ccm na mtaji wa daraja la kigamboni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ccm na mtaji wa daraja la kigamboni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tanira1, Sep 21, 2012.

 1. tanira1

  tanira1 JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 938
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ccm haina pakushika sasa wanafikiri kitu pekee kitakacho waokoa wakati huu ni ujenzi wa daraja la kigamboni wanasahau kuwa kigamboni sio tanzania kibaya zaidi wanatumia fedha walizokwapua kwa walala hoi za nssf kwa kuwalazimisha kutochukua mpaka wafikishe miaka 55 wakijua fika kwa hali hii mbaya tuliyonayo wengi wetu hatuwezi kufika huko na kwa ajili hiyo ni rahisi kudhurumu wafiwa hakika ccm nawaambia kama hamjaambiwa daraja la kigamboni mnataka kulitumia kwenye campaign mwaka 2015 halitawasaidia watanzania wote wanajua kila move yenu wachache niliokutana nao leo wanasema daraja litakwisha wakati huo nakuanza kunadi si mmeona dar kama newyork tupeni mingine kumi iwe kama hongkong tiyari wameshatabili mtakalokuja nalo mmekwisha hamtoki kudadadeki
   
 2. J

  JokaKuu Platinum Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,734
  Likes Received: 4,955
  Trophy Points: 280
  ..hivi Kigamboni kuna nini mpaka lijengwe daraja la gharama kiasi hicho?

  ..si bora wagejenga vyuo vya Ufundi, au hospitali, au mradi wa maji??
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,051
  Trophy Points: 280
  Aibu sana rais kuimba taarab kwenye kadamnasi
   
 4. N

  Ngoso JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 521
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Kwani chuo cha wasanii kikowapi vile ?!!
   
 5. tanira1

  tanira1 JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 938
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Bagamoyo
   
 6. m

  markj JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  kwani kuna tatizo gani kujengwa hilo daraja? watanzania bwana maneno meeengi na kuongea uchafu tu, daraja hakuna mnalia then mnaletewa daraja ambalo watu wamekaa na kuamua lijengwe la kisasa na la uhakika bado mnachonga, likijengwa la kiaina bado mtachonga tena watu hawana mipango endelevu, watu wakikaa kimya bado tunaongea tena, huu ni ujinga sasa! na tutaishia ivyo ivyo tu, hatubadiliki ng'ooo lada kizazi cha maroboti kije
   
 7. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Kuna mji wa wakubwa a.k.a mafisadi unategemea kujengwa kule!!! Maandalizi ya miundombinu!!!! Nchi imeuzwa maana kama mtu atajenga say kitega uchumi halafu aseme ni anakua nacho for 100 years si kama mali yake!!!! Poor contractual agreements in Tz, ever.
   
 8. m

  markj JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  hivyo vitu si vina budget yake na wizara zake! wawajibike hao, huyu wa magufuli yeye katumia budget yake kutekeleza miradi yake! kwani hao wizara ya maji,elimu na afya wao hawana budget zao? hawalijui hili? nchi ikisimamiwa vizuri miradi yote hiyo inawezwa kufanywa at the sametime bila tatizo, na simpaka ati mradi mmoja upunguzwe salio au kusitishwa kwa ajili ya miradi mingine, huu ni upungufu wa kufikiria namna ya kutumia mapato na vyanzo vingine vya mapato ya hii nchi, si kweli kwama hatuna uwezo wa ku manage hizo project zote kwa wakti mmoja
   
 9. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Mkuu nssf imechangia asilimia 60 ambayo haipo kwenye budget ya muongo magufuli
   
 10. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,681
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Umesahau na Morogoro Rd pia wataitumia kwenye campaign hizo.
   
 11. m

  markj JF-Expert Member

  #11
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  basi sawa! nimekupata, kwa iyo haina haja ya watu kuudis huu mradi wa daraja kwa maana nao utasaidia kwa namna moja hama nyingine kiuchumi na mambo mengine mengi tu! na huu si mradi wa ccm, wala si mtaji wao, ni wajibu wa serikali kufanya ivyo, mana iyo kitu ipo kwenye makaratasi kwa miongo mitatu sasa! na hao wengine kama wizara ya elimu wanalijua hili basi wange waambia wawajengee vyuo vya ufundi na si ma udom tena, kwani hao veta wakiacha ufisadi na wakiwa na uongozi mzuri wanashindwa kulifanya hili?
   
