CCM yaibwaga CHADEMA katika Umeya jiji la Mwanza

CCM yaibwaga CHADEMA katika Umeya jiji la Mwanza

Idimulwa

Platinum Member
Joined
May 27, 2011
Posts
6,226
Reaction score
5,339
Mgombea wa kiti cha umeya katika Halmashauri ya jiji la Mwanza kupitia CCM na diwani wa kata ya Mkolani Ndg Stanslaus Mabula, ameshinda kiti cha umeya kwa jumla ya kura 11 dhidi ya mgombea wa CHADEMA diwani wa kata ya Mahina Ndg Charles Chinchibera aliyepata kura 8.

Source: Mimi mwenyewe nipo eneo la tukio.
 
mgombea wa kiti cha umeya katika jiji la mwanza kupitia ccm na diwani wa kata ya mkolani mheshimiwa stanslaus mabula, ameshinda kiti cha umeya kwa jumla ya kura 11 dhidi ya mgombea wa cdm diwani wa kata ya mahina mheshimiwa chinchibera aliyepata kura 8.

Source: Mimi mwenyewe nipo eneo la tukio.

ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mgombea wa kiti cha umeya katika jiji la Mwanza kupitia CCM na diwani wa kata ya Mkolani Mheshimiwa Stanslaus Mabula, ameshinda kiti cha umeya kwa jumla ya kura 11 dhidi ya mgombea wa CDM diwani wa kata ya Mahina Mheshimiwa Chinchibera aliyepata kura 8.

Source: Mimi mwenyewe nipo eneo la tukio.

Umeya jiji la Mwanza ndo nini?Je wilaya Ilemela na Nyamagana washindi ni nani ktk umeya?Lete taarifa kamili.
 
CCM 11
Chadema 8

Hii "margin" ndio inanisisimua mie!
 
Kama ninkweli tungoje ya halmashauri izo mbili ie Ilemela na Nyamagana
 
kweli vita vya panzi furaha ya kunguru. jumla ya wapiga kura ni wangap?
 
Umeya jiji la Mwanza ndo nini?Je wilaya Ilemela na Nyamagana washindi ni nani ktk umeya?Lete taarifa kamili.

Mkuu jiji la Mwanza limegawanywa hivi karibuni kama ifuatavyo:Kuna halmashauri ya Jiji la Mwanza na pia Halmashauri ya manispaa ya ilemela,kuhusu meya wa ilemela stay tuned mkuu
 
Wanabodi,

Leo tarehe 28 2012 unafanyika Uchaguzi wa Meya pamoja ni Naibu Meya wa Halamashauri ya Jiji la Mwanza.

Kamati ya utendaji ya Chadema Nyamagana, kushirikiana na kamati za madiwa wa Chadema zimekamilisha mchakato wa kupata wagombea nafasi ya Umeya na Naibu Meya. Diwani wa Kata ya Maina, Charles Chibara, amepitishwa kuwa mgombea Umeya wa Halamashauri ya Jiji la Mwanza, Chadema wamefanya makubaliano na chama cha CUF ili wapate wingi wa kura na kumpitisha Diwani wa CUF Kata ya Mirongo Daudi Mkama, kuwa mgombea wa nafasi ya Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza.

Siasa aina adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu Chadema wanawaita CUF ni CCM B sababu wameshirikiana na CCM Zanzibar sasa Chadema sijui wataitwaje huko Mwanza.
 
Mgombea wa kiti cha umeya katika Halmashauri ya jiji la Mwanza kupitia CCM na diwani wa kata ya Mkolani Ndg Stanslaus Mabula, ameshinda kiti cha umeya kwa jumla ya kura 11 dhidi ya mgombea wa CHADEMA diwani wa kata ya Mahina Ndg Charles Chinchibera aliyepata kura 8.

Source: Mimi mwenyewe nipo eneo la tukio.
Sad news !
 
Idimulwa katika hao wapiga kura 19 uwakilishi wa vyama ulikuwaje?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom