segwanga
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 2,789
- 729
Baada ya zitto kabwe kutangaza hadharani kwamba hagombei tena ubunge mwaka 2015,nimefarijika na kuona njia ni nyeupe kwangu kutangaza mapema kwamba jimbo la kigoma kaskazini linatakiwa libaki kwenye himaya ya chama makini ambocho mwaka 2015 kinakamata dola (lakn si kwa kichwa cha zitto).Watu wa kigoma kaskazini wanatakiwa wapate mbunge anayeeleweka si kinyonga kama mbunge wa sasa.Mi ni mpambanaji wa ukweli na naamini hapa jf great thinkers wapo watanipa ushauri makini ili kufanikiwa katka lengo langu hilo.NAOMBA USHAURI WENU WANABODI.