Tupeni tathmini, upepo wa ushindi CHADEMA ukoje katika kata hizi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tupeni tathmini, upepo wa ushindi CHADEMA ukoje katika kata hizi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kashaijabutege, Oct 17, 2012.

 1. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  1.Bangata-Arusha
  2.Darajambili-Arusha
  3.Msalato-Dodoma
  4.Mpwapwa-Mpwapwa
  5.Magomeni-Bagamoyo
  6.Lwenzera-Geita
  7.Bugarama-Kahama
  8.Mwawaza-Shinyanga
  9.Vugiri-Korogwe
  10.Tamsta-Lushoto
  11.Makata-Liwale
  12.Mneromiembeni-Nachingwea
  13.Mlangali-Ludewa
  14.Luwumbu-Makete
  15.Mpepai-Mbinga
  16.Mletele-Songea
  17.Ipole-Sikonge
  18.Kiloleli-Sikonge
  19.Miyenze-Tabora
  20.Karitu-Nzega
  21.Mpapa-Mbozi
  22.Myovizi-Mbozi
  23.Lubili-Misungwi
  24.Kilema-Kusini-Moshi
  25.Nanjarou/Reha-Rombo
  26.Mtibwa-Mvomero
  27.Mahenge-Ulanga
  28.Likokona-Nanyumbu
  29.Kitangiri-Newala

  Ningefurahi kujua kama CHADEMA kimesimamisha wagombea katika kata zote, na kama ni hivyo, tupatiwe orodha ya wagombea. Je CDM makao makuu wametuma timu za kutia nguvu katika kila kata?

  Je katika kata hizi 29, kuna kata ngapi ambazo CHADEMA wanatetea zibaki mikononi mwao?
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mimi nataka kujua huko mahenge.
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye rangi nyekundu nimefatilia kwa siku mbili kameni za kata hizo upepo ni mzuri sana kwa chadema....
   
 4. M

  Malata Junior JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,778
  Likes Received: 1,201
  Trophy Points: 280
  kilema kusini moshi CDM itashinda kwa asilimia 75.
   
 5. s

  sokoinei JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,835
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mi sisemi muamuz dakika90
   
 6. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kama chaguzi zitakuwa fair maeneo mengi tutafanya vizuri.
   
 7. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  23.Lubili-Misungwi
  24.Kilema-Kusini-Moshi
  25.Nanjarou/Reha-Rombo
  26.Mtibwa-Mvomero
  27.Mahenge-Ulanga
  28.Likokona-Nanyumbu
  29.Kitangiri-Newala

  Ningefurahi kujua kama CHADEMA kimesimamisha wagombea katika kata zote, na kama ni hivyo, tupatiwe