CCM ya Tangu Mwinyi Inavuna Matunda, Tanzania kuwa kama Rwanda 1994 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM ya Tangu Mwinyi Inavuna Matunda, Tanzania kuwa kama Rwanda 1994

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by eedoh05, Sep 27, 2012.

 1. e

  eedoh05 JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Wana-JF mtaniwia radhi ikiwa nitakuwa narudia mada iliyokwishatolewa mapema leo. Huko Tunduru kuna kikundi kinachosadikiwa nicha eti "waislam wenye itikadi kali" wamekuwa wakivamia na kuuwa nguruwe wanaofugwa na wakristo na pia wamechoma gari la askofu mmoja wa kanisa moja huko; na pia wameharibu gari la mchungaji wa kanisa lingine huko huko.

  Kwa mujibu wa Radio WAPO, uhalifu huu haujachukuliwa hatua zozote na kamanda wa polisi wa mkoa wa Ruvuma. Choko choko za uvunjaji wa sheria na kuzua ghasia hizi umesababishwa na kundi moja la mihadhara la kiislam linalohubiri dhidi ya imani ya wakristo. Mhadhara huo umeanza wiki iliyopita. Kutokana na mahubiri hayo, inasemekana hofu imetanda mjini hapo Tunduru.

  Ninachotaka kukumbusha ni kwamba vurugu kama hizo ndizo zilizotokea miaka ya 1998-99 hapo Mwembechai. Waislam wakahamasishana kwenda kuvunja mabucha ya nguruwe barabara ya Tandale. Kilichotokea tunakijua, watu waliuawa, kina mama wa kiislam walidharirishwa pale msikiti wa Mwembechai.

  Sias hizi, hazikuzuka tu. Utawala wa Alli Mwinyi ulianza kulea na kuatamia chokochoko hizi. Rais Mkapa akiongoza Chama cha Mafisadi (CCM) akajitahidi kupinga sera na choko choko za jinsi hii. Wakati wa kampeni za JK kugombea kwa awamu zote mafisadi CCM wameutengeneza udini kufikia hatua ya juu kabisa.

  Kwa hiyo, kinachoendelea huko Tunduru ni mkakati ule ule wa kuiingiza Tanzania katika genoside(mauaji ya kimbali). Mauaji haya yatakuwa mabaya zaidi kuliko yale ya Rwanda. Haya hayatazimwa kwa namna yo yote. Mtoto aliyezaliwa na CCM 'udini' miaka ya Alli Mwinyi sasa amekua amekuwa kijana ambaye shughuri zake zikionekana kwa uwazi sasa kwa kuwa serikali ya JK na CCM chini yake imempa uhuru mtoto huyu kufanya atakavyo. Mtoto ameng'amua baba hana kauli dhidi yake. sasa amekuwa sugu.
  HONGERA serikali ya CCM vita mliyoipanga na kuiratibu imeanza kupiganwa Tanzania.

  ANGALIZO: Vita haitakuwa na mwenye nafuu, huko Mbeya ufugaji wa nguruwe hufanywa na watu wa dini zote-nguruwe ni ufugaji wa kiuchumi mkoani humo kwa hiyo,watu wa imani moja watashindania nguruwe hawa wakisema haramu na hawa wakisema ni biashara. CCM hamtanusurika! maana katibu mkuu wa wizara na waziri wake ni wa imani tofauti.
   
 2. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Upo upande upi wa Tunduru? Nakupongeza kwa kula chumvi nyingi na uwezo mkubwa wa kuandaa insha.
   
 3. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Alichokisema ni ukweli dhahiri tunapoaanza kuwa na double standard katika utekelezaji wa sheria huko ndipo tunaelekea, hivi ni serikali ipo inaaruhusu watu kuaandamana kumkataa kiongozi wa baraza kisa dini, ni wapi waumini wanaandamana kutaaka wavunja sheria waachiwe bila maasharti naa wakaachiwa, hakya mungu JK hii nchi itakulaani wewe na uzao wako naa Akina mwema, chagonja, nchimbi, membe mnafiki na wengineo wote ambao mnatumia dini na Imani Zenu kwa hila
   
 4. B

  Bijou JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  eedoh05 Umesema YOTE NA vizuri, NEED WE SAY MORE??
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. B

  Bijou JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Mungu IBARIKI Tanzania, wapi maono VIONGOZI wetu, uepushe yale ambayo Kagame alisema anaziona symptoms hapa Tanzania Kama zilizokuwa Rwanda, japo KWA muktadha TOFAUTI, miaka ya tisini
   
 6. M

  M.L. Senior Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Niko upande wa taifa la wastaarabu. Wenye kuheshimiana. Somalia haikaliki, Syria Haikaliki, Libya na Misri hali bado ni tete. Rwanda makovu ya mauaji ya kimbali bado hayajapona kabisa. TUSIENDE HUKO.
   
