Maoni Ya Katiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maoni Ya Katiba

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by kishio, Sep 24, 2012.

 1. k

  kishio New Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tanganyika na Zanzibar zinapashwa kuwa na katiba zao, na iundwe serikali ya muungano (Federal State).

  Mamlaka ya Raisi yapunguzwe. Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu, Mkuu wa Polisi na wakuu wa tarisi wateuliwe na Raisi baada ya kuthiitishwa na Bunge. Raisi apokonywe mamlaka ya kuvunja bunge. Sheria iruhusu mtu binafsi kugombea uraisi. Vyama viruhusiwe kumfukuza mbunge anayekwenda kinyume cha maadili ya chama. Raisi ashitakiwe kwa kutenda kazi kinyume cha katiba, uhaini na bunge lipewe ruksa ya kupiga kura kutokuwa na inami na Raisi. Hukumu ya kunyongwa ifutwe. Iundwe bodi au Commission itakayo hakiki na kuratibu kazi za waandishi wa habari.


  Uhuru wa kuabudi uhakikishiwe na katiba na kuwe na adabu kali kwa mtu au chombo chochote kitakacho ingilia au kugeuka uhuru wa kuabudu. Dini zinazodhihaki au kuingilia dini nyingine, au kuingilia uhuru wa watu zipigwe marufuku.

  Mambo ya nje, ulinzi na majeshi yawe chini ya Federal Government.
   
 2. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Tuma maoni kipitia hapa : "katibu@katiba.go.tz" <katibu@katiba.go.tz>
   
 3. T

  Tunguzo Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  1)Viongozi wanaoshindwa kutekeleza ahadi walizo zitoa wakati wa kampeni wahukumiwe kifungo kisizo pungua miaka 10

  2)Ajira zisihusishe mambo ya uzoefu,kama ni lazima waajiriwa kuwa na uzoefu basi tuanzishe vyou vya uzoefu

  3)Adhabu ya ufisadi iwekwe wazi n.k miaka 30 au 40
   
Loading...