Kikwete fails to convince Canadian media on Serengeti Highway plans | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete fails to convince Canadian media on Serengeti Highway plans

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by thread critic, Oct 7, 2012.

 1. t

  thread critic Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Once again proof kuwa wa Kenya wanazidi kutuburuza mpaka huko kwa wafadhili.

  Its time for JK akarudisha pesa za hawa World Bank na Ujerumani kisha akachukue pesa Beijing watujengee not only hiyo highway na high speed rail

  I've had enough with these intefeering Kenyans na naomba JF iondoe hii kampeni ya kupinga huu mradi humu kwa sababu JF sio proxy ya wa Kenya kuja kupiga kampeni za kupinga miradi ya Maendeleo Tanzania.

  Naomba na kambi ya Upinzani watoe tamko kama wana alternative views or whatsoever. Haiwezekani maendeleo ya nchi yakawa hold ransom na hawa ma 'nyangau'  KIKWETE AT A LOSS TO EXPLAIN SERENGETI HIGHWAY PLANS

  While in Canada for an official state visit did President Kikwete find himself in a tight spot, when challenged by the media over the hugely controversial Serengeti highway plans, his government had floated in 2010.

  The road would cut the migration route of the wildebeest towards the Kenyan Masai Mara, where his government has steadfastly refused to open the Bologonja border post, ostensibly to 'keep the Kenyans out of the Serengeti'.

  Some weeks ago conservationists blamed Tanzanian park officials to have deliberately created fires in the Serengeti to prevent the large herds from completing their annual migration to the Kenyan Masai Mara, a claim swiftly denied by SENAPA and TANAPA officials, though the fires were in itself not disputed, only the interpretation.

  With the case in court at the East African Court of Justice, where the Tanzanian government has failed to stop the case on a variety of grounds, the road plans have dented Tanzania's credibility as a conservation nation, and added equally controversial projects on Lake Natron, the Coelacanth marine national park near Tanga and uranium mining and a huge dam project in the Selous are only increasing the woes.

  President Kikwete's explanations sounded as weak as mitigating pleas normally do, especially as the alternate Southern route would reach 4 times as many people and would be financed by both the World Bank and the German government, offers however not accepted by the Tanzanian government up to now.

  Critics claim that Kikwete was under pressure by contributors to his last campaign to deliver on promises allegedly made, connecting the Lake Natron flats and the mining concessions between the Serengeti and Lake Victoria to a major paved road, so that new mines could be opened and a soda ash factory established within the breeding grounds of the East African lesser flamingos.

  To make matters worse, one of his self styled mouth pieces, a Mr. Edward Porokwa, gave away the game
  when he openly spoke out against Kenyan cattle buyers who are allegedly cheating Tanzanian livestock sellers with artificially low prices for lack of alternate roads.

  Such talk is likely to negate President Kikwete's good will visit three weeks ago to Kenya's capital Nairobi, where he was attempting to court public opinion and dispel constant murmurs that Tanzania's attitude to her neighbours was far from friendly – allegations supported by regular non tariff barriers being slapped on Kenyan traders and businesses.

  Comparisons by Porokwa with other highways crossing national parks too were considered a dismal failure in justifying the highway across the Serengeti, as in Mikumi National Park the loss of game through road kills continues to be high and recent experience with a new road in Kenya between Emali and Kimana too showed a sharp increase of game being run over by trucks, now that the road is paved.

  The objections of the conservation fraternity remain, the Tanzanian government has done little to absorb the wave of global opposition and seriously consider the Southern route alternative and President Kikwete's performance too was all but a failure to convince the world that this particular route was needed for anything else but to please powerful economic interest groups at the expense of tourism and conservation.

  Kikwete fails to convince Canadian media on Serengeti Highway plans « Wolfganghthome's Blog
   
 2. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,700
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Hawajawai kuweza chochote!
   
 3. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  kwa nini asiende Israel, kwenye technology za gali ya juu kupita china?
   
 4. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Halafu hiyo njia mkiipiga vibaya itakuwa mpaka wenu na kenya.Na mkiwaboa wanyama watakuwa wakibaki kenya.nahdnai Kikwete biashata ya hoovyo wakapige nje aya vumbi kufuata mpaka kwa ajili ya border patrol+hiyo ya changarawe nzuri kukatiza hapo.

  Kuna barabara nyingi tuu hamjawaweza ziweka sawa.Kama kwa nini mtu akitoka Tanga apitia Segera na si kukatiza katikati n akuja kutoke katikati halafu kuunganisha morogoro kwa kupitia Handeni?Hii ingepunguza safari ya kutokea Mombasa ,tanga kwenda Moro,Dodoma, iringa hadi Mbeya. Zaidi ya huu ujinga wa ku disturd wanyama na maliasili nyingine huku kuweka uwezekano wa wakenya kuchukua kipande kinachobaki na wanyama wake.
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Alikuwa anafikiri anaongea na wajumbe wa NEC ambao hata akiongea pumba makofi yanapigwa
   