 12. MPIGA ZEZE

  MPIGA ZEZE JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 515
  Trophy Points: 280
  Mimi nitawaheshimu sana na kuwapa kura yangu CCM iwapo ifikapo 2015 watakuwa wamewaondoa watoto wote wa shule za msingi kutoka kusomea sakafuni na kuwaweka juu ya madawati potelea mbali wawe 200 chini ya mwalimu mmoja!! Haya ya madaraja ya Kigamboni hayamsaidii mtanzania anayeenyeka kule kijijini (80%). Yale yale ya mafukara mil 30 na mabilionea 30 wa Zitto!!! Kwa kifupi, kila Mtanzania anafurahia kuona maendeleao ya miundombinu kama ambavyo angefurahia zaidi kuona watoto (wajenzi wa taifa kesho na wadumishaji wa miundombinu hiyo) wanapatiwa elimu bora ambayo pia huapatikana kutokana na mazingira bora. Bila ya hivyo mimi nitaendelea kuona mradi kama wa daraja la Kigamboni au mji mpya wa Kigamboni ni usanii wa kisiasa kama si wizi kwa ajili ya kunufaisha mabilionea 30.
   
 13. t

  thatha JF-Expert Member

  #13
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Ni maneno ya kila siku toka kwa watu wenye upeo wa chini kama wewe, wapenda maendeleo wote hatuna budi kukusamehe na kukuhurumia.
   
 14. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #14
  Sep 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hili daraja si mtaji chochote ikizingatiwa kuwa kama wataendekeza 10% litageuka kuwa msiba mkubwa kwa taifa. Hebu tazama barabara wanazojisifia kujenga zinavyoharibika ndani ya muda mfupi. Kimsingi hili daraja halikupaswa kujengwa na serikali fisadi na chafu kama hii inayoendekeza ten percent. Time will prove me wrong kwa ulafi uliopo kama litadumu.
   
 15. t

  thatha JF-Expert Member

  #15
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Mkuu umesahau, barabara ya kutoka Mwenge hadi Bagamoyo. Tuendelee kuwaelimisha watanzania wanaozibwa macho na masikio na wapinzani siyo wa kisiasa tena bali wapinzani wa maendeleo.
   
 16. t

  thatha JF-Expert Member

  #16
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Mungu yuko nasi, naamini wote mnaoombea mabaya miradi ya maendeleo mtakuwa mmeshakufa kabla haijamalizika hivyo itakamlika salama.
   
 17. kisugujira

  kisugujira JF-Expert Member

  #17
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 769
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  "An onion can make people cry, but there has never been a vegetable invented to make them laugh." Will Rogers.
   
 18. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #18
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Watamdanganya nani? 99% tunawajua vema walivyo. Wao 2015 wajiandae kuwa strong opposition party, no other way out!
   
 19. t

  thatha JF-Expert Member

  #19
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  ]]

  kwa hiyo wewe unashaurije? daraja lisijengwe? kazi kweli kweli.
   
 20. t

  thatha JF-Expert Member

  #20
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Yaani humu JF mtu akikaa siku zote kazi yake kujibizana na watu kama wewe , hakika AKILI YAKE itadumaa. na hili la kujenga daraja nalo limeshawachoma moyoni tena kwa vile mnakosa pa kuwalaghai wananchi tena. Daraja litajengwa kama ni kupasuka basi pasukeni, JK mbele kwa mbele mkuu tuko nyuma yako. Kumbe humu JF wamejaa vilaza tu.

  Ni hatari sana mtu kuchekelea maandamano huku akibeza ujenzi wa daraja. Mungu atusaidie, vizazi kama hivi zamani vilichukuliwa kama laana katika jamii, sasa sijui wewe na watu kama wewe tukupeleke wapi.
   
Loading...