Wahindi na Waarabu wanawachukia Wachagga sana, kwa nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wahindi na Waarabu wanawachukia Wachagga sana, kwa nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by fazili, Jul 13, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. f

  fazili JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,192
  Likes Received: 405
  Trophy Points: 180
  Kule Moshi wahindi na waarabu kama akina Panjuani waliokuwa wakitamba kwa maduka makubwa ya electric appliances sasa utawaonea huruma! Wamesimama ndani ya maduka yao wakitazamana wao kwa wao, hawana ujanja hakuna mtu ananunua kwao.

  Ukienda Arusha mambo yanakuwa hivyo hivyo, utasikia wakisema "biashara hapana mzuri hapa hii Chagga nahararibu bishara hapa". Angalia akina Manji walivyogombana na Mengi, hawataki kumwona mtanzania akifanya biashara kubwa na watu wa aina hii ni tishio kwao.

  Na hili wameliingiza kwenye siasa kwa kuwachochea watu wafikiri CDM ni ya wachagga na wangependa kama nchii wachagga wanafutika wote ili waweze kunyonga vizuri zaidi.

  Tuwe macho na hawa wanyonyaji na tuache kuwashabikia kipumbavu!
   
 2. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Huwa unawaza chuki tu enh! Kama huna cha kupost ni vyema ukaficha ujinga wako.
   
 3. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,627
  Likes Received: 2,004
  Trophy Points: 280
  Umesahau na some somalians,yani ni kweli unachosema.
   
 4. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawawezi kujiunga na upinzani kwa sababu wapinzani hawana mahusiano na ALKAIDA, lazima wajifiche kwenye chama cha majambazi, mafisadi na wezi wenzao.
   
 5. M

  Marytina JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  wengi ni waislam so lazima wawe kwenye chama cha kiislam ccm
   
 6. k

  kiloni JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  toa mfano wa waarabu wa maskati ya shinyanga na wa iselemagazi, jinsi wanavyohujumu biashara za wasukuma vijijini. Wengine hutenda jinai na kuishia kulindwa na cc majambazi.
   
 7. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Unajua Wachagga wanajidanganya sana eti wamewakimbiza wahindi na waarabu! Wahindi na Waarabu wamekusanya pesa siku nyingi saizi wame Fetch kwenye Industrial and International deal, hotel, Company, endeleeni kujidanganya
   
 8. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Umeonae! Wengi wao ni Wakiristo so lazima wawe kwenye chama cha cha Kikiristo CDM
   
 9. MBURE JASHA

  MBURE JASHA JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wote mnaochangia kiudini udini sijui mnafikiria nini ! hivi hata midomo yenu inanuka haja kubwa
   
 10. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  sehemu ya ubongo wako ina hajakubwa
   
 11. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Dogo! huwo ndio ukweli ata ukikasirika
   
 12. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Nimecheka unamfananisha Mengi na Manji! Manji the Don
   
 13. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kwanini mnaingiza udini haifai najua hapo kuna chadema na ccm , kati yenu... acheni mi ni chadema lakini udini haufai....asante mungu. kwa amani iliyopo
   
 14. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  acha kusifia u.... k
   
 15. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  That's not true!
  I have a lot of Chagga friends and business partners as well
   
 16. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Mchaga, mhindi, mwarabu, hapa ni hela tu. Not love.
   
 17. e

  eedoh05 JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Sabodo ni mtanzania mwenye asili ya India. amekichangia sana CDM katika kampeni zake mwaka jana.(nadhani kwa zaidi ya mil.500/-).Nadhani Mh. Saboddo anaamini katika kauli ya Mwl. Nyerere kwamba kati ya vyama vya upinzani, mwalimu alisema Chadema ndicho chama makini.

  Leo anachimba visima vya maji 700 nchini kote.

  Nadhani, kushindwa kwa biashara kwa wahindi sio Kilimanjaro na Arusha tu, hata Mbeya, Iringa na Ruvuma mambo yako hivyo. Kuna sababu nyingi za wahindi kuonekana wamekwama kibiashara. ila wamewekeza sana katika biashara kubwa kubwa kwa sasa.Na sababu nyingine nyingi.
   
 18. P

  Percival JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 2,568
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Ubaguzi + Chuki tu. Wewe huna lolote. Ni watu kama wewe ndio wanairudisha nyuma nchi hii. Wewe jiulize kwa nini Wachaga wanafanikiwa kibiashara na ujaribu kujifunza kitu ndani yake ili ufaudike badala ya kueneza ujinga wa chuki kuhusu wahindi na waarabu.
   
 19. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  vinyesi vingine bwana.......
   
 20. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  nafikiri anarudisha fedha alizoibia baba zetu,waindi wote wezi
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...