Mdutch
JF-Expert Member
- Nov 17, 2011
- 214
- 77
Wakuu habari nilizozipata ni kwamba mkurugenzi wa mambo ya nje wa CHADEMA Ezekia Wenje (MB) na Katibu Mkuu wa BAVICHA Deogratias Munishi wamewasili Londoni na leo watakutana na wanachadema pamoja na watanzania wengine kutoka miji ya Reeding, Birmingham na Londoni kwenyewe kwenye ukumbi wa
Seebos'
761 -763 High Road,
Leytonestone,
E114QS
London
UK
Huu ni muendelezo wa CHADEMA wa kujiimarisha ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.
Seebos'
761 -763 High Road,
Leytonestone,
E114QS
London
UK
Huu ni muendelezo wa CHADEMA wa kujiimarisha ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.