Yahya M Live from Tanga: Miaka 13 ya Kumbukumbu ya Nyerere | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yahya M Live from Tanga: Miaka 13 ya Kumbukumbu ya Nyerere

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GHOST RYDER, Oct 14, 2012.

 1. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  NAMUONA BWANA KARSAN WA UTPC na Mama Chiku Galawa akizungumzia maendeleo ya Mkoa wa Tanga
   
 2. hayaland

  hayaland JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 60
  Ili viwanda vifufuliwe,serikali ijipange kutunga sheria za kuwabana wote wanaoujumu viwanda vyetu.viwanda vingi vimeliwa na wazalendo.mawaziri ndio chanzo cha viwanda nchini kwani wanaviua then wajifanye wanawekeza ili viwe mali zao.pili namshauri mkuu wa mkoa huyo amasisheni watu wa mkoa wako wafanye kazi uswahili wauweke pembeni,mtu wa Tanga anapopata kitoweo toka baharini basi siku imepita,nawaomba wabadilike na wajikite zaidi ktk elimu kwani wenye elimu ni wachache kwani tanga imejengwa na watu kuja.
   
 3. B

  Brigedia Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu
  Kubwa ambalo linasikitisha katika Mkoa wetu wa Tanga ni uharibifu mkubwa wa mazingira unaondelea katika maeneo ya misitu yetu ya hifadhi hasa katika misitu ya uwanda wa milima ya Usambara mashariki na magharibi ambayo ni vyanzo muhimu sana vya maji katika mkoa wetu wa Tanga.
  Pamoja na jitihada za Mama Chiku galawa lakini bado uharibifu unaendelea na unafanywa kwa makusudi kabisa na baadhi ya watendaji wa serikali katika wilaya za Mkinga, Kilindi, Handeni pamoja na Muheza. Hili tunaomba lishughulikiwe haraka iwezekanavyo kwani tutaifikisha Tanga yetu mahali ambapo si pazuri kabisa. Tupo tayari kushirikiana na office yake kwa msaada zaidi.
  Stephen Nyagonde.
  TFCG/WWF-East Usambara Mountains.
   
Loading...