 7. M

  Mboko JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 1,067
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Watu wengi walikuwa hawajaelewa waraka wa Mh Mchungaji Christopher Mtikila ya kuwa Kikwete Gamba alipanga kuteketeza Ukristo wengi wao wakaja na mazarau wakadiriki kusema ooh we know Rev Mtikila he always talk talk ss yametimia na cha kushangaza serikali ile ile ya huyu Mwehu Kikwete imetulia kama haisikii tumeona wakuu wote wa Police pande zile ni hao hao Wajahidina Uamsho so wao wanaona ni poa tu lakini nawapa akiba ya maneno Wakristo wakisema hii sasa ni too much hata huyo Kikwete hatabaki,mkumbuke Wakristo si wachokozi na hata ukiwachokoza wao watakukabidhi kwa Yesu lkn wakichoka japokuwa hawachoki kumuomba Mungu itakuwa over Somalia au Syria.Huyu jamaa ndio maana kaweka IGP mslam,kanda maalum mslam,wakuu wa wilaya wanafiki wengi wao waslam,makamu wake ni mjahidina too so hapo hakuna kitu.Lkn akae akifahamu kuwa mvua haizuiwi kwa chandarua
   
 8. B

  Bijou JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145

  Pamoja sana mkuu, vita haina macho!!!!!!
   
 9. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Unakoenda siko, kama upo nje ya mstari hivi. Anyway, lakini kengeza la akili ni baya sana.
   
 10. n

  nyantella JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  rubbish!!!
   
 11. M

  Mboko JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 1,067
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  So kama niendako siko nambie where i sappose to go,naona akili yako imelemaa na pia siwezi kuongea sana na mtu kama wewe kwani ndio wale wale lkn si mlipewa deal la kumuua ati yule aliyetoa vikatuni na movie ambayo mnadai mtume wenu ati amekashifiwa so si wangemtafuta huyo mlengwa na kupata kiasi kile cha fedha kuliko kuchoma vibanda vya Watanzania wenzao this is insanity.Hebu kuweni wastaarabu mnaishi dunia gani nyie???
   
 12. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  kama ukiiangalia ile sinema wanayoipiga vita ya THE INNOCENCE OF MUSLIM utagundua kuwa kuna mbegu mbaya ya uporaji na tamaa ya madaraka na mali imewekwa kwa mgongo wa dini.... maskini ndio inaleta shida......

  na utaona kwenye hiyo sinema hata wale polisi waliotumwa kwenda kusaidia pale dispensary ilipochomwa kwa maagizo ya kiongozi wa dini wakapewa amri na mkubwa wao kuwa acheni wamalize uchomaji kwanza ndio na sie tutaingilia kati....

  kinachotokea tunduru hakitofautiani sana na kilichoonyeshwa kwenye hiyo sinema....yanayotokea sasa ni mambo ambayo ni arranged structurally......yaani polisi woote waliishaamuriwa wasireact kwa lolote.......

  i am seeing the new genocidal rwanda in tanzania.... because iof this MR VERY DHAIFU JAKAYA
   
 13. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Mnakosea sana kuupa taswira ya kulazimisha kuwa uislamu ni dini mbaya. Nawahurumia maana mmeamua kujiamulia nyinyi mnavyotaka na sio uislamu ulivyo. Ila kwa sababu nyie wenyewe mmeamua kuona hivyo, endeleeni kuona. Ila ukweli tunaujua sisi waislamu, na hata nyie baadhi yenu mnaufahamu ukweli, ila yaonekana mmeamua tuu kuuweka pembeni ili mjipe wasaa wa kuutukana uislamu. USAHURI, kama kweli nia yenu ni nzuri jaribuni kuusoma muuelewe uislamu, msiutukane uislamu hali ya kuwa hamuujui. Kama kuna watu wanafanya fujo, kwa nini hamjaripoti polisi??? Kwa nini mnakuja hapa kuanza kuutukana uislamu??? NISINGEPENDA TWENDE HUKO TAFADHARI.
   
 14. B

  Bijou JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Zanzibar makanisa yamevhomwa, nani ameisha fikishwa mahakamani?
   
 15. K

  Kibagata JF-Expert Member

  #15
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 773
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Hawa waislamu ni majambazi mauaji BA wanalelewa na serikali ya DHAIFU maake ndo anawatuma kufanyia wengine vurugu. Na very soon REVENGE WILL BE DONE.
   
 16. U

  UNO Senior Member

  #16
  Sep 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 197
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na wewe kuwa muungwana kidogo kwa kubali ukweli. Ni kwa nini uharibu mali ya mwenzako aliyoitolea jasho miaka? Hivi msikiti ukichomwa mngefanya nini? Mahali penye ukweli tukubali. Tunakokwenda kama nchi siko. Sijui kama uislamu ni kueneza chuki inayofanywa katika mihadhara mbalimbali. Kama sivyo. Badilikeni sasa.
   
 17. k

  kaka miye Senior Member

  #17
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tatizo ni uongozi wa kikwete kuacha mambo yaende kwa manufaa yake yeye anakoipeleka tz ni wapi.Yaliyotokea rwanda nimeyaona kwa macho nisingependa yatokee tanzania.Jakaya angalia hilo kwa macho mawili vita ya dini ni mbaya sana tuepushe mkulu
   
 18. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #18
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  umaskin kaka' na ulumbuke ona wenzen korea wana2pga gap sis 2na ng'ang'ania dini za kuja na meli!..walio zileta hawana tym nazo
   
 19. B

  Bijou JF-Expert Member

  #19
  Sep 29, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Inashangaza sana, badala ya kukazania maendeleo, tuko kifitna tu, eh Mungu Mkuu aingilie Tanzania KWA jicho lako la huruma-Amen!!!
   
 20. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #20
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mkuu unajua ulichokiandika? au ushabiki? Je ni kweli mauaji ya mwembechai yalitokea kwa sababu ya kuvunja mabucha ya nguruwe? Better you ask kama hujui. Acha kupotosha watu.
   
Loading...