IIAG's REPORT: Tanzania ni nchi ya KUMI BORA katika Uongozi Afrika 2012

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,171
23,975
Ukweli husemwa:


Kwa miaka sita mfululizo, Mo Ibrahim foundation imekuwa ikifanya fahirisi katika nchi zote za Afrika katika maswala ya utawala ambapo mwaka huu imefanya utafiti katika nchi 52 za Afrika.

Kila mwaka imekuwa ikichapisha matokeo ya uchanganuzi wake uliojikita katika maeneo ya Amani na Utawala wa Sheria, Haki za Binadamu, Maendeleo ya Kisiasa na Kiuchumi kwa kushirikiana na mawakala 23 kutoka Afrika na Ulimwenguni kote.


Kwa mara ya kwanza, Tanzania imekuwa ni miongoni mwa nchi kumi bora afrika.


Angalizo:
1) Kwa chapisho hili, Nini matokeo ya madai yaliyowasilishwa na kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) katika Mahakama ya Uhalifu ya Kimataifa (ICC) na katika Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu kutaka kuishitaki serikali kwa ukiukwaji wa haki za binadamu.

2) Kwa chapisho hili, Nini maana ya malalamiko mbalimbali yanayotolewa na baadhi ya Wanaharakati, Wanasiasa na Wananchi kuwa Serikali ya Awamu ya Nne imeshindwa kukidhi matakwa ya wananchi katika utawala bora.





Tanzania's recent performance in the Ibrahim Index of African Governance

Rank
(../52)
Category / Sub-CategoryScore (../100)Change
20062007200820092010201106-11
10thOverall58.458.158.358.459.158.80.4
16thSafety & Rule of Law63.561.963.060.760.062.3-1.2
19thRule of Law56.557.256.355.355.355.3-1.3
20thAccountability50.147.849.648.647.446.6-3.6
10thPersonal Safety52.552.556.348.847.557.55.0
13thNational Security95.090.090.090.090.090.0-5.0
9thParticipation & Human Rights63.464.056.959.661.662.3-1.1
15thParticipation66.367.454.161.460.162.3-4.0
18thRights46.649.546.447.852.652.66.0
6thGender77.375.070.269.571.971.9-5.4
14thSustainable Economic Opportunity52.453.157.356.757.254.21.8
20thPublic Management62.662.564.260.659.157.5-5.1
23rdBusiness Environment58.959.560.863.963.356.4-2.5
22ndInfrastructure23.123.530.928.532.432.89.7
7thRural Sector65.167.073.274.174.170.14.9
23rdHuman Development54.353.356.156.757.456.42.1
27thWelfare51.051.451.852.252.149.2-1.9
32ndEducation42.244.246.047.246.546.54.3
17thHealth69.764.370.470.573.573.53.8


Tanzania: Sub Category Ranks


Data hizi zimepatikana kutoka Mo Ibrahim Foundation.
 
Ukweli husemwa:


Kwa miaka sita mfululizo, Mo Ibrahim foundation imekuwa ikifanya fahirisi katika nchi zote za Afrika katika maswala ya utawala ambapo mwaka huu imefanya utafiti katika nchi 52 za Afrika.

Kila mwaka imekuwa ikichapisha matokeo ya uchanganuzi wake uliojikita katika maeneo ya Amani na Utawala wa Sheria, Haki za Binadamu, Maendeleo ya Kisiasa na Kiuchumi kwa kushirikiana na mawakala 23 kutoka Afrika na Ulimwenguni kote.
........
tunasubiri mavuvuzela yaje ya chonge. Anyway, now it is clear that we all know that si kwamba hampendi tu chochote kizuri alichofanya, anachofanya na atakachofanya Kikwete, bali mnachukia hata kutokea kwake.
 
Ukweli husemwa:

tunasubiri mavuvuzela yaje ya chonge. Anyway, now it is clear that we all know that si kwamba hampendi tu chochote kizuri alichofanya, anachofanya na atakachofanya Kikwete, bali mnachukia hata kutokea kwake.

Sidhani kama ni busara kuwaita watu mavuvuzela. Lakini si hata hoja mfu na zisizo na nguzo ya ukweli nazo zinasikilizwa. Kumbuka binadamu mara zote huwa tuna mitazamo tofauti.
 
