Kuelekea 2015 busanda waanda mgombea

Chief Lugina

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
286
76
Katika kuonesha M4C siyo mchezo wakazi wa Katoro ambapo ndiyo Makako Makuu ya Jimbo la Busanda na ngome imara ya CHADEMA wanasema mbunge wa sasa Lolencia Bukwimba(CCM) basi na hana chake tena 2015 sasa jina linalotawala ni la kijana mdogo kabisa kutoka CHADEMA bwana Adam ambaye anapewa nafasi kubwa ya Kuwa mbunge wa jimbo hilo 2015. Umaarufu wa kijana huyu inasemekana unatokana na yeye kuishi maisha halisi ya wana Katoro/Busanda japokuwa ni msomi. Please kwa yeyote kutoka Geita au Busanda au Katoro anayemjua huyo kijana tafadhali atiririke hapa ili kama vipi CHADEMA wamtumie na kumwandaa vizuri as long as wananchi wameshamkubari.Pia tujue kama mtoa taarifa wangu alikuwa anapaka upepo rangi au! Samahani lakini. Next week nitakuwa Geita nitafuatilia profile yake pia.
 
Katoro napafahamu sana kwa miaka mingi, tuletee taarifa zake ilitumpigie mbiu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom