Mkoa mpya wa SIMIYU, CCM wamepata viongozi wao Dr. Kamani akiukwaa uenyekiti. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkoa mpya wa SIMIYU, CCM wamepata viongozi wao Dr. Kamani akiukwaa uenyekiti.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tocolyitics, Oct 14, 2012.

 1. t

  tocolyitics Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika harakati za kukijenga chama cha mapinduzi kuelekea 2015, SIMIYU wameweka safu yao ya uongozi huku mbunge wa Busega Dr. Titus Kamani akishinda kwa kishindo nafasi ya uenyekiti kwenye huu mkoa mpya.Safu nyingine nitawaletea baadae.
   
 2. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  SHY BADO?najua MGEJA tumbo joto
   
 3. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  mkuu shnyng uchaguz wao tayari,mgeja alishinda kwa kishindo.
   
 4. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,476
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Magamba bana!!!!

  Subirini m4c ije itie kambi huko.
   
Loading...