Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya ALPHA na mfanyabiashara maarufu ambaye ni mwanasiasa maarufu na Waziri Mkuu mstaafu/aliyejiuzulu anaweza kuingia mtego wa Berlusconi wa Italia, endo TRA...
Binafsi nachukizwa na hali inayoendelea Tanzania ya machafuko yanayotokana na maandamano na vurugu za kisiasa(CHADEMA)
Nikitolea mfano wa mauaji yaliyotokea jana Iringa kwa kumpoteza mwandishi wa...
The TIME For Action With Honour
Peace be unto you. I AM SANANDA and I COME IN SERVICE UNTO THE MOST HIGH GOD OF LIGHT,ATON. I COME AS LIGHT1 I AM!
[A;Nimeona jana jinsi UVCCM walivyozipiga...
Majemedari wa Umoja mpya wa Vijana CCM (UMVCCM) sasa kutikisa nchi, katika harakati ya kukikomboa chama kutoka katika Mikono ya Mafisadi. Kwasasa mipango kabambe ya kukirudisha chama mikononi mwa...
Wadau,
Sawa,EL anautaka sana Urais wa JMT kwa udi na uvumba, hii inafaahamika.
Na anatumia sana hela kuweka watu wake kwenye nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya CCM ili kujirahisishia njia...
Salamu wakuu,
nipo kata ya daraja mbili arusha najiandaa kwenda kupiga kura yangu.
Hali naona ni shwari,watu wengi ndio wanajiandaa kwenda kutimiza haki yao ya msingi.nitaendelea kuleta update...
uchaguzi wa diwan wilayan momba watia fora askari apigwa jiwe na wanachadema pia mwana ccm apigwa jiwe alazwa kamsamba n baada ya wana ccm kupita maeneo ya karibu na kampen za chadema mida ya saa...
UVCCM walivyowapokea viongozi wao wapya - kwa mabango na kichapo - katika ofisi za Makao Makuu ya Umoja huo leo. (picha, maelezo - blogu ya Utakapojua Hujui Ndipo Utakapojua)...
Nimezunguka kwenye kata mbili, Daraja mbili- Arusha mjiji na Bangata-Arumeru Magharibi. Tangu Asubuhi watu wamemiminika vituoni na katika Hali ya kutaharuki ccm walitaka kuwafanyia vurugu Lema na...
Jana nilipita maeneo ya Fire, kwa bahati mbaya nikakutana na kampeni za CCM zilizokuwa zikiendela maeneo ya Fire, kwa kuwa sikuwa na vitendea kazi nikabahatika kupiga tupicha hutu tuwili kama...
Ndugu Zitto Kabwe ambaye hivi sasa yuko Rombo kwa ajili ya kufunga campaign za udiwani kata ya Nanjarareha amehamasika na ukuaji wa mji wa Moshi na haswa mapokezi aliyoyapata kule Rombo na kukiri...
Ansbert Ngurumo
WIKI mbili zilizopita nilizungumzia magonjwa kadhaa ya CCM ambayo nilionya wana CHADEMA wajihadhari nayo.
Nilizungumzia sumu ya makundi hasimu, na matumizi mabaya ya...
Ndugu zangu, juzi niliposti ombi langu la patch/ key ya internate adownload Manager (IDM) lakin kimsingi sijapata taarifa yoyote toka kwenu. Tafadhalini sana siku ilobaki kwangu ni kesho, naomba...
Mkutano wa kampeni za uchaguzi zimehitimishwa leo katika kata ya daraja mbili.
Kwa upande wa chadema mkutano ulihudhuriwa na viongozi Godbless Lema (kiboko ya magamba), Katibu wa mkoa Amani...
Dr Slaa atakuwa mgeni rasmi katika mahafali ya darasa la saba Queens' schools (Nursery and Primary) iliyopo Ukonga Dar es Salaam. Shule hiyo ipo karibia na kituo cha Polisi Sitakishari njia panda...
Wakuu,
Habari nilizozipata punde ni kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA tawi la Mwawaza katika Manispaa ya Shinyanga (jina sijalipata vema) amechomwa mkuki usiku wa kuamkia leo mpaka utumbo ukatoka nje...
Siku ya jana ilikuwa ngumu na kipekee kwa vijana wa CCM hasa ulipowadia wakati wa uchaguzi na hasa baada ya kudondoshwa kwa kipenzi cha mtoto wa Raisi A.S HAPI. Mgombea huyu aliyetajwa kuungwa...
Kampeni Mbeya Watu Wajeruhiwa,Wana JF nimezikuta picha na taarifa hizi kwenye mjengwa blog, kama kuna mwenye taarifa rasmi tunaomba atuhabarishe, ikiwa ni kata gani, ni mkutano upi na maeneo gani...