Bashe, Kigwangala, Mgeja, na Lembeli wapeta. Kamati Kuu CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bashe, Kigwangala, Mgeja, na Lembeli wapeta. Kamati Kuu CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ACHEBE, Sep 24, 2012.

 1. A

  ACHEBE JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 348
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wagombea ujumbe we NEC kupitia wilaya ya Nzega Bw. Hussein Bashe na Dk. Hamis Kigwangala wamerejeshwa kuombea nafasi hiyo na Kamati Kuu baada ya Awali Taarifa kuelezea kuwa Secretarieti ya CCM iliwatoa kugombea nafasi hiyo.

  Pia Kamati Kuu ya NEC imewarejesha Bw. Mgeja na Bw. Lembeli kugombea nafasi ya Mwenyekiti we CCM mkoa we Shinyanga.
  Mwisho
   
 2. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,567
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Source please.
   
 3. A

  ACHEBE JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 348
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kamati Kuu ya CCM, ambayo inaendelea hivi sasa mjini Dodoma.
   
 4. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,895
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Niwashauri MODS
  Inapoletwa thread hasa kwenye jukwaa la siasa ambayo haina reliable source naomba apigwe BAN.
  Hii itasaidia kupunguza members kuchangia uzi ambao uko kiudaku udaku. Otherwise isemwe kama ni tetesi
   
 5. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,328
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Aaaah! Mara wamepigwa chini, mara wamerudishwa!? Which is which?
   
 6. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,595
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Huko Shinyanga watatoana roho mwaka huu
   
 7. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,625
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Labda wameamua kuepusha balaa au mpasuko zaidi.
   
 8. f

  fakisi Member

  #8
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ahsante kwa taarifa Nape Nnauye!
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,039
  Likes Received: 3,795
  Trophy Points: 280
  ni kweli wanaepusha mpasuko zaidi.
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,950
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  Huyu mtoa mada atakuwa kachangala valuu na viroba! ukitaka kujua hata habari yenyewe aliyoitoa kashaifunga, manake kasema MWISHO! sasa sijui tunajadili nini
   
 11. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,353
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  tumia neno "authentic source" na siyo reliable source
   
 12. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,128
  Likes Received: 1,923
  Trophy Points: 280
  Ngoma bado mbichi
   
 13. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,689
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hofu ya kifo cha ccm, hahahaaaaaaa.
   
Loading...