Ufunguzi wa tawi la CDM la basihaya boko Dar unaendelea leo mgeni rasmi Halima Mdee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufunguzi wa tawi la CDM la basihaya boko Dar unaendelea leo mgeni rasmi Halima Mdee

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Micro E coli, Sep 29, 2012.

 1. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Wakuu nipo hapa Boko kunauzinduzi wa tawi la Cdm hapa na mh Halima Mdee ndio mgeni rasmi nita wajuza kwa picha baadae.CDM twanga kotekote.
   
 2. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,476
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nashukuru mkuu, kaza buti tupate hizo picha na update.
   
 3. a

  arusha 1 Senior Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwambie Halima akomae tupo nyuma yake!
   
 4. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  lissu na lema-arusha
  zitto-karatu
  mdee-boko
  heche
  duh kweli ni twanga kotekote
   
 5. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Baadhi ya picha za awali za maandalizi naandaa kutima wakuu vuteni subila kidogo
   
Loading...