Chadema yashida wenyekiti wa kijiji ruaha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema yashida wenyekiti wa kijiji ruaha.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mr.Busta, Sep 28, 2012.

 1. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Baada ya msuguano wa mda mrefu wa ccm kugoma kuitisha uchaguzi,huku wakitumia mbini chafu kuhakikisha wanafanikiwa kuongoza kijiji cha ruaha kata ya ruaha hatimaye wamesarenda na kuitisha uchaguzi ambao wajumbe walihusika kumchagua mwenyekiti na hatimaye BW.MALIWA WA CDM ameshinda hvyo anasubiria kujakudhibitishwa kwa wananchi na kuapishwa.source.mwenyewe niko kilombero
   
 2. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,743
  Likes Received: 1,806
  Trophy Points: 280
  lililo andikwa na MUNGU binadamu hawezi kulibadili.kuhangaika kote kule bado ccm chali, MUNGU mkubwa.
   
 3. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  hahahaha....mtaishia kuramba mifupa ya mapaja, sasa hapo kupata mmeona mmekula kuku?

  Yani chadema kuna v i l a z a kweli.
   
 4. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mfa maji haishi kutapatapa,ccm wangeshinda ungesemaje?
   
 5. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Aisee wewe unawakilisha kundi la vilaza wenzio wa Magamba
   
 6. Mingoi

  Mingoi JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 10,636
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Mmetisha CDM vipi nani alikwenda huko Mnyika?
   
 7. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  sishangai huo ushindi, kwa sababu ni walewale.
   
 8. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Hivi wewe ndiye mama Mingoi aliyeimbwa na Twanga pepeta? Ulikuwa unakata kiuno si mchezo pale Joly Club! Ila sijakuona tangu mwenzio Shenaz kufariki. Upo wapi siku hizi!?
   
 9. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Hata tofali limeundwa kwa mchanga mmoja mmoja. Huyu mwenyekiti wa kijiji kwetu ni mtaji tena wa maana sana na anatuhakikishia kura zetu hapo Ruaha kwenye chaguzi zijazo. Hongera saaaana BW.MALIWA, endelea kuwaamsha wanakijiji huko waamke waachane na hii laana ya ccm. Pipoooooooooooooooooooooozz---Pawaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 10. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #10
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kama kuna kitu nakithamini katika uchaguzi ni huu wa ngazi ya chini kabisa. Ukiona chama kianapata wenyeviti wa vitongoji na vijiji ujue kimesha break even. Huu ushindi unamaana kuwa hata kura za uraisi na ubunge za cdm zitakuwa nyingi zaidi! Anayebeza ushindi huu hajui siasa, kawaulize kinachowafanya ccm washindwe kulala kwa sababu ya m4c! Ccm walijua chadema ni chama cha mjini hakiwezi kufika vijijini ambako wao wamewekeza ujinga kwa faida yao. Leo hii ngoma imegeuka chadema inapenyeza sehemu ambazo hawakutarajia. Na ndiyo maana ccm sasa hawataki nadhani wako tayari waruhusu M4C mjini lakini siyo vijijini maana huko ndo wamewekwza ujinga kwa faida yao!

  Hongere kamanda ulichaguliwa!
   
 11. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #11
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  hongereni sana wana-ruaha
   
 12. Marry Hunbig

  Marry Hunbig JF-Expert Member

  #12
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 1,517
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Safi sana!
   
Loading...