Mkanganyiko wa Maadili ya Madaktari wakati wa Migomo

Naona kwenye Channel Ten wanaomba radhi, ni kweli au danganya toto

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mkuu kussy, hawa ni madaktari
1.waliokuwa hawana uhakika kama madai ya mgomo ni halali au la,
2. pia ni wale waliokuwa wakihitaji kukaa muda wa miezi miwili nyumbani wakitafakari kama madai ya mgomo ni halali,
3.waliokuwa wakisema Dr. Ulimboka alitendewa haki kwani hakukuwa na haja ya mgomo.
4.Wale wenye wivu..baada ya kuona mafaktari waliomaliza mwaka huu kuajiriwa sehemu yao, wao nao wanataka warudi.
 
sio siri mgomo ulichochewa na watu kwa maslahi yao ndo maana sasa kila mtu na lake. ki ukweli waliosimamishwa wametelekezwa
 
Kwanza kabisa nasema ahsanteni madokta kwa kuomba radhi kwa yale mliofanya na kufanyiwa. Nasikia wakiomba radhi kwa matokeo yoyote mabaya yaliyosababishwa na mgomo wao halali wa kudai haki zao kulingana na facts walizoziorodhesha.mimi nauliza je WAO WATAOMBWA NA NANI RADHI KWA ADHA NA UTATA WA MAISHA MAGUMU YA KIKAZI YALIYOPELEKEA MGOMO? ULIMBOKA ATAOMBWA RADHI NA NANI? TATHMINI YA MGOMO UPANDE WAO NI IPI +ve and -ve? Nakumbuka ulimboka alisema ngoja apone atafunguka juu ya ajali yake,naomba mulizeni atafunguka lini?
 
Tuliwaomba sana wasigome pamoja na kuwaunga mkono malalamiko yao kwani kugoma kwao watanganyika wengi waliathirika si hao walio wagomea. Sasa hili wanalijua wenyewe!!! No comment. Nimeshangaa tu>
Naona kwenye Channel Ten wanaomba radhi, ni kweli au danganya toto

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wanaomba radhi inamaana huduma na vitendea kazi,hizo machines zimenunuliwa tayari maana mgomo haukuwa wa kimaslahi tu.Njaa noma ukizingatia upo jijini lazima uwe mdogo kwa wanaume
 
Kwa jinsi ninavyoona hasa kutokana na madaktari kujitokeza na kuiomba msamaha Serikali na kutoa ahadi kuwa hawatogoma tena no matter what.

Usije kupigwa na butwaa baada ya kuwaona na walimu na wao wakijitokeza na kuomba msamaha kwa mgomo walioufanya wiki chache zilizopita.

Baada ya Walimu pia tutashuhudi waandishi wa habari na wao wakiomba msamaha kwa maandamano waliyoyafanya kupinga unyanyasaji wa polisi kwa waandishi wa habari.
 
Njaa mwana malegeza! njaaa , njaa njaaa jamani! Madakitari mdebweda! Hopeless people ndio maana wanapasua kichwa badala ya goti. Arrogance yao inawatokea puani. huwezi kuomba msamaha kama mtoto mdogo. Wagelifunika kombe mwanaharamu apite lakini sio kwa njia hii. Kuanzia leo sitawaamini madaktari kumbe bure!
 
kwa waislamu usitegemee kwani sijaona tulipo kosea.
Bakwata ndo wanailamba miguu serekali siku zote tangu ianzishwe.

All in all kuomba msamaha ni tabia ya muungwana yoyote lakini omba msamaha unapokosea na sio kuomba msamaha kwa kujipendekeza.

Kwa mtazamo wangu madaktari walitukosea sana watanzania kwa kutuacha wodini tukiteseka kwa kuweka maslahi yao mbele, hawakuonyesha utu hata kidogo na siamini kuomba kwao msamaha kama kuna toka ktk mioyo yao au ugumu wa maisha ya mtaani ndo unaowasukuma.
 
Acha wailambe miguu serikali yao, njaa tu inawasumbua hamna kitu na watailamba hadi masaburi, weak and hopeless people, na tunaiomba serikali yetu 'sikivu' ipunguze marupurupu na mishahara yao kwa sababu kazi yao ni ya wito.
 
Dah, vitu vya aibu. Si bora wangeji-engage kwenye research kuliko kuomba msamaha kama watoto wadogo! Riwa, nna maswali yako kaka, plz njoo.
 
Last edited by a moderator:
Haya sasa mliokuwa mnatokwa mishipa na povu,oooh ulimboka shujaa wa taifa,nlijua tz hakuna kitu huwezi kudai uhuru wakati una njaa'haya wafuasi wa cdm mnaopenda kushabikia kila mwenye mgogoro na serikali isipokuwa waislam tu,hapo roho zimewauma sana na mtavimba sana chezea gambaz wewe!!!
 
Kumbe wewe ni gambaz! Pole!
 
Kwanza kabisa nasema ahsanteni madokta kwa kuomba radhi kwa yale mliofanya na kufanyiwa. Nasikia wakiomba radhi kwa matokeo yoyote mabaya yaliyosababishwa na mgomo wao halali wa kudai haki zao kulingana na facts walizoziorodhesha.mimi nauliza je WAO WATAOMBWA NA NANI RADHI KWA ADHA NA UTATA WA MAISHA MAGUMU YA KIKAZI YALIYOPELEKEA MGOMO? ULIMBOKA ATAOMBWA RADHI NA NANI? TATHMINI YA MGOMO UPANDE WAO NI IPI +ve and -ve? Nakumbuka ulimboka alisema ngoja apone atafunguka juu ya ajali yake,naomba mulizeni atafunguka lini?

Katika historia waliyoiweka jana, watu hovyo Tanzania ni madaktari. Ulimboka msaliti No. 1! Ina maana walikuwa wanafanya kitu ambacho si halali? Arrogance yao inawaponza kujiona bila wao tanzania/dunia haipo. Unaweza kuomba radhi kikubwa sio kama walivyofanya kama watoto wa chekechea. Ndio maana wanapasua kichwa badala ya magoti
 
Katika historia
waliyoiweka jana, watu hovyo Tanzania ni madaktari. Ulimboka msaliti No.
1! Ina maana walikuwa wanafanya kitu ambacho si halali? Arrogance yao
inawaponza kujiona bila wao tanzania/dunia haipo. Unaweza kuomba radhi
kikubwa sio kama walivyofanya kama watoto wa chekechea. Ndio maana
wanapasua kichwa badala ya magoti

Dah! Kaz ipo wabondei, hii inanikumbusha usemi "unagombana na baba yako wakati ucku ukifika unarudi nyumbani" kwa hiyo lazima utaomba msamaha wandugu zangu.
 
Back
Top Bottom