Mgogoro wa Ziwa Nyasa Tz tunaweza kufanya kile Iran alichokifanya dhidi ya Azerbaijan | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgogoro wa Ziwa Nyasa Tz tunaweza kufanya kile Iran alichokifanya dhidi ya Azerbaijan

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Yericko Nyerere, Oct 9, 2012.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,222
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Katika hali inayoonyesha kuwa Malawi wanakataa suluu ya mgogoro wa kihistoria wa mpaka wa Tanzani na Malawi kule ziwa Nyasa, ni kuwa hivi sasa wenzetu wamesusia vikao vya majadiliano ya kidiplomasia.
  Ususiwaji huu umekuja katika kipindi ambacho hoja za nguvu kwa kila upande zikimiminika mezani pa wanaupano pasina kificho wala ghiriba kwa pande yoyote,

  Kile nilichokiona pale Lilongwe na Mzuzu kilinipa matumaini makubwa ya hitimisho la mzozo huu kwa upande wa Tanzania uliowakilishwa na ujumbe mzito na maridhawa ulijiandaa vyema na ulikuja na nyaraka zote nyeti na zakale (za mjerumani) Ndugu Bernad Membe waziri wa Mashauri ya kigeni alikonga nyoyo za wajumbe wa tz huku nyoyo za Wanyasa zikiduwaa bila kuamini kama Tanzania inazo nyara muhimu na za kale kiasi hicho,


  Vivyo hivyo jopo la wanasheria nalo lilijipambanua vya kutosha na kuonyesha dhahiri mgogoro huu unaelekea ukingoni,

  Kwa ujumla jopo lote toke tz lilitumika kama ilivyokusudiwa, na wajumbe waligawanywa katika makundi makuu matatu, 1. Wanadiplomasia, 2. Wataalamu wa Ramani na 3. ni Wanasheria.

  Baada ya kikao cha Mzuzu maazimio yalikuwa ni makutano ya Dar es Salaam mnamo tarehe 10-14/9/2012, lakini katika hali ya kushangaza rais Banda ametoa amri ya nchi yake kujitoa katika majadiliano hayo,

  Hoja yake kuu anataka Tanzania itoe maelezo "kwanini imefanya mapitio/imechora upya ya ramani ya nchi wakati tupo kwenye mgogoro?"

  Hoja hiyo inajibiwa na Tanzania kwa ufasaha kabisa kuwa "Uchoraji huo hauhusiani na uwepo wa mgogoro huo bali Tanzania imeongeza idadi ya mikoa na wilaya zake hivyo kama taifa huru imeamua kuainisha maeneo hayo katika ramani ya nchi yetu sambamba na mipaka ya NCHI"


  Lakini hata hivyo bado Malawi imesusia majadiliano na Tarehe 8/10/2012 imetangaza kuendelea na utafiti wa mafuta na gesi katika eneo linalogombewa.


  Bado nafasi ya kidiplomasia ipo, Ninawasihi Malawi na Joyce Banda warejee kwenye meza ya majadiliano, kama sisi wawili tumeshindwana tutafute msuluhishi atakae aminiwa na wote, na ikishindikana twende UN.

  Kama juhudi zote zikishindikana kwakuwa Malawi wanaonekana wanachembe ya shinikizo la kimagharibi basi njia nyingine ni kutazama historia zenye kufanana na utatuzi wake mfano mzuri ni mgogoro wa Caspian sea kati ya Iran na Azerbaijan

  Mgogoro kama huu ulitokea huko Caspian sea kati ya Iran na Azerbaijan mwaka 2001, Utashangaa kuona jinsi Mwingereza anavyoshirikiana na Mmarekani kwenye mambo ya mafuta. Kama ilivyo Malawi sasa kampuni ya utafiti inatoka Uingereza ila masuala ya usalama yamesimamiwa na Mmarekani.

  Katika mgogoro huo Iran iliamua kuweka gunboat na kusema haitambui hiyo mikataba iliyoingiwa na Azerbaijan na hata kuifukuza BP kufanya kufanya utafiti hapo.

