Jerry Silaa anaswa kwa rushwa Iringa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jerry Silaa anaswa kwa rushwa Iringa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Magesi, Oct 3, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. M

  Magesi JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna habari ambazo hazijathibitishwa kuwa Meya wa manispaa ya ILALA MH JERRY SILAA anashikiliwa na taasisi ya kuzuia rushwa TAKUKURU MKOANI IRINGA KWA TUHUMA ZA KUTOA RUSHWA YA SHILINGI MILIONI 15 KWA KATIBU WA UVCCM IRINGA BI RHODA ILI AWAGAWIE WAJUMBE WAMPIGIE KURA!

  ###############
  Moderator:

  Jerry Silaa yupo Dar kwenye kikao cha CCM wilaya ya Ilala na alikua Morogoro jana.

  Kwa hiyo kama alikamatwa alikamatwa lini na ilikuwaje?

  Taarifa zinasema alikamatwa na PCCB ama Polisi? Na wanasema yuko wapi? Kama wanasema yuko Iringa watakuwa waongo. Ama wanataka apate free publicity?


  Kiongozi wa UVCCM aliyekua akimpa anaitwa nani na cheo chake ni nani?

  ....
  Uchunguzi wa awali wa JF umebaini kuwa ni kweli Jerry alikuwa Iringa na alieda huko kwa usiri mkubwa; bado tunafuatilia ukweli wa habari hii.
   
 2. R

  Ramos JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hili jina la huyu jamaa naona linampa umaarufu tu. Maana otherwise mi nisingefungua hii thread..
   
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Andika jina lake lote kwenye heading
   
 4. b

  bagwell Senior Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka sio ajabu kwa kutoa RUSHWA mna mchakato mzima wa Uchaguzi wa CCM ni RUshwa tupu huyo Kikwete katokana na rushwa wamuwache na wakimkamata wanamuonea
   
 5. M

  Mazindu Msambule JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 4,322
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  nilitaka kushangaa, Slaa wa ukweli si yule kule kanda ya Ziwa? huyu dogo inawezekana hata hiyo nafasi aliipata tu kwasababu ya hilo jina, vinginevyo sidhani, hata hivyo, kwanini wamshike, kwani rushwa kwa magamba si ni sehemu ya ibada yao?
   
 6. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Jerry Silaa anagombea cheo gani UVCCM...Beno Malisa ameishia wapi mbona sijawasikia..
   
 7. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Dah! Nilivyokuja chap chap kusoma! Nilidhani ni Slaa Wilbrod, kumbe Jerry wa Ilala! Aaaargh! Mleta mada badili heading ya somo
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Kwa nini usingeandika JERRY SILAA kwenye heading? hii siyo habari kwetu hakuna asiyejuwa rushwa na CCM ni sawa na samaki na maji.
   
 9. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,830
  Trophy Points: 280
  CCM rushwa ndo jadi yao.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Anakula pesa za vitalu ana nyumba kijitonyama na VX juu. mungu ampe nini tena.
   
 11. K

  KGARE Senior Member

  #11
  Oct 3, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Akamatwe tu...ngoja tuone mambo yatakavyokwenda!
   
 12. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  inakuwaje akamatwe wakati rushwa ni sela ya chama chao?kwani umesahau yule mkenya wa Iringa?{Mr.J M}
   
 13. m

  mamajack JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  shutu!!!!ningeshangaa.haya katoa au kaopokea? ya pesa au???maana huyu kijana nasikia anatwanga kotekote iwe pesa au nanihii kwa wadada.
   
 14. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,712
  Likes Received: 1,892
  Trophy Points: 280
  i love ths cdm backbone lvly w. slaa, he z my favorite individual kimatendo, kimsimamo, kimamuuzi, kiuvumilivu hasa nikiangalia movie ya alivyonyanyaswa arusha 2011
   
 15. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #15
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Mimi na Mke wangu tunategemea kupata mtoto wa kiume next month (According to utra sound examination).

  Mimi na Mke wangu tumekubaliana huyo mtoto wetu tutamuita BARAK OBAMA!
   
 16. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #16
  Oct 3, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Nimeirekebisha heading Mkuu!
   
 17. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #17
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,841
  Trophy Points: 280
  dah mkuu HEADING ya hii habari imenistua sana...ila presha imeshuka sasa..........
   
 18. papason

  papason JF-Expert Member

  #18
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Mimi nilikuwa nimeisha jiandaa kwa vita nikifikiri raisi wangu yupo matatani chini ya wamagamba!
  kumbe ni li kibaka linaloitwa silaa ndo lime arrestiwa!
  walitandike risasi ya kichwani tuu hilo ligamba...
   
 19. g

  gnsulwa Senior Member

  #19
  Oct 3, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wewe na mkeo wote hamna ****i
   
 20. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #20
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Kama ni mwanaCCM wala sishangai, inawezekana ni sera ya hiki chama kwasababu ni mazoea ambayo yamejenga tabia!!!!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...