Hii Imewauma sana hadi wanatoa taarifa upesi upesi na kutuma Mpelelezi?

Man 4 M4C

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
743
114
Hapa naona sasa ndio kazi itafanyika tena haki itatendeka kila aliyehusika ninaimani jeshi la polisi litamtia nguvuni. Na Iringa ingefanyika hivi si ingelikuwa vizuri zaidi? Hili la Mwanza linakera sana nawaomba polisi muwasake wauaji..............
 
Double standard.....maisha ni haki ya kila mtu,wanaona aibu sasa hata mkienda mkahamisha na ghala la silaha haina maana yeyote kwetu....mtakwepesha ukweli,aibu imewapata!
 
Kama upelelezi bado hizi taarifa kuwa ameuwawa na majambazi wamezitoa wapi.Kwani kazi ya jambazi ni kua au kiiba?
 
Hivi tume ya uchunguzi imeshaundwa? Na imejumuisha akina nani? Walioko jiokoni mtujuze jamani!
 
kitakachofanyika ni kukamata vibaka na wezi wakongwe ambao hawajapeleka ada zao za mwezi kisha watatafuta raia wowote wawili na kuwabambikia mauaji hayo na upelelezi utakuwa umekwisha.
 
ulimboka bado hataalie husika na unyama ule hajakamatwa,kafa baro mapovu ya watoka,kila raia anahaki ya kuishi!
 
Wewe unaamini tume itatoa maelezo ya ukweli? 1.kwanini waliomuua wanaitwa majambazi kabla ya upelelezi? 2.mbona yule mwanamke aliyekuwa naye hatuelezwi ukweli alikuwa nani?
 
Back
Top Bottom