikana kwa haki.
   
 18. C

  Concrete JF-Expert Member

  #18
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo unataka kusema Ofisi ya chadema Sumbawanga mjini ndio mahakama ya rufaa, ofisi ya bunge au tume ya uchaguzi?

  Ofisi ya CCM nayo wakibandika tangazo kuwa
  kesi imeshasikilizwa na CUF nao wakabandika lao na kusema hakuna kesi yoyote!! Halafu utakuja hapa JF kutetea.

  Kwa taarifa yako wananchi wengi wa Tanzania si wanachama wa chama chochote cha siasa.
   
 19. T

  Tinda Senior Member

  #19
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 197
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Mheshimiwa usihangaike kujiuliza kuna biashara gani huko, ila nachojua mimi mtu yeyote anaye pata madaraka bila kufuata sheria, maana yake YEYE MWENYEWE SI MFUATA SHERIA, kwahiyo hataifuata hiyo SHERIA kwasababu haijui. Kwahiyo chochote kinachoweza kumpatia pesa atafanya hatakama kwa kupoteza maisha ya mwingine. You better know this.
   
 20. K

  Kasent Member

  #20
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli nimeamini kuongezeka kwa vyuo na wajinga wameongezeka. Kwani gaziti la nipashe haliwezi andika uongo? Mi nimeeleza kuhusu tangazo lililobandikwa ofisi za chadema sumbawanga mjini na tarehe ya kesi ni 19 mwezi huu.sasa wewe utaleta ushabiki
   
Loading...