Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amelaani kitendo cha vyombo vya dola kuwapiga na kuwakamata wafuasi wa Cuf
Katibu Mkuu...
Tokea amechaguliwa 2010 sijawahi kumuona Huku Mbagala kuja kusikiliza Kero za wapiga kura wake Kama wanavyofanya wakina Mdee na Mnyika kwenye majimbo Yao yeye kutwa ni kufungua Album za miziki ya...
Wagombea ujumbe we NEC kupitia wilaya ya Nzega Bw. Hussein Bashe na Dk. Hamis Kigwangala wamerejeshwa kuombea nafasi hiyo na Kamati Kuu baada ya Awali Taarifa kuelezea kuwa Secretarieti ya CCM...
na Waandishi wetu
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakitishwi na baadhi ya viongozi wake ambao wamekuwa wakitoa kauli zao barabarani kwa ajili ya kulalamika na kukikosoa chama...
Vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa, vimetoa taarifa ya kufungwa jela, kwa miaka 15, kwa aliyekuwa mkuu wa polisi, wa jimbo la Chongquing, nchini China, Kwa makosa kadhaa, likiwemo la...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda
(kushoto), Waziri wa Fedha Dkt William Mgimwa, Waziri wa Kilimo Profesa
Jumanne Maghembe na Waziri wa Masuala ya Afrika...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Zuberi Kabwe, amesema kuwa hana nia ya kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chama chake katika Uchaguzi wa ndani wa...
Leo asubuhi ktk kipindi cha Nipashe cha Radio 1 Stereo Tendwa alionekana akiwabembeleza CDM wakutane naye, akitoa haja kwamba ule mkutano wa juzi kati yake na vyama hauhusiani kabisa na madai yao...
Katika Kipindi cha Tuongee Magazeti cha Star TV Alfajiri hii kuna habari ya Makada wa CDM katika Wilaya ya Ilemela kutwangana makonde wakati wakiwa kwenye kikao cha kamati ya utendaji ya wilaya...
Baraza la Maadili la Kiislamu Tanzania (Bamakita) limeunga mkono kauli ya Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, ya kuwataka wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwangoa...
Na Mwandishi Wetu, Kigoma Yetu.
MBUNGE wa Jimbo la Kasulu Mjini Moses Machali amewataka viongozi watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu wawajibishwe kwa kufikishwa mahakani, kwa kitendo cha...
wanajf samahanini sana naomba kujuzwa hivi hili jimbo la Kongwa lina mbunge au kivuli. maana tangu 2010 kushinda hajawahi kuwa na mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero za wananchi.
Tanganyika na Zanzibar zinapashwa kuwa na katiba zao, na iundwe serikali ya muungano (Federal State).
Mamlaka ya Raisi yapunguzwe. Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu, Mkuu wa Polisi na wakuu wa tarisi...
Wakuu,
Leo hapa Masasi umefanyika mkutano mkubwa wa M4C ulioambatana na ufunguaji wa matawi mawili ya Nyasa na S tandi.
Watu ni wengi ukilinganisha na mkutano uliopita .Inaashiria M4C inaendelea...
ccm haina pakushika sasa wanafikiri kitu pekee kitakacho waokoa wakati huu ni ujenzi wa daraja la kigamboni wanasahau kuwa kigamboni sio tanzania kibaya zaidi wanatumia fedha walizokwapua kwa...
Ndiyo wakuu, heshima kwenu. Katika kutimilika kwa kauli ya mjinga akijitambua,mwelevu upo matatani ,hali imeendelea kujidhihirisha wiki hii ktk jimbo la Busanda, mkoani geita.
Kwa mujibu wa...
Dakota Native American tribal wisdom, passed on from generation to generation, says:
"When you discover that you are riding a dead horse, the best strategy is to dismount and get a different...
Wakati vikao ngazi ya juu vya Chama Cha Mapinduzi (CCM) vikiendelea mjini Dodoma kuchuja majina ya wagombea, Naibu Waziri wa Ujenzi, Gerson Lwenge, ametupiwa tuhuma kuwa anambeba Katibu Mkuu...