Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkutano wa ADC sasa wanatumia alama ya V katika mikutano yao. Pia bendera yao ni kama ya CDM
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Kufuatia vurugu za siku nne mfululizo huko Zanzibar, hii leo Sheikh Farid pamoja na viongozi wenzake wanne wa kundi la uamsho wamefikishwa mahakamani kujibu mashataka ya kusababisha vurugu. Ili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watakaokereka na wakere ila Znz hiyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Na Mwandishi wetu WAZIRI Kivuli wa Nishati na Madini, John Mnyika, ameeleza kusikitishwa na kauli za viongozi na watendaji wa Wizara ya Nishati na Madini na Shirika la Umeme nchini (TANESCO)...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wimbi kubwa la kutojikomboa kifikra limeigubika Tanzania na watu wake hususani wanao ishi maeneo ya vijijini.Zinahitajika juhudi binafsi miongoni mwetu za kuweza kutumia vyema katiba yetu mbovu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
BBC SwahiliChama tawala cha kikomunistinchini China kitafaya mkutanowake mkuu wa baada ya miaka mitano kuanzia tarehe nane mwezi Novemba kufanyamageuzi makubwa serikalini ambayo yatawezesha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Shinyanga, kimesema kelele zinazopigwa na wapinzani katika majukwaa, kwa lengo la kukikashifu na kukichafua chama hicho, ni sawa na dawa ya Kikombe cha Babu wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jambo la kushangaza lilikuwa ni kulazimisha vijana wasijiandikishe kwa visingizio vya umri kama vile CCM ndio mama na baba wa Vijana wa Magadirisho. Mama mmoja amelalamikia kitendo cha Kada mmoja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Zaidi ya Shilingi Bilioni 35.7 zikiwemo fedha za matumizi ya ofisi shilingi bilioni 5.7 na maendeleo Bilioni 30 zimetolewa hazina na kuingizwa kwenye tume hewa ya ushirika kwa kutumia voti namba...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Recently kuna mambo yanayozunguka CHADEMA yameenda too fast.Na mara nyingi CDM wamekuwa wakijiamini ktk chaguzi za mameya,hata pale madiwani wao wakiwa wachache zaidi.Na wana mifano hai ya ushindi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
I don't know what is going on here,sijatazama TV for at least seven days. Lakini sioni sababu yoyote why there should all this excitement,because a Church was petrol bombed. Haya ni mambo ambayo...
3 Reactions
70 Replies
7K Views
My President abstains from being used to set political scores by Kenyan politicians! Why so? we r not sure come March 2013 who will be the President of Kenya and aligning with the Presidential...
1 Reactions
0 Replies
750 Views
Chaguzi zote za CCM zimejaa vitimbi ambavyo ni kinyume na usajili wa vyama vya siasa. Mifano michache ni: UWT - matusi, rushwa; UVCCM vivyo hivyo; kule Dom vivyo hivyo na mibastola nje nje. Sasa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni Mkutano wa hadhara unaofanyika Chamwino ni wa kutoa shukurani kwa viongozi wa ccm waliochaguliwa katika chaguzi za wilaya, mikoa zilizomalizika hivi majuzi, Kati ya viongozi waliochagulia...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau tunajadli katiba mpya kipindi hii ila naomba kuwasilisha hoja ja kuona ile nembo ya taifa nayo kama inahitaji mjadala naona kama haiendani na karne hii, naomba kuwasilisha!:embarassed2:
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Yule kiongozi wa kikundi cha UAMSHO Z'bar na wenzake leo wamepandishwa kizimbani wakituhumiwa kutoa maneno ya uchochezi na kusababisha vurugu ambapo hakimu aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo...
5 Reactions
62 Replies
8K Views
SERIKALI imewafukuza kazi watoto wa vigogo waliopata ajira bila ya kufuata taratibu za kisheria katika mizani inayosimamiwa na Wakala wa Ujenzi wa Barabara(Tanroads). Hata hiyo imekuja siku...
5 Reactions
57 Replies
7K Views
Profesa Alexander Nyangero Songorwa ameteuliwa kuwa Mkurugenzi waIdara ya Wanyamapori (Wildlife Division ) kuziba nafasi iliyokuwa wazi.Kabla ya kuteuliwa Profesa Nyangoro alikuwa Profesa Mshiriki...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
mr makongoro mahanga sisi na wapiga kura wako watabata kagibu na chuo cha sent mary hii barabara imekua shoti kati sana kwa watu wanao enda mawezi ama segerea je nilini utatukumbuka kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sunday, October 21, 2012 Nape Nnauye, Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi akiweka jiwe la msingi katika ofisi mpya ya CCM ,Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro tarehe 20/10/2012 Wananchi wa kata...
0 Reactions
73 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…