Wanje atafuta soko la kadi za chadema nje ya nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanje atafuta soko la kadi za chadema nje ya nchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tata mura, Oct 17, 2012.

 1. t

  tata mura JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 27, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Katika hali ya kutaka kushindana na safari za Kikwete nje ya Nchi, sasa Chadema wao wamebuni njia mbadala za kutuma muwakirishi wao nje ya nchi kwa kupiga kambi huko na kutumia pesa nyingi za ruzuku, kwa kufanya biashara mugando ya kuuza kadi ya Chama moja kwa Tshs. 200,000=/. Huku matumizi ya mjumbe huyo kwa siku ni zaidi ya million moja na nusu ya kitanzania. Wanje tangu nimsikie Nje ya Nchi akiuza kadi za chama ni siku nyingi, je matumizi yake ni sawa na alichokiendea huko, ama ndo kujikomba kwa Watawala wetu wa zamaini? Ukoloni noma.

  Wenje anapima upepo kama Chama chake kikishinda kwa bahati mbaya nae akateuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya nje ataweza kutumia fedha iposavyo! LONDON.jpg Wa London hata Kikwete akienda wanajaa sana, ni uzalendo wa nyumbani na ushirikiano kwa ngeni yeyote bila kujali Itikadi zao hata akija mjumbe wa TLP atapokelewa vizuri kwa ushabiki uliotukuka. Hapa tunacho kiangalia ni kuogopa aibu ya kukashifiwa na wenzetu kuwa ndugu yenu aliwatembelea wala hamkumsapoti, hivyo nawaomba Chadema msivimbe vichwa sana kwa hili la mjumbe wenu kupokelewa vizuri na michango tuliyompa.


  Tushirikiane kujenga nchi yetu siyo kuibomoa
   
 2. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ikibomolewa na CCM sawa, ila CDM ambao hata hawana wazo hilo makelele.
   
 3. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  chadema hawawezi kuvimba vichwa maana hawalindwi na ccm hawajaolewa na wala hawaishi kwenye manukato ya ikulu vimbeni nyie kichwa CUF mlioolewa bila hata mzazi wenu (i.e watanzania wote) kujua halafu chadema hawali posho kama unavyosema maana wakienda sehemu kazi inaonekana
   
 4. t

  tata mura JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 27, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Vyama vyote kama ni kuolewa kama unavyosema ndivyo basi hata Chadema kimeolewa na CCM bila wewe kujua. Kigoma kulikuwepo Uongozi wa kubadilishana miaka mitano mitano kati ya Chadema na CCM. Au kuolewa unakosema ni kwa namna ipi kama kupewa pesa ya kimaendeleo vyama vyote hupewa na CCM iliyopo madarakani. Juzi juzi nilisikia Chadema wanalalamika kuwa wamecheleweshewa pesa yao na mume wao, na walipopewa sikusikia tena wakisema tumepewa! kumbe pesa haihusiani na kuolewa?. Tutoe kauli za kujenga siyo .......................... Juzi tu Moshi mliunganga na CCM kukiondoa chama cha TLP kwenye nafasi ya kaimu meya ama hili hamjaolewa!

  Tapeli hula kilaini kulingana na maneno yake
   
Loading...