  Rejea hapo chini katika habari iliyoandikwa kwenye mtandao wa http://www.telegraph.co.uk/news/worldnews/middleeast/iran  By Craig Nelson in Moscow


  12:01AM BST 29 Jul 2001


  THE rush to exploit the oil riches beneath the Caspian Sea is threatening to turn violent after an Iranian patrol boat chased two British Petroleum vessels from a disputed exploration site off Azerbaijan last week.  A gunboat from the Islamic republic intercepted the British oil company's ships while the crews were conducting a marine survey 95 miles east of Baku, Azerbaijan's capital.


  The Iranians ordered the exploration team out of the area – an offshore oilfield claimed by both Iran and Azerbaijan. Iran's oil ministry further stoked tensions by announcing that all contracts to prospect in the contested area were invalid and warning oil firms against any plans to drill there, the Itar-Tass news agency reported from Teheran.
  The move marks the growing militarisation of this corner of Asia, which has become increasingly tense following the discovery of vast oil reserves. The 700-mile-long Caspian contains six oilfields, most of which have not been developed. Its total possible reserves could be many times the proven deposits of up to 34 billion barrels.
  Last month, Washington – which sees the region as a important new source of oil for the United States – delivered two patrol boats to the Azerbaijan government to help monitor its borders. The US State Department said the vessels were "non-lethal" and plans to send more.


  Iran threatens BP vessels
  25 Jul 2001
  Condoleezza Rice, the US National Security Adviser, expressed concern at last week's Iranian gunboat incident. "The Caspian is a region where we need stability and where stability is constantly under threat," she told reporters at the Kremlin on Thursday after meeting President Vladimir Putin and other Russian officials.

  "We believe that the Iranians need to be dealt with pretty clearly on issues like this and on issues like weapons of mass destruction." BP officials stressed that the company's vessels had been in Azerbaijan's territorial waters, but were quick to play down the incident. The decision to return the ships and the 49 people aboard to port in Baku was made "in the best interests of the vessels and crew", said a spokesman. "It's a dispute between the two governments, and BP looks forward to an early resolution of this issue."


  An early settlement is unlikely, however. The Caspian's status was governed by accords between the Soviet Union and Iran until 1991. Now there are five states bordering the inland sea - Russia, Azerbaijan, Iran, Kazakhstan and Turkmenistan - and so far they have failed to agree on how to divide the riches beneath the seabed.

  Representatives of the five nations are due to meet in October to discuss border delineations, but industry watchers do not expect the issue to be resolved then. Despite the unclear boundaries, BP joined a consortium in 1998 to explore the offshore site that Azerbaijan calls Araz-Sharg-Alov.

  Other members of the partnership include Azerbaijan's state oil company Socar, Statoil of Norway, Turkey's TPAO, Alberta Energy of Canada and the US-based Exxon-Mobil. The projected investment in the field is £6 billion to £7 billion.

  Iran also claims this offshore field, but the multinational oil giants have been hesitant to conclude deals with the Islamic republic because of US sanctions against Teheran. By entering the accord with Azerbaijan, BP backed Baku's claim.

  Analysts say that it was only a matter of time before Iran - feeling squeezed out of the rush for the oil wealth - made a stand. Suzanne Maloney, of the Brookings Institution in Washington, said: "Iranians feel they lost out in the break-up of the Soviet Union, and they're nursing their wounds from the end of the Cold War. They feel this territory is rightfully theirs."

  It is unclear how far Iran will go militarily to exert its claim. It wants 20 per cent of the Caspian floor, a demand that Dmitry Avdeev, an analyst at the United Financial Group in Moscow, calls "ridiculous".

  Miss Maloney said nationalist fervour was swelling in Iran among both conservatives and the liberal supporters of President Mohammad Khatami, and that the Caspian was becoming a rallying point for the country's politicians.

  Beyond supplying patrol boats to Azerbaijan, it is not known what measures the US administration is considering in response to the rising tensions in the region, but pressures are building for a strong reply.

  The energy strategy of Vice-President Dick Cheney, a former oil industry chief, foresees the former Soviet republics as vital new sources of supply for the US. Yet around the Caspian, Russia is winning control over the region's oil and gas reserves.

  A Washington-backed pipeline from Baku to southern Turkey is still in the planning stage, while Russia's competing project, the Caspian Pipeline Consortium, is due to go into operation in September.
   
