M4c Masasi yapamba moto,matawi mawili yafunguliwa kwa mpigo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

M4c Masasi yapamba moto,matawi mawili yafunguliwa kwa mpigo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by master gland, Sep 23, 2012.

 1. m

  master gland Senior Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  M4C IMAGES.jpg
  Wakuu,
  Leo hapa Masasi umefanyika mkutano mkubwa wa M4C ulioambatana na ufunguaji wa matawi mawili ya Nyasa na S tandi.
  Watu ni wengi ukilinganisha na mkutano uliopita .Inaashiria M4C inaendelea kusonga with no apology.
  Kama kawaida kadi ziliuzwa na kadi za mgamba na mkewe wa kukopi na kupaste zilirudishwa nimebahatika kupata picha chache ambazo nitazi upload soon.Hiyo ni baadhi tu ya yaliyojiri
  MAKAMANDA wameahadi M4C forever hadi tunaingia Magogoni 2015.
  PEOPLESSSSSSSSSSSSSPOWERRRRRRRRRRRRRRRR WITH NO APOLOGY
  nawasilisha
   
 2. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,075
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  hongera sana kamanda kwa taarifa nzuri,hakika zinaleta raha moyoni na afya mifupani,m4c hakuna kulala mpaka wanye mtu na mkewe.....
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,948
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Waliodai eti CHADEMA chama cha msimu sasa watafuta msaada ofisini kwa Mzee Tendwa; Vijana wa Masasi, twende kasiiiii!!!!!!!!!!!!!!!
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,463
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  whocares really? HE IS BASICALLY USELESS! fvcking useless..better empty seat than this useless pompous buffoon..
   
 5. m

  master gland Senior Member

  #5
  Sep 23, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Unaweweseka ehee? Mtajibeba mwaka huu na dharau zenu hizo
   
 6. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,844
  Likes Received: 542
  Trophy Points: 280
  mkuu ... picha ni muhimu .... try your level best
   
 7. m

  master gland Senior Member

  #7
  Sep 23, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jaribu ku zoom hiyo juu .Nyingine zinafuta
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,947
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  CHADEMA wanaharibu kila kona, wao wanaendelea kunywa valuu dodoma
   
 9. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Tafadhali, pamoja na picha kuwa muhimu utawapa watu BP bure. Hujaona wanavyohaha kubuni sheria za kusitisha kasi ya mabadiliko nchini?
   
 10. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,407
  Likes Received: 995
  Trophy Points: 280
  wakija kuzinduka watakuta chadema imeteka nchi nzima
   
 11. k

  kasimba123 JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2012
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 1,227
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  walisema cha msimu na kitakufa haraka sana kumbe janja yao ilikuwa waue wasigizie halafu wakifute
   
 12. G

  GlorytoGod Senior Member

  #12
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 8, 2012
  Messages: 155
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mungu kawaumbua kabla ya kukamilisha mikakati yao ya kipepo. Wao wana wauaji, sisi tuna mungu aliye hai.
   
Loading...