 6. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  thread critic Kumbe ndiyo hivyo, ningekuwa JK hiyo barabara ningekuwa nimeshaijenga! Pumbafu hawa wakenya.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. t

  thread critic Member

  #7
  Oct 7, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kesho watatukataza tusvue kwenye maji yetu kwa sababu wao watakosa samaki

  kesho kutwa watakuja kutuambia tusitumie umeme na

  mtondogoo watatuambia tusijenge hata shule

  mimi huwa sipendi bifu na watu lakini naona as time goes inabidi tuanze kutunisha misuli na hasa hawa wanasiasa wetu. These are matters of national interest lakini nashangaa approach wanayokwenda nayo na hawa ma aggressors ni ya softly softly

  Kwa nini hawapigi kelele hawa wapenda wanyama wananchi wanapokosa huduma?

  mimi nasema; JK mwendo mdundo wewe endelea kupiga bao na kama presha ikizidi rudisha pesa Berlin na DC kisha kachukue pesa Beijing uje kutujengea highway na superfast railway
   
 8. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Didn't they know that he is but a let down? Eight years down the line Kikwete has proved to be a disaster for the country even for himself in the future. If anything, shall Tanzania get the right govt Kikwete and his cohorts will end up behind the bars in the first place.
   
 9. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Ila hiyo njia isipopita zaidi ya kilometer 30 toka ulipo mpaka kuna uwezekano kenya wakacheza na mpaka hadi siku moja waseme mpaka ni barabara.Na hapa wanaweza kuwa wanacheza na sisi ili tuongeze adrenaline halafu wao nao wafanye timing yao halafu wafanye hila za kubakisha wanyama kenye msimu wa kuhamia(migration) kenya ukifika.Kama mlivyogawana East Africa community wakachukua shemu kubwa ya ndege na mengine ndivyo game itapelekea hayo.Watakachofany ani kuwathibitishia jamii y akimataifa kuwa wanyama wetu si salama kwa vile hatuna uwezo wa kuwalind na tumewauzia waarabu.Na hata wanyama kam afaru wa msaada tumeishia kuwauza na kuwaua kwa njia za rushwa.

  Nina uzoefu na watu wajinga wanaokimbilia otesha miti katik mpaka huku wakijuwa si wazuri wa kunyoosha na jirani zao ni watu wajanja na wakorofi.Mara zote kilichotokea ni kwamba hawa watu wazembe waliacha nafasi halafu wakaotesha miti iliyopinda sana kam S wakishadhani hakuna shida kwani bado wapo kwao.Kilichotokea ni wale majirani kukata miti ya upande kwa kwao na kuacha ile miti ya ndani kabisa kwa huyu mzembe.Siku zilipokwenda majirani wabaya walilima mpaka kweny emiti iliyobaki.Halafu baadaye wakaiwekea dawa ya kuia miti iliyobaki ili ikauke halafu mzembe aje otesha tena kwa staili ileile.Mwisho jirani mbaya anafika mahali apa kuchukua eneo kubwa sana, huku akimbana mzembe kuwa miti uliotesha mwenyewe tena mimi nikiwa sipo.Ni vipi leo useme nimekuibia eneo lako?

  kama hakuna eneo kubwa kwa nyuma ya parabara kinakoweza kaliwa na watu keny watakuja lichukua tuu.Mlima kilimanjaro tuu kuna kanafasi kwa nyuma ila wakenya wanaulia timing sana ili waje karibu sana watafute route ya kuupanda na baadaye waanze dai share kam si kuuchukua wote.Na ndio maana wanataka dunia idanganyike sana kuwa upo kwao,halafu siku mkizubaa wakishaufikia kwa nyumba ndipo mtajikuta mnachekwa na dunia mkisema ni wetu.Kikwete aachane na huo upuuzi akapige barabara mpakani ya vumbi na kuweka ulinzi wa kutosha hizi njia za kuleta balaa la ardhi kumegwa aachane nayo.
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Hawa nao bana..kwani kikwete amewahi kuweza kufanya nini
   
 11. s

  siyabonga Senior Member

  #11
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tusiwe wepesi wa kulaumu majirani zetu, tutagombana nao wote, hata wale wazuri.

  Badala yake, tujiulize hawa viongozi wetu wanazielewa issues? Wanapata muda wa kukaa chini, kusoma, kuelezwa na kudigest?

  Iwapo uko on top of issues, huwezi kushindwa kujenga hoja.

  Tutoe vibanzi vyetu kwanza.
   
 12. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Kama kawaida Watanzania na watawala tunapenda vitu fasta fasta,hatujishughulishi kutafakari kwa kina. Na kwasababu majirani wanafahamu tuna maamuzi ya kukurupuka,wameamua ktk mambo yanayoweza waathiri wao kwa maamuzi yetu ya kijinga,waingilie kati!
   
 13. The Stig

  The Stig JF-Expert Member

  #13
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 881
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  I am sick and tired of this Serengeti Highway saga. The TZ governments says they wont build it in one fora, and that they will in another.

