Alute Mughwai ni nani?

Izz

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
750
318
Wadau please tusaidie kuweka data (CV) ya huyu wakili Alute Mughwai wa wapinga rufaa ya Lema!
 
Wadau please tusaidie kuweka data (CV) ya huyu wakili Alute Mughwai wa wapinga rufaa ya Lema!

Ww vp? Si umeshasema ni wakili!mambo mengine muulizie Tundu lissu aweke cv za kk yake hapa!
 
Hahahaa, huyu jamaa amepigania jana kifungu cha Mhuri tu.

Pamoja na Jaji Mkuu kumuelewesha, bado aliendelea kupinga vikali.

Walipompa za usoni kuwa kama HUKUMU haina Mhuri, basi Lema bado ni Mbunge, akanywea!!!

Kama angelikuwa huyu jamaa, angelisema kuwa baada ya Nembo kuanguka, anayehutubia siyo Rais wa USA.

Last edited by a moderator:
Huyu nasikia ni ndugu wa damu wa Tundu Lissu.

Yaani ndugu wawili, mmoja Gamba-damu na mwengine Gwanda damu, mimi kama ningekua mzazi wao namuachia laana tu huyu alute.
 
Wadau please tusaidie kuweka data (CV) ya huyu wakili Alute Mughwai wa wapinga rufaa ya Lema!

Mtetez wa haki za wanyonge,anayepigania maslahi ya watu wa Arusha kutokuongozwa na Tapeli, mhuni,mwiz wa magari,na asiyekuwa na busara hata chembe!!!!!!
 
Hahahaa, huyu jamaa amepigania jana kifungu cha Mhuri tu.

Pamoja na Jaji Mkuu kumuelewesha, bado aliendelea kupinga vikali.

Walipompa za usoni kuwa kama HUKUMU haina Mhuri, basi Lema bado ni Mbunge, akanywea!!!

Nimeipenda hii! Waswahili husema

Kuchamba kwingi huondoka na m.a.v.i

au Akili nyingi huondoa maarifa
 
Last edited by a moderator:

Mtetez wa haki za wanyonge,anayepigania maslahi ya watu wa Arusha kutokuongozwa na Tapeli, mhuni,mwiz wa magari,na asiyekuwa na busara hata chembe!!!!!!

Bora ya kuongozwa na huyo TAPELI,MWIZI WA MAGARI KULIKO kumpigia kura MALAYA MWIZI WA WAUME ZA WATU.
 
nisaidieni jamani,hicho kifungu cha mhuri hakiwezi kuibatilisha rufaa,kama inawezekana kwann wanasheria wa lema hawakutilia maanani hicho kitu??
 
Back
Top Bottom