Ukweli husemwa:



Sidhani kama ni busara kuwaita watu mavuvuzela. Lakini si hata hoja mfu na zisizo na nguzo ya ukweli nazo zinasikilizwa. Kumbuka binadamu mara zote huwa tuna mitazamo tofauti.
mkuu hebu kuwa mkweli, ni lini hapa jf wamewahi kuongea ukweli kwa lolote zuri alifanyalo JK. ni lini paha jf mmewahi kusema ukweli katika baya lolote la chadema hata kama lina ukweli 100% kwa nini wasiitwe mavuvuzela? stand to be corrected kwa hili kama kweli unasema kwa dhati yaliyo moyoni. otherwise, leave me please.
 
Ukweli husemwa:

mkuu hebu kuwa mkweli, ni lini hapa jf wamewahi kuongea ukweli kwa lolote zuri alifanyalo JK. ni lini paha jf mmewahi kusema ukweli katika baya lolote la chadema hata kama lina ukweli 100% kwa nini wasiitwe mavuvuzela? stand to be corrected kwa hili kama kweli unasema kwa dhati yaliyo moyoni. otherwise, leave me please.

Mkuu,
nafikili labda neno 'mavuvuzela' lina maana tofauti kulingana na mahali litakapotumiwa. labda tu tukubali kutokubaliana kwa hili.
 
Nafikiri ni kweli tunaunafuu fulani uki compare na wezetu majirani


Rank & Country; Score/100

1; Mauritius; 82.8△
2; Cape Verde; 78.4△
3; Botswana; 77.2△
4; Seychelles; 73.4▽
5; South Africa; 70.7▽
6; Namibia; 69.8△
7; Ghana; 66.3△
8; Tunisia; 62.7△
9; Lesotho; 61.0
10; Tanzania; 58.8
11; São Tomé and Príncipe;
 
Uongozi bora au uongozi zero? Hivi tuna uongozi gani Tanzania? Rais ambaye kila kukicha yuko hewani. Call me vuvuzela but I think we are headed to arnachy.
 
Salim yupo jikoni kwanini ashindwe kutubeba kwenye ripoti kama hizo.

Ni rahisi tu, mabaya yote anayafagilia chini ya carpet, anaweka mazuri tu mezani ili yakaguliwe. Au kuna mtu anajua huu utafiti unaendeshwaje?
 
Ukweli husemwa:



Mkuu,
nafikili labda neno 'mavuvuzela' lina maana tofauti kulingana na mahali litakapotumiwa. labda tu tukubali kutokubaliana kwa hili.
sawa mkuu hilo ni jambo dogo sana lisitutoe kwenye mambo ya msingi. asante.
 
KIKWETE AMEFOJI DATA ILI ASHINDE ZAWADI YA MO. IBRAHIM

data hizi inaelekea zimetolewa na serikali yenyewe kwa nia niliyoitaja hapo juu kwani they do not reflect reality.

offcourse data hizi ni za kupikwa, ukweli wa Takwimu wanazo watanzania wenyewe ingawaje

unazungumzia human right ndani ya Tanzania hii nenda kawaulize familia za watu wanauwawa kila siku na polisi bila
hata ya kuwepo kesi achana na takwimu feki.

safety and rule of law ripoti chungu mzima hapa nchini zinaonyesha mahakama ndio zinaongoza kwa kula rushwa na
hakuna mtu anapata haki yake bila rushwa hiyo ndio reality achana na takwimu za makaratasi.

Elimu hawa watu hawana aibu kwani kabla hawakusanya data waende kuzunguka vijijini kwy watanzania wengi wakaone
shule nzima yenye mwalim mmoja bila hata ya kitabu wala choo cha kujisadia wanafunzi.

data za ukweli : wanafunzi 5000 wanachaguliwa kuingia sekondari ilihali hawajui kusoma wala kuandika
asilimia karibu 90 ya wanafunzi kidato cha nne walipata zero na div.four hizo ndio data
kamili za elimu ya Tanzania.
 
1. Wamelinganishwa wote na hakutokea aliyestahili kupewa TUZO.

2. Wote wagojwa ila wako walioko ICU wengine wodini, wengine wanaugulia majumbani.

3. Na. 1-3 Wanaugulia nyumbani, 4-6 Wako wodini, 7-9 wako ICU, 10 nakuendelea wanapumulia mashine. Yaani Africa viongozi wote wagojwa na wa kwetu anapumulia mashine umeme ukizimika tunaingia mitaani na kuvurugana. 2015 ameshafunga mizigo kuelekea Oman, Falme za Kiarabu waliompa hela za kampeni na ambako akitakiwa the Hague atalindwa na fedha.
 