 2. Nsabhi

  Nsabhi JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 1,096
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Yafaa pia askari wetu wawe tayari kwa lolote. Iwapo Wamalawi watapeleka ndege zao za utafiti katika eneo letu. Tunakila sababu ya kuwapiga. Ni undawazimu kudai kuwa ziwa lote ni la malawi wakati ziwa hilo watu wote walipewa na mungu.
   
 3. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Amiri jeshi mkuu Dhaifu unategemea nini???
   
 4. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tusijaribiwe kwa kubonyezwa kwanza, lipua kila kirukacho maeneo ya L nyasa.
   
 5. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hawa wamalawi dawa yao ni kuwashikisha adabu tu, wakithubutu kupitisha ndege zao ama manowari zao katika eneo la nchi yetu washughulikiwe kisawasawa.

  Hata kama wamarekani na waingereza ndio wako nyuma yao lakini hatuwezi kuruhusu ardhi yetu ichukuliwe kienyeji kiasi hicho.
   
 6. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,778
  Likes Received: 588
  Trophy Points: 280
  Am not sure ata kama TZ tuna hizo fast attacking boats to deploy on lake nyasa...leo nimeshuhudia UGANDA kwenye sherehe zao za uhuru jinsi walivyo display different type of jet fighter tena za kisasa nilichopenda zaidi ni military helicopter za aina km 3 na zingine zikiwa ni attack copters...Always hua naona helicopter moja ya police yenye two blade sasa sijui tunawezaje vipi kujidefende ktk mipaka yetu..IRAN is another story kwani ktk military power imo na hiyo caspian lake is owned by Russia,Azebaijan na IRAN lakini waliweza kusimama kidete dhidi ya hayo makampuni na kikaeleweka
   
 7. K

  Kifarutz JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,694
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  I don't like stories, kauli ni moja tu mpaka ni katikati ya ziwa. Aliyeona kaonelewa anayo haki ya kukaa kimya, kuanzisha vita au kushitaki popote pale.!
   
 8. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Ayo ndo maneno
   
 9. c

  chachu Senior Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  moshi unafuka! tusisubiri kuona moto ndio tuanze kuzima.
   
 10. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,675
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
  tena ya kiume!
   
 11. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,675
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
  keep quite or :focus: Unless otherwise weakness will be back to yourself!
   
 12. b

  bdo JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,711
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280

  wewe ombea Wamalawi waendelee na zoezi lao ndio utajua tunazo hizo kitu unazodhani hatuna au la
   
 13. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,997
  Likes Received: 2,653
  Trophy Points: 280
  Nina wasiwasi na vifaa vyetu vya kijeshi,maana hii nchi kwa usanii ni balaa,kila mtu yuko busy kuficha cent ulaya.
   
 14. a

  ambagae JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 1,655
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mchango wako wa kimawazo unaweza kuwa mzuri lakini kwa jinsi nisivyopenda kiswaenglish hata siwezi kusoma mawazo yako. CHAGUa lugha moja unayoimudu usitutishe ne kiingereza chako cha mguu Mmoja Kama jogoo anayeimama kwa mikogo ya kusimama kwa mguu Mmoja. Shame!
   
 15. a

  ambagae JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 1,655
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Pamoja na kuchukia uchanganyaji wa lugha ambazo naamini huzimudu vizuri ama kwa kujifanya Au si kosa lako mawazo yako Ni mazuri japo lugha uliyotumia si Nzuri.
   
 16. a

  ambagae JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 1,655
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  E bwana we umejuaje hayo Au na wewe Umoja.
   
 17. IKHOIKHOI

  IKHOIKHOI JF-Expert Member

  #17
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 366
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni kweli, kwanza hizo ndege zao tunazihitaji. Shirika letu la ATC lina ndege moja tuu, hivyo tukizichukua hizo ndege ni mtaji kwetu pia.
   
 18. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #18
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,531
  Likes Received: 10,442
  Trophy Points: 280
  nimeipenda staili ya jogoo na mguu mmoja.!
   
 19. s

  swrc JF-Expert Member

  #19
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 442
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi kwenye masuala ya kijeshi hakuna uchakachuaji kama wa 10%?
   
 20. B

  Baba Hellen JF-Expert Member

  #20
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 764
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Mbona uzalendo huu niwakitoto sana minaona tuchukue hatua za kidiplomasia zaidi we siunaona magambayamekwenda mamtoni kutafutahifadhi wafikiri canada nikwa ajili gani
   
Loading...