Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sina uhakika kama wewe ni member humu kwenye jamvi letu (jf),ila naamini kwa viongozi wa chama taifa tulionao humu mfano Dr.W.Slaa, Z.Z.Kabwe na mjumbe wa halmashauri kuu taifa Dr. Kitila Mkumbo...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kauli mbiu (slogan) ni tungo fupi zenye falsafa ndani yakeambazo hutumiwa kuwasilisha au kujuza kwa urahisi na ufasaha falsafa inayotoamsukumo wa mtu au kikundi cha watu kufanya jambo fulani aidha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamvi ningependa kujulishwa sera za vyama vitatu chadema, cuf na ccm ili niweze kufanya maamuzi na sio kujiingiza katika ushabiki. Tafadhali nawasilisha.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Vijana wengi tunaitaji mabadiliko ya KIUCHUMI,KISIASA NA KIJAMII ila CDM sio chama sahihi cha mabadiliko nasema haya kwa baada kufanya uchunguzi wa kina na kugundua kuwa hiki ni chama ambacho...
0 Reactions
67 Replies
6K Views
Wanaotaka uongozi mpya wa uvccm uondoke madarakani wamekuja na hoja kuwa umri wa mwenyekiti wao ni zaidi ya miak 33 sasa, ameongopa katika elimu yake kuwa ana master's na vile vile alishawahi...
5 Reactions
54 Replies
4K Views
MADAI YA RUSHWA YATAWALA, MALISA, SHIGELLA, BASHE, NYALANDU WATUHUMIWA, MAKONDA ATOA KAULI NZITO MATOKEO ya uchaguzi wa Jumuiya ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) yametangazwa jana...
3 Reactions
52 Replies
5K Views
Nimekuwa nikiangalia taarifa mbalimbali za habari na kuangalia pia picha za huyu jamaa. Nimestushwa zidi kuwa huyu jamaa aliwahi kuwa mwanjeshi! Hilo sio baya sana ila kwa hili la kutumia alama ya...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Wanabodi KATIKA KAMPENI ZA CHADEMA UCHAGUZI MDOGO WA DARAJA 2 LEO ENEO LA KWA KIBOKO MTAA WA JAMUHURI Kamanda Godbless Lema ameeleza maelfu waliohudhuria kampeni hizo kuwa Chama Cha Mapinduzi...
3 Reactions
48 Replies
5K Views
Kuna kauli zinazozungumzwa kila siku kwamba watu wanatakiwa kutenganisha dini na siasa na ugomvi mkubwa kati ya kikundi cha uamsho na serikali ya mapinduzi ya zanzibar ni suala la kutenganisha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wazee maarufu ndani ya Chama cha Mapinduzi, Dr Hassy Kitine,Mzee Ibrahim Kaduma na Mzee Joseph Butiku wametoa ya mwaka walipokuwa wakihojiwa katika luninga Channel 10, jumamosi. Habari hii...
1 Reactions
128 Replies
14K Views
Fellow forum members, I've happened to be following two murder inquiries conducted in Malawi and South Africa We all remember what happened to the striking miners at Marikana South Africa. The...
0 Reactions
1 Replies
851 Views
Wakati kampeni zikendelea mjini bagamoyo!kwa kutembelewa na naibu katibu mkuu wa cdm,hali ya mambo ni tofauti kijijini Tano. Pombe, ubwabwa na nyama vilitawala kwenye maeneo karibu na ofisi ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Fri Oct 26, 2012 7:58am GMT * Separatist group calls for independence from Tanzania * Social, religious issues mirror discontent in Kenya * Police say funded by Arab countries * Instability...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari ndio hiyo, subiri.....subiri mtaula wa chuya....ohooo!! Usipomwandaa mgombea wako leo, wenzako watakupiga bao la kisigino. Wenye nia ya kugombea urais au wale wanaosubiri kuoteshwa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Katibu wa bakwata Mkoa wa Arusha Bw. Abdulkarimu Jonjo akiugulia maumivu katika wodi ya majeruhi ,katika hospitali ya mkoa mount Meru baada ya kulipuliwa na bomu la kutupwa na mkono akiwa amelala...
0 Reactions
100 Replies
10K Views
Mie Mkweche napatashida na kuhuzunishwa na vilio vya Rushwa ndani ya chaguzi za CCM! Mwenyekiti Waoanalalamika,wazee wao wanalalamika,walioshindwa analalamika sasa jamani hii nchi inakwenda wapi...
0 Reactions
0 Replies
930 Views
MWENYEKITI wa Kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), Zitto Kabwe, amemtaka Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ramadhani Dau, kutokuwa katibu wa kamati ya ukaguzi wa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Kampeni za uchaguzi wa ugombea udiwani zimezidi kuwasha moto wakati tukielekea siku ya uchaguzi ambayo ni tarehe 28/10/2012 siku ya Jumapili.Halikadhalika kampeni hizo zimeendelea mkoani Shinyanga...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wote tunashuhudia mambo yote yanayofanywa na Chadema huko kusini(Lindi na Mtwara) kupitia local Television, magazeti na kwenye mitandao ya kijamii. Ukweli ni kwamba Chadema imepokelewa na...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Wadau, Leo jioni nimemsikia Mdau Maggid Mjengwa akichangia kwenye mjadala ulioendeshwa na Idhaa ya Kiswahili ya BBC kuhusu vurugu za kidini zilizoibuka hivi karibuni Dar es Salaam na Zanzibar...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…