Chadema's vice president 2015.....?

Ston Merchant

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
393
103
Kwa kiasi flani naamin CDM walikurupuka au kutokupata mwakilishi sahihi wa uVICE..

It's high time wajipange na mtu ambae atachukua nafasi hii kwn kwa kupata mtu sahihi na mwenye influence ina uwezo wa kuchangia katika ushindi wa 2015...!

Who do you think fits this position...?
 
Toa pendekezo wewe kwanza ulieanzisha uzi
 
kwa kiasi flani naamin cdm walikurupuka au kutokupata mwakilishi sahihi wa uvice..

It's high time wajipange na mtu ambae atachukua nafasi hii kwn kwa kupata mtu sahihi na mwenye influence ina uwezo wa kuchangia katika ushindi wa 2015...!

Who do you think fits this position...?

kwani walikiuka katiba ya nchi?
 
kwani walikiuka katiba ya nchi?

cjaongelea uvunjifu wa katiba wla swala lolote la mwenendo huo......... naongelea kupata mtu competent na mwenye influence kuliko yule aliekuepo that tym....

... kufanya hivyo itakua ni part ya Ukombozi wa CDM....... umenisoma Mkombozi..?
 
Kwa kiasi flani naamin CDM walikurupuka au kutokupata mwakilishi sahihi wa uVICE..

It's high time wajipange na mtu ambae atachukua nafasi hii kwn kwa kupata mtu sahihi na mwenye influence ina uwezo wa kuchangia katika ushindi wa 2015...!

Who do you think fits this position...?

Its too early to provoke such an idea,time will tell,but not so bad to air your opinion.
 
Back
Top Bottom