Salim yupo jikoni kwanini ashindwe kutubeba kwenye ripoti kama hizo.

Ni rahisi tu, mabaya yote anayafagilia chini ya carpet, anaweka mazuri tu mezani ili yakaguliwe. Au kuna mtu anajua huu utafiti unaendeshwaje?

Nahisi wewe ni mama kijobilion, Bongo si nchi mbaya ki hivyo! oneni aibu watu wenye akili watawashangaeni!
 
Unajua ata kati ya vichaa ukitoa paper lazima utapata top 10
Kwa vigezo vilivyotumika means Africa we still have a long way to go imagine Tz ni ya kumi na scholes zake ni almost C sipati picha iyo ya mwisho ina ngapi kama sio F
 
tunasubiri mavuvuzela yaje ya chonge. Anyway, now it is clear that we all know that si kwamba hampendi tu chochote kizuri alichofanya, anachofanya na atakachofanya kikwete, bali mnachukia hata kutokea kwake.
vuvuzela ni wewe.hao ni watafit na tunaoongozwa ni sisi.kwa ufupi hatunaviongozi tuna mavuvuzela kama wewe,yamejaa roho mbaya za wizi uuaji unafiki ,idhambiki,kila kukicha wanjipendekeza kwa mataifa ili waonekane wanafanya kitu kumbe hakuna lolote.habari ndo hiyo wafikishie ujumbe.
 
Kuzuri ni kule usikofika, huu ni msemo mzuri kwa wote mnaolaumu. Mnajua wazi kuwa waafrika wengi toka nchi nyingine za Afrika hukimbilia Bongo na wanaota wapate urai hapa wakati wenyewe tunapalaumu.

Ukitaka kuona uzuri wa Bongo Tembelea nchi nyingine za Afrika uone jinsi ubabe ulivyo baina ya watawala na watawaliwa, baina ya chama tawala na vyama pinzani, sijakwambia juu ya makabila na kadhalika.

Angalia Uganda na uulize Bisigye yuko wapi, kosa lake ni kuwa mpinzani. Mngekuwa nchi nyingine leo akina Mh SLAA na Prof LIPUMBA wapo kizuizini.

Nyie acheni, maana unamtukana Rais peupe bado unapumua, unaweza kwenda kuishi kokote TZ na ukajisikia nyumbani. Uliza habari za wakikuyu na makabila mengine Hapa jirani Kenya.

Msifieni kijana kajitahidi.
 
Najiuliza sana kuhusu alama hizi kama zipo relevant na hali halisi ya sasa. Kwa matukio ya ajabu yaliyotokea mwaka huu, TZ itaporomoka sana kwenye rank hizi. Let's wait and see!
 
Kwani kama ni ya kumi kwa Africa cha maana hapa ni nini? Africa yote inapumulia mashine. Hii ni sawa na mtoto kuwa wa kwanza katika watoto wajinga
 
Hongera sana Jk na SeriKali unayoingoza wapuuze watu waliokosa uzalendo na kutukan kila jema unalofanya.chapa kazi na hata matusi wanayoyatoa humu ni uhuru mkubwa wa utawala wako na serikali unayoingoza .Kuna wapuuzi humu wanadhani nchi yenye kiongozi bora hawanashida hata changamoto .uhalifu wa dunia na kutotii sheria takatifu za Mungu kumepelekea ongezeko la maovu wapuuzi hawa badala ya kujua utimilifu wa unabii wa neno la Mungu wanamlalamikia Rais kama upuuzi wa wanna wa Israel wali vomlilia Musa kwa Uupuuzi wa dhambi zao .
 
Tanzania sio tuna changamoto, sisi tuna shida, tuna taabu tuna dhiki, tuna ugonjwa, tuna ujinga, tuna njaa nk. Hizi si chhangamoto bali ni matatizo. Hapa tuna utawala wa sheria si utawala bora (draconian and kangaroo laws) sie tunajua kuongea na kujisifu kwa vitu trivial and peripheral
 
Back
Top Bottom