Polisi na kauli ya kijinga......

Crucifix

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
1,651
588
"Tunawahakikishieni tutawakamata waliomuua Barlow!" duh!

Kama mna hakika kwa nini msiwakamate kwanza kisha ndio mtujuze? Kama mna uhakika, kwa nini mnakimbilia kutafuta msaada Interpol? Kauli kama hizo hutolewa na wanasiasa, tena nao hutumia neno 'tutajitahidi kuwakamata au tutatumia kila uwezo tulionao kuwakamata. Polisi mnakuja na hakikisho utadhani mmekuwa wanajimu!!!!

Natoa wito mapolisi wasipewe mic kwenye hadhara yoyote walau kwa miaka 2.......mbona wahalifu wengi tu mmeshindwa kabisa kuwakamata?
 
Hivi Daudi Mwangosi aliuwawa na akina-nani vile?!je wamekamatwa wote?mkuki kwa nguruwe kwa binadamu...............
 
Walisema watamkamata ponda,ambae wanajua mpaka anapolala,alakini wameshindwa.sasa hao waliofanya huo uhalifu hawamjui wataweza vipi......ikiwa wanaemjua wameshindwa kumshika how come huyu wasiemjua....??
 
cop killer got killed.
wakiacha ubabe na kufanya kazi kwa maadili ya fani na taaluma ya kuwalinda wananchi, nasi pia tutawalinda.
Vinginevyo jino kwa jino
 
Ponda atakamatwa wakati wowote........Kova.

Hawa polisi ni sawa na Nape!.. wanaropoka ropoka tu!
 
"Tunawahakikishieni tutawakamata waliomuua Barlow!" duh!

Kama mna hakika kwa nini msiwakamate kwanza kisha ndio mtujuze? Kama mna uhakika, kwa nini mnakimbilia kutafuta msaada Interpol? Kauli kama hizo hutolewa na wanasiasa, tena nao hutumia neno 'tutajitahidi kuwakamata au tutatumia kila uwezo tulionao kuwakamata. Polisi mnakuja na hakikisho utadhani mmekuwa wanajimu!!!!

Natoa wito mapolisi wasipewe mic kwenye hadhara yoyote walau kwa miaka 2.......mbona wahalifu wengi tu mmeshindwa kabisa kuwakamata?

Tutangazieni na hatua mlizochukua kwa wauaji wa Msafiri Mbwambo wa Arumeru wanaosemekana wametoroka.
 
We acha tu, ni Tanzania tu unaweza kukuta hawa vichaa ndani vyombo vya ulinzi na usalama;

pic.jpg

Mnadhimu MKuu wa Jeshi Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo (kushoto) akitoa vitisho kwa wananchi alipoongea na vyombo vya habari mjini Dar es Salaam October 1, 2010 kuhusu uchaguzi Mkuu...pamoja naye ni Kamishna wa Polisi (DCP) Venance Tossi. Sasa, jeshi na siasa wapi na wapi!
 
Muanze kwanza waliomuuwa mwangosi akiwa kazini halafu polisi ndipo wachunguze kitu kizito kilichokatiza uhai wa barlow muda huo alikuwa job? Au.....
 
Kwanza wawakamate wana makosa gani? hiyo inaitwa ngoma droo
 
Mbona wale walio uakijana wa Arusha walitoroka na leo kimya sijasikia kama alipatikana ama hajapatikana

wanatengeneza movi nyingine hapa

kama sugu alivyo waambia ile singo ya ulimboka haikueleweka warudi studio watengeneze upya
 
"Tunawahakikishieni tutawakamata waliomuua Barlow!" duh!

Kama mna hakika kwa nini msiwakamate kwanza kisha ndio mtujuze? Kama mna uhakika, kwa nini mnakimbilia kutafuta msaada Interpol? Kauli kama hizo hutolewa na wanasiasa, tena nao hutumia neno 'tutajitahidi kuwakamata au tutatumia kila uwezo tulionao kuwakamata. Polisi mnakuja na hakikisho utadhani mmekuwa wanajimu!!!!

Natoa wito mapolisi wasipewe mic kwenye hadhara yoyote walau kwa miaka 2.......mbona wahalifu wengi tu mmeshindwa kabisa kuwakamata?

..Hata mie nilishangazwa sana na kauli ya DCI Manumba wakati wa kumuaga kamanda Barlow, alisema "Polisi italipiza kisasi kwa mauaji ya RPC Barlow"
 
Ni wakati wa kuwashitaki hawa polisi kwa kauli zao zisizo za kitaalamu na zenye kila aina ya vitisho na uchochezi dhidi ya ubuinadamu
 
Wamshike kwani walikuwa wanamaanisha?
wamezoea kuropoka tu mambo hovyo hovyo!

Aisee wamejaribu, nasikia wanamshikilia Ponda. Ila kuna dalili za kumwachia kwa sababu vibarghashia wametanda mji mzima na mawe
 
walipalilia udini wakakaaa sana upande wa waislam bila kujiuliza matunda yake sasa ngoja wale na wavune matunda ya udini na mambo yanaweza enda kama NIGERIA sasa watu watafutane sababu ya mtu 1 aliyetaka kwa stsili ya kizembe apate urais
 
Back
Top Bottom