Kampeni: Nkapa arudishe tofali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampeni: Nkapa arudishe tofali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sijali, Oct 14, 2012.

 1. Sijali

  Sijali JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 2,057
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Wakati fulani mwaka 2004 (kama sikosei) rais Ben Mkapa alitembelea mgodi mmoja wa dhahabu akapewa tofali la dhahabu. Tofali hili kwa kweli ni mali ya hazina ya Tanzania, na si vinginevyo. Sijasikia tena habari zake lakini naamini amelihodhi.
  Kama ni hivyo inabidi wana JF tuanzishe kampeni ya kumtaka alirudishe kwenye hazina. Ni sisi ndio tunaoabika wakati rais wetu hakai nyumbani kila siku kiguu njia kwenda kuhemea nje......kumbe tuna tuna tofali la dhahabu!
   
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Yule mzee ni mwizi na pia alikuwa kibaraka wa magharibi kama ilivyo kwa JK.
   
Loading...