Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jana nilienda buguruni nikitafta makamanda wa chadema manually,watu wengine niliouliza hawakuwa na taharifa sahihi kuhusu hao makamanda hivyo wakanielekeza makao makuu ya CUF kwa minajili kwamba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Barazani kwa Ahmed Rajab Ahmed Rajab Toleo la 262 10 Oct 2012 WIKI iliyopita nilizungumzia kuhusu umuhimu wa nchi kama Zanzibar ya leo kuwa na siasa za umoja badala ya kuwa na...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Makongoro nyerere amegaragazwa uenyekiti ccm mkoa mara.mkoa wa mara kwa mara ingine tena wamedhiirisha wako imara baada ya kumchagua mr sanya kuwa mwenyekiti wa ccm mkoa na kuwaangusha wakongwe wa...
0 Reactions
95 Replies
9K Views
16/10/2012 SEREKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR LEO IMEWASILISHA MSWAADA WA MAREKEBISHO YA SHERIA NAMBA 07 YA MWAKA 2005 YA OFISI YA USAJILI NA KADI ZA VITAMBUSHO ZANZIBAR. AKIWASILIMISHA MSWAADA...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika kujumuika na jamii, palitokea msiba karibu na ninapoishi. nikapata fursa ya kuongea na mwenyekiti wa serikali ya mtaa ambaye ni wa CCM. Tuliongea mengi ya siasa huku akijua mimi ni CHADEMA...
1 Reactions
1 Replies
931 Views
*Asema inakabiliwa na ukame wa viongozi waliopikika kimaadili * Hata kupata wagombea hutegemea 'iokoteze' walioshindwa michujo au chaguzi za CCM * Asena kwa mtaji huo haiwezi kuwa chama...
2 Reactions
98 Replies
9K Views
Aliyekuwa M/Kiti wa CCM mkoa wa Mwanza, Clement Mabina, amebwagwa na Dr. Anthony Diallo.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimekua nikichunguza accesbility ya vijitabu vya ilani ya chadema kwa watu wengi inakosekana.na kwakua hapa jf wengi wa viongoz wa cdm wafika nimeamua kuleta mambo yafuatayo;- (1) uwezekano wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mhadhiri wa Chuo kikuu Cha DSM anajaribu kuchambua kama tekenolojia inawea kuleta mapinduzi Afrika ?
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Pamoja kwamba watanzania na polisi kwa ujumla wamepata msiba, kifo cha RPC lakini Kikwete ameondoka kwenda Muscat hata kabla mwili haujazikwa. Kifo ni jambo la kawaida lakini kifo cha RPC kilikuwa...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Fees for Class A permits (for the self-employed) now range between US$2,000 and US$3,000, up from around US$2,000 on average previously. The hardest hit are foreign workers who fall in the A-1...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu, Binafsi siamini kama ni sahihi wanavyofanya lakini ndicho kinatokea hapa Mwanza. Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanatumia wanafunzi (wa kike) wa sekondari katika kuhesabu kura katika zoezi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
TAARIFA zilizovuja kutoka ndani ya chumba cha kuhesabia kura katika uwanja wa sokoine Jijini Mbeya ambako bado matokeo ya uchaguzi hayajatangazwa, zimesema kuwa Mbunge wa Jimbo la Mbozi Mashariki...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Ndio chama changu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jf nawaomba mnisaidie mbunge wa iramba mashariki mama mwambu yuko wapi kisiasa kwani sijamsikia kwenye mchakato wa uchaguzi ndani ya ccm.Ni mlafi,mshirikina,mbaguzi,extravagant, hana mfano wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Professor Issa Shivji Tuesday, 16 October 2012 08:16 Waandishi wetu MWENYEKITI wa Kigoda cha Mwalimu Profesa Issa Shivji amesema suala la Muungano linapaswa kuangaliwa kwa umakini na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Lile Fao la kujitoa ambalo Wabunge walipitisha eti unalipata mpaka ufikishe umri wa kustafu miaka 55 wakati wao after 5 years Mbunge anakula cahke anaanza mbele ila kwa wapiga kura wao mpaka 55...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Jumuiko la Asasi za kiraia Tanzania zilizojipambanua kama waangalizi wa ndani wa chaguzi kadhaa wameanza kutuhumiana kwa namna ambavyo matumizi ya fedha za wafadhili yanavyofanywa. Hii ni moja ya...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa arusha leo amejikuta akiutubia watu kama 10 maeneo ya sokokuu baada ya wananchi kumdarau nakuendelea na shunguli za kawaida hata hivyo mkuu huyo hakukata tamaa aliendelea kuwaomba...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
CCM Bwana, Hakika inaongozwa na Pesa na ndugunization. Nimepata taarifa kupitia JF kwamba Ramadhani Madabida ameshinda uenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Huyu Jamaa ni mme wa Zalina Madabida...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom