Chagulani aliipigia kula cdm

fered mbataa

JF-Expert Member
Feb 19, 2012
240
35
diwani wa chadema aliyevuliwa uawanachama adam chagulani aliipigia kura cdm ila cuf ndo wameshindwa kuvunja ndoa yao. Cuf waliwafuata cdm nje ya ukumbi na kuwashawishi warudi wapige kura kwani wao watawaunga cdm ili washinde lakini cuf hawakufanya hivyo ndo ushindi wa ccm ulivyokuwa. Then ccm imefanya uchaguzi wa ilemela ushindwe kufanyika ili kamati maalum nchini ya ccm iyongoze halmashauri ya ilemela.

Source wenje mwenyewe redioni kwa neema fm
 
diwani wa chadema aliyevuliwa uawanachama adam chagulani aliipigia kura cdm ila cuf ndo wameshindwa kuvunja ndoa yao. Cuf waliwafuata cdm nje ya ukumbi na kuwashawishi warudi wapige kura kwani wao watawaunga cdm ili washinde lakini cuf hawakufanya hivyo ndo ushindi wa ccm ulivyokuwa. Then ccm imefanya uchaguzi wa ilemela ushindwe kufanyika ili kamati maalum nchini ya ccm iyongoze halmashauri ya ilemela.Source wenje mwenyewe redioni kwa neema fm
Mkuu una uhakika gani kuwa Chagulani aliipigia Chadema?, una uhakika gani kuwa CUF hawakuipigia Chadema?....... hicho ulichokisema kinaweza kuwa kinyume chake
 
CDM tusitafute mchawi nje! Hapa mzizi wa fitna ni ' first lady' wetu! Ndiye anayeyumbisha chama
 
Mkuu una uhakika gani kuwa Chagulani aliipigia Chadema?, una uhakika gani kuwa CUF hawakuipigia Chadema?....... hicho ulichokisema kinaweza kuwa kinyume chake

Wenje mwenyewe aliyekuwa ndani ya uchaguzi ndo anaelezea hayo, kura za cdm walizopata ni idadi ya madiwani wao 8, ccm ni idadi yao 8 na 3 wa cuf ndo unapata ushindi wa kura 11
 
Chagulani si alivuliwa uanachama wa Chadema?

Sasa inakuwaje anaingia kwenye kikao cha baraza la madiwani na kupiga kura?
 
Chagulani si alivuliwa uanachama wa Chadema?

Sasa inakuwaje anaingia kwenye kikao cha baraza la madiwani na kupiga kura?
Mambo ya mahakama mkuu. Kafulila na Rashid Hamad wanaendelea kutafuna pesa yetu wakati kisheria si wabunge tena.
 
Tetesi: Babu kauza safari yake ya mwanza alikwenda kuchukua cheque ya 270mil, katumika na CCM kuwafukuza madiwani.
 
Wenje mwenyewe aliyekuwa ndani ya uchaguzi ndo anaelezea hayo, kura za cdm walizopata ni idadi ya madiwani wao 8, ccm ni idadi yao 8 na 3 wa cuf ndo unapata ushindi wa kura 11

Huo uchaguzi,haukuwa wa SIRI? Tumesha fafanuliwa hapa kuwa CCM,ina jumla ya Madiwani 7,ikawahamishia huko wengine wawili kutoka Ilemela,na kuwa 9.
Mi nadhani,hizo kura mbili zilizoongezeka CCM,ni ya Chagulani,na nyingine kutoka CUF. Hiyo kura ya 8 ya CHADEMA,imetoka kwa CUF,aliyeahidiwa U-naibu Meya.
 
Mungu wetu ni mwema hata hivyo sio matakwa ya wananchi wa mwanza ni uhuni wa watu wachache kwa sababu zao binafsi,ila hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom