Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Siku ya jana ilikuwa ngumu na kipekee kwa vijana wa CCM hasa ulipowadia wakati wa uchaguzi na hasa baada ya kudondoshwa kwa kipenzi cha mtoto wa Raisi A.S HAPI. Mgombea huyu aliyetajwa kuungwa...
2 Reactions
29 Replies
5K Views
Kampeni Mbeya Watu Wajeruhiwa,Wana JF nimezikuta picha na taarifa hizi kwenye mjengwa blog, kama kuna mwenye taarifa rasmi tunaomba atuhabarishe, ikiwa ni kata gani, ni mkutano upi na maeneo gani...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hi wanaJF, napenda kufahamu ni lini taasisi ya uchaguzi Tanzania-NEC, itaanza mchakato wa kusajili na kutoa ID cards za kupigia kura? Kumekuwepo na chaguzi za dharula, na bado zitaendelea kuwepo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
  • Closed
Kwa kuwa Katiba ya Tanzania ya 1977 inaniruhusu kutoa maoni yangu alimradi sivunji sheria, na kwa kuwa slogan/ motto/ kaulimbiu ya JF ni "where we dare to talk openly", basi napenda kusema haya...
10 Reactions
895 Replies
96K Views
* Waislam wataka wimbo wa Taifa ubadilishwe kwani ni wa Kikristo na pia siku za mapumziko zibadilishwe ! * Wakristo nao hawataki mahakama ya kadhi, OIC na uvaaji wa hijab mashuleni. Source: Habari...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
1. Tuwe na vyama vya siasa visivyozidi 3. 2. Viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wa nchi marufuku kuwa wanasiasa wala kuteuliwa katika nyadhifa mbalimbali ndani ya serikali. 3...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau nitawapa picha na updates zote baadae kidogo.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za Asubuhi Wakuu, Jumapili ya leo tutaangazia kuhusu GHARAMA ZA KUENDESHA VYAMA VYA SIASA NA RUSHWA KATIKA SIASA NCHINI TANZANIA. Mswaada huu uliwasilishwa na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Ujio wa mweshimiwa Rais wa jamuhuri wa Tanzania wilayani same ni furaha kwangu, kwani wenyeji wa huku tutapata fursa ya kumuelezea matatizo yetu ikiwepo shida ya maji,,,, kwani mbunge wetu Matayo...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mkutano wa kampeni za uchaguzi zimehitimishwa leo katika kata ya daraja mbili. Kwa upande wa chadema mkutano ulihudhuriwa na viongozi Godbless Lema (kiboko ya magamba), Katibu wa mkoa Amani...
2 Reactions
52 Replies
5K Views
Ndugu zangu kila mmoja wetu hasa mtanzania anajua hali ya nchi kisiasa pamoja na maisha duni ya wananchi kwa sasa. Kwa upande wangu ninaona ili kuondokana na haya matatizo ni kuhakikkisha cdm...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika taarifa saa mbili usiku TBC, waziri Nchimbi anasema si haki kusema makanisa yaliporwa na waislamu, ila ni wahuni tu. Je kama hivyo ndivyo ilivyo je kuna haja gani ya kuzuia mihadhara ya...
4 Reactions
74 Replies
6K Views
  • Closed
Kuna News ya Uhakika kuwa Mkuu wa Wilaya ya Lushoto Bw.Majjid Mwanga kaachia kazi ya U DC na inasemakana atakayeshika hiyo nafasi ni DC wa Korogwe Bwana Mrisho Gambo... U DC ni kazi ya...
3 Reactions
44 Replies
5K Views
SIKU chache kabla ya kikao cha Bunge kuanza mjini Dodoma, zimeibuka taarifa kwamba mmoja wa wabunge aliyekuwa mjumbe wa Kamati ya Nishati na Madini iliyovunjwa alishiriki kikamilifu kuendesha...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Huu umati wa watu ! Yaani hamna hata haja ya kwenda kwenye vituo vya kura mnashinda kilainiiiiiii!!!!!!!!
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Wanajamii huku makete thamani ya kura imekuwa pombe za kienyeji baada ccm kununua pombe zote za kienyeji kwenye vilabu ,wanavijiji huku wametoka majumbani kunywa pombe za kienyeji kwenye vilabu na...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Toka aingie madarakani amekuwa akilisema sana hili la mtu kuamua aidha biashara au siasa (na uongozi wa umma). Na sasa anasema wanaandaa muswada wa hilo Swali langu ni kuwa, ikiwa...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Mh Godbles Lema ambae anasubiria "ruling" ya rufaa yake kupinga kuvuliwa ubunge katika maamuzi tata ya Mahakama Kuu Kanda ya Arusha akiwasindikiza kwa macho wakishuka jukwaani kinamama watatu...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hawa wazanzibari wameona huku kwetu Tanganyika ni chooni ambapo wanaweza kuingia na kutoka lakini kwao huko ni master bedroom haingii Kila mtu. Sasa mimi najiuliza wabara wangapi wako huko na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jana ilikuwa sikukuu ya EID. Rais wetu wa Z'bar alikagua gwaride rasmi la Jeshi la Polisi kabla ya kuhutubia baraza la EID. Swali langu, hivi hufanya hivyo hata kwenye sikukuu za x-mas au pasaka...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…