  The trans-Serengeti road does no good for TZ or the World's heritage. Tuache Uswahili. We only have one Srengeti in the world. We should not spoil it by running a stupid road across it. The southern route is way much more sensible. It will reach more people and it will protect Serengeti - kuna shida gani kulielewa hilo?
   
 14. T

  Tata JF-Expert Member

  #14
  Oct 7, 2012
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Ninavyoona hapa tatizo siyo ujenzi wa barabara ila ni kushindwa kwa mkuu kuwaeleza bila kumung'unya maneno sababu za msingi zinazosababisha tujenge barabara hiyo. Kama ni suala la kulinda mazingira barabara za vumbi zinaharibu mazingira kuliko zile za lami. Kama ni kulinda mazingira kiukweli basi Serengeti na mbuga zisiwe na barabara ya aina yoyote na watu wawe wanatalii kwa miguu.
   
 15. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #15
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Dawa ya hili jambo ni moja tu. Ni kujenga hiyo miundombinu tu. Si lazima kusikiliza kila wanachotaka wazungu. Tumewaelekeza mambo mangapi ya kufanya kwao? Kama wanajali sana maliasili mtu awaulize walikuta vifaru wangapi pale kwenye bara la America wakiwa wanatunzwa na red indians, na leo kuna vifaru wangapi.

  Wazungu ni watu wenye double standards sana. Tatizo ni hofu yao mchina anakaribia kupata upper hand katika kufaidi resources za eneo hilo pale, ulinzi wa eco-system ni kisingizio tu. Kenya ni vibaraka wa wazungu miaka mingi na katika hili watatumika vizuri sana.

  Tatizo tuna serikali dhaifu sana katika maamuzi. Peleka magreda pale tuone watafanya nini.... Kuna mambo mengine ni kufanya tu... Fufuka Nyerere!!!!!!!...kwa nini ulikufa mapema hivo?!! Ona tunavoyumbishwa kwa sababu tu ya kukosa serikali dume!

  Pelekeni magreda Serengeti!!! eeee.... Kama hao wazungu wenu wanajali sana ecosystems kwa nini Wasiache kuchimba Urania Selous?
   
 16. IKHOIKHOI

  IKHOIKHOI JF-Expert Member

  #16
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 366
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nchi ni yetu inashangaza kujenga miundo mbinu kama barabara hatuna uhuru wa kuamua? tukiambia nchi hii si yetu tumewashikia tu watu kwa musa tutakataa??
   
 17. Mao ze dong

  Mao ze dong JF-Expert Member

  #17
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 567
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Soko la jumuia ya Africa mashariki linaendelea kujengwa Namanga na makubaliano ni kwamba yatajengwa mawili kwa upande wa kenya na tanzania,kwasababu ilishindikana kujengwa mpakani kutokana na sheria za kimataifa,kinachonishangaza mpaka sasaivi kenya hawajabomoa wala hawajaanza harakat zozote za ujenz ila tanz wameshabomoa nyumba na ujenz unaendelea,niliposikia ili la barabara nikapata picha kutakua na diplomatic misunderstanding between Kenya and tanzania,kenya siku zote wanataka kufaidika kwenye jumuia hii.let stay and wait time will tell
   
 18. Mao ze dong

  Mao ze dong JF-Expert Member

  #18
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 567
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Soko la jumuia ya Africa mashariki linaendelea kujengwa Namanga na makubaliano ni kwamba yatajengwa mawili kwa upande wa kenya na tanzania,kwasababu ilishindikana kujengwa mpakani kutokana na sheria za kimataifa,kinachonishangaza mpaka sasaivi kenya hawajabomoa wala hawajaanza harakat zozote za ujenz ila tanz wameshabomoa nyumba na ujenz unaendelea,niliposikia ili la barabara nikapata picha kutakua na diplomatic misunderstanding between Kenya and tanzania,kenya siku zote wanataka kufaidika kwenye jumuia hii.let stay and wait time will tell
   
 19. m

  mharakati JF-Expert Member

  #19
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  national interest gani kujenga barabara ambayo (ina alternative route) kwenye site ya world heritage? au kuchimba uranium Selous? kiuchumi hata mazingira na biodiversity ni utajiri wa kutosha. ukifanya cost-benefit analysis huna haja ya kuharibu mazingira kwa sababu ya small increment ya GDP ambayo kwa vyovyote vile haitasaidia kuleta mabadiliko ya maana ya hali za maisha yetu kiujumla. Tanzania ni nchi kubwa barabara moja inasaidia nini kwa watu mil 45?

  hizi hisia kwa sababu ya kutajwa jina la Kenya tu na wanasiasa na other vested interests wameanza kuitumia kupata sapoti ya kutekeleza hii miradi, athari za hii kwa heshima ya taifa kimataifa ni kubwa zaidi ya unavofikiria.
   
 20. M

  Mundu JF-Expert Member

  #20
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Barabara ikijengwa itajengwa Tanzania, itakatiza kwenye mbuga ya Tanzania, na itatumiwa na asilimia kubwa ya Watanzania...

  Kwanini wanausemea moyo wetu? Pambaf Kenyans na donors waliofilisika...
   
Loading...