Chadema ya weweseka uchaguzi ccm na moto wa cuf arusha

mmwaisoba

JF-Expert Member
May 20, 2012
434
24
Kuna msemo wa kufa kisabuni. Ndo hali inayoikumba chadema. Kwa wakazi wa arusha hapana shaka ni mashuhuda wa mkutano wa kufa mtu wa cuf hapo arusha ambavyo uliwatia aubu wana chadema kwa makombora ya professor lipumba na kejeli za vijana kupewa nkonyagi na bwana lema banada ya kuwatafutia maendeleo. Jumapili liliyopita wasomi udsm walikiponda kama chama kinachoweza kuchukua nchi kwa madai kuwa kimejaa siasa za kitoto, unafiki na na kukumbatia fedha za walipa kodi wa nchi za mabeberu saana chadjumapili iliyopiya wasomi waliipondalakininkikubwa ni chaguzi za nec ambazo zimeingiza majabali katika kila wilaya. Chadema ijiandae safari ya kuwasalimia tlp na nccr
 
Tumia akili. Mkutano wa CUF mara ya kwanza kwanini uliahirishwa? Mpaka msafirishe watu kutoka DSM? CUF hamna cha kutuambia wanachi nyinyi ni .....ke wa Mgamba full stop.
 
Kuna msemo wa kufa kisabuni. Ndo hali inayoikumba chadema. Kwa wakazi wa arusha hapana shaka ni mashuhuda wa mkutano wa kufa mtu wa cuf hapo arusha ambavyo uliwatia aubu wana chadema kwa makombora ya professor lipumba na kejeli za vijana kupewa nkonyagi na bwana lema banada ya kuwatafutia maendeleo. Jumapili liliyopita wasomi udsm walikiponda kama chama kinachoweza kuchukua nchi kwa madai kuwa kimejaa siasa za kitoto, unafiki na na kukumbatia fedha za walipa kodi wa nchi za mabeberu saana chadjumapili iliyopiya wasomi waliipondalakininkikubwa ni chaguzi za nec ambazo zimeingiza majabali katika kila wilaya. Chadema ijiandae safari ya kuwasalimia tlp na nccr

Matumizi ya masaburi sio kichwa kufikiri.
 
Mzee kampa mama hela ya kwenda kuvuruga M4C amemwambia yeye aende na V4C.
 
Huyu jamaa lazima atakuwa Mpemba. Ndio watu wanaokuja kujua kusoma na kuandika wakiwa tayari la saba. Kwa hiyo wanakuwa na hamu kweli ya kuandika kila mahali watakapoona wanaweza kuandika hata kama ni pumba.
 
Hivi cuf na ccm ukitoa tofaut ya jina kuna tofauti gan nyingine? Mi navyofaham kwa sasa cuf ni moja ya jumuia ya ccm km ilivyo uviccm au umoja wa wazazi na wanawake wa ccm. Hivyo basi lazima cuf ipiganie maslahi ya bwana wake ambaye ni ccm. Upizani wa cdm kwa sasa ni kati ya ccm ambayo imeongeza jumuia nyingine iliyo chini ya lipumba. Lipumba kazana kumsaidia bwana wa**ko
 
Nadhan hata kisomo sijui kama kipo hapo. Maana hata id yako ni mgango haina hata space?
 
Kuna msemo wa kufa kisabuni. Ndo hali inayoikumba chadema. Kwa wakazi wa arusha hapana shaka ni mashuhuda wa mkutano wa kufa mtu wa cuf hapo arusha ambavyo uliwatia aubu wana chadema kwa makombora ya professor lipumba na kejeli za vijana kupewa nkonyagi na bwana lema banada ya kuwatafutia maendeleo. Jumapili liliyopita wasomi udsm walikiponda kama chama kinachoweza kuchukua nchi kwa madai kuwa kimejaa siasa za kitoto, unafiki na na kukumbatia fedha za walipa kodi wa nchi za mabeberu saana chadjumapili iliyopiya wasomi waliipondalakininkikubwa ni chaguzi za nec ambazo zimeingiza majabali katika kila wilaya. Chadema ijiandae safari ya kuwasalimia tlp na nccr

dscf1625.jpg

Kwa mbali ni mabasi ya CUF yaliyotumika kuleta watu kutoka dar es saalam inakadiriwa kuwa takribani mabasi 8 na Noa 2 zilitumika kuleta watu toka dar. kwaajili ya mkutano huo.

dscf1577.jpg

DSCF1537.jpg

Naona picha zinajieleza zenyewe; Watu waletwa toka DAR na Mabasi; Nguo wapewa kama CCM; Wanapokewa na Mapolisi wa CCM sasa hapo SIO RAHA KWA CUF-CCM B ?
 
Kuna msemo wa kufa kisabuni. Ndo hali inayoikumba chadema. Kwa wakazi wa arusha hapana shaka ni mashuhuda wa mkutano wa kufa mtu wa cuf hapo arusha ambavyo uliwatia aubu wana chadema kwa makombora ya professor lipumba na kejeli za vijana kupewa nkonyagi na bwana lema banada ya kuwatafutia maendeleo. Jumapili liliyopita wasomi udsm walikiponda kama chama kinachoweza kuchukua nchi kwa madai kuwa kimejaa siasa za kitoto, unafiki na na kukumbatia fedha za walipa kodi wa nchi za mabeberu saana chadjumapili iliyopiya wasomi waliipondalakininkikubwa ni chaguzi za nec ambazo zimeingiza majabali katika kila wilaya. Chadema ijiandae safari ya kuwasalimia tlp na nccr

Upumbavu hauna kikomo.
 
kaeni mmusibiri bwana enu CCM amalize uchaguzi aje awape ujauzito wa mtoto mwingine, raha ya mwanamke wa kiswahili kujifungua kila mara
 
Aaa raha sana hapa jamíi forum, chama cha Uamsho kimekwenda Arusha, angalieni wana arusha mtalipuliwa huko, wenyewe wanasema wazee wa jazba! Hapo ccm rahaa mpaka bac!
 
we ngoja tukwambie ukweli....kwa taarifa yako....huo mkutano haukutushtua hata chembe....kwanza tuliupuuza na hata hakuna aliyekwenda kusikiliza coz tunajua CUF Arusha ni sawa na kifuu....nazi tunayo wenyewe......
 
Aaa raha sana hapa jamíi forum, chama cha Uamsho kimekwenda Arusha, angalieni wana arusha mtalipuliwa huko, wenyewe wanasema wazee wa jazba! Hapo ccm rahaa mpaka bac!

WanaApollo milipuko tumezoea.....wasije tu na Atomic....hilo tutayumba.....
 
Back
Top Bottom