Watanzania je tunayajua haya juu ya vyama vyetu vya siasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania je tunayajua haya juu ya vyama vyetu vya siasa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tanganyika one, Oct 3, 2012.

 1. Tanganyika one

  Tanganyika one Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mie nikijana mdogo sana nina pata miaka 21 sasa tangu akili yangu ilipo pata kutambua kwamba hii ni nyekundu na hii ni nyeupe nimekua nikipata shida sana kwani kwanilivyo sikia wenzetu MAREKANI wana mpango wa nchi yao miaka 100 mbele .ila vyama vye hivi vimekua viki toa ahadi ya kendeleza nchi kwa miaka mitano bila hata kutoa taarifa za upatikanaji wa fedha hizo kwaajiri ya kukamilisha miladi hiyo wote kwa ujumla hatuja ona kwamba hilo ni tatizo? hata hawa wanao omba kuchukua nafasi badala ya waliopo madalakani pia hawaja pata zungumzia hilo.

  JE SISI KAMA VIJANA MNAKUBALI AKILI YETU KUIJENGA KWAMBA SIASA NI FITINA,FUJO,VULUGU,MATUSI,MICHEZO MICHAFU,UFISADI,NA DHULUMA? kama la mbona nyie watu wazima mwatenda hayo mbele ya macho yetu?

  MIMI HUWAFANANANISHA NYINYI NA TIKITI MAJI CHANGA KWANI LIMEBEBA RANGI ZA VYAMA VYOTE LIKIWA BICHI NA CHANGA LINA KIJANI,NYEKUNDU, NA WEUPE KWA MBALI.


  naomba majibu na sio maswali
   
 2. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Swali lipo wapi tukupe JIBU?
   
 3. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  una miaka 21 unasema marekani ina mipango ya miaka 100 ijayo , je waweza kuthibitisha hilo bila kuacha shaka yeyote walau kwa kutupa mipango hamsini ya marekani kwa miaka 100 ijayo? huu ndio ***** wa watoto mnaoingia JF bila kuwa na cha kuandika zaidi ya majungu, fitna na ushabiki. bwana mdogo unapokuja hapa njoo na issues ambazo ni substansial zenye uhakika na unazoweza kuthibitisha.
   
 4. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mdogo wangu nani alikuambia Marekani ni wenzetu.
   
 5. m

  majebere JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Tukitazama miaka mia mbele basi hii thread yako tungeipuuza.
   
Loading...