RATIBA YA M4C Kwa Mikoa ya Iringa, Singida, Manyara na Dodoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RATIBA YA M4C Kwa Mikoa ya Iringa, Singida, Manyara na Dodoma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chasha Poultry Farm, Oct 2, 2012.

 1. Chasha Poultry Farm

  Chasha Poultry Farm Verified User

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 5,660
  Likes Received: 1,167
  Trophy Points: 280
  Wakuu Nakumbuka Tuliambiwa kwamba M4C itaanzantena mwishoni mwa mwezi wa 9 yaani kwenye Tarehe za 29 lakini cha ajabu huu ni Mwezi wa 10, Walioko Huko Jikoni watujuze, Au ndo bado Maombolezo ya Kamanda Mwangosi yanaendelea?
   
 2. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nilidhani wewe ndiye umeleta Ratiba!! Hili nalo ni ajabu la nane!!
   
 3. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,684
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nikafiki umepata ratiba yake kumbe ndio wale wale
   
 4. C

  Chademason Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tulia huko wewe. Bado tunajipanga tukiwa tayari utatuona tu si unajua kimya kingi kina kishindo kikubwa.
   
 5. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  Kama ulipata kumsikia Heche kwamba M4C itaanza kwa kishindo na kwa kutumia Helkopta 4,
  hivyo nadhani hata ile Lema aliyokuwa akiikagua Uingereza itakuwa imewasili na Chopa 2 za Ndesamburo zilizopo Moshi zipo service.
  Nadhani wanasubiria hukumu ya Lema ndio M4C ianze rasmi.
   
 6. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #6
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,889
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  ilikuwa ianze jana mkoani iringa, kwa bahati mbaya bado tunaendelea kupokea vifaa bandarini kama magari, pikipiki, bendera n.k mfano tar 29 tulipokea gari 8 ndo zinawekewa lable za M4c bado ndo 2po katika mchato huo ijumaa tutakuwa tunapokea pikipiki mia mbili soon m4c itakawa hewani. Ahsante
   
 7. M

  Makyomwango JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  umesomeka, tunawatakia kazi njema na tu pamoko katika ukombozi wa pili wa nchi hii kutoka kwa mkoloni mweisi CCM
   
 8. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #8
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,889
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  peopless
   
 9. chubio

  chubio Senior Member

  #9
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  poweeeer
   
 10. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mkuu Chasha M4C inasubiri majibu ya barua aliotumiwa presedent na report ya kamati ya Nchimbi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,394
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  chadema itakufa ndani ya mwaka mmoja-wassira
   
 12. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,566
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145

  Good,Nasikia fahari kuwa mwanachama wa Chadema tangu pale Mwembeyanga ilipotajwa
  "List of Shame".Maana haya yanaonyesha ni chama mbadala kwa watanzania,kwani kimejipanga
  .
   
 13. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #13
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #14
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 43,653
  Likes Received: 10,061
  Trophy Points: 280
  Sina maneno mengi, ila ningependa kujua kipi kimejiri CDM hadi kuwa kimya na hatuelewi M4C kanda za juu kusini imefikia wapi? Dr. Slaa alituahidi ingeanza wiki 2 baada ya purukushani zilizotokea kupelekea kifo cha Daudi Mwangosi. Makamanda tupeni habari.
  Nawasilisha.
   
 15. Chasha Poultry Farm

  Chasha Poultry Farm Verified User

  #15
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 5,660
  Likes Received: 1,167
  Trophy Points: 280
  Safi sana wale CCM B na copy and pest hawawezi huu mziki.
   
 16. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #16
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,153
  Likes Received: 844
  Trophy Points: 280
  Mkuu kuna thread inaelezea kuhusu ratiba ya M4C kwenye mikoa uliyoitaja..
   
 17. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #17
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
 18. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #18
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
 19. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #19
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 43,653
  Likes Received: 10,061
  Trophy Points: 280
  sorry, ckuiona
   
 20. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #20
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,189
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  M4C ni Failure Failing to plan is planning to fail bado anguko kuu la chadema
   
Loading...