JACADUOGO2.
JF-Expert Member
- Dec 13, 2010
- 930
- 217
Ni kwamba tunaendelea na harakati na mikakati ya kukomboa kata mbili za Ipole na Kiloleli ndani ya jimbo/wilaya ya Sikonge - Tabora.
Haya yote ni kuelekea kwenye uchaguzi mdogo wa madiwani ndani ya kata 29 Tanzania bara tar 28.10.12, ambapo kwa Sikonge kuna kata hizo mbili (Ipole na Kiloleli).
Kwa hiyo tunaombeni michango yenu ya mawazo na kwa walioko ndani ya Sikonge na maeneo jirani njooni tujumuike pamoja katika ukombozi wa Sikonge na Tabora na hatimaye Tanzania kwa ujumla. Kwa kweli upepo unavuma vizuri kwa CHADEMA.
People's...............!!!!
Ni mimi Kamanda Jacaduogo kutoka Rorya - Mara hadi Sikonge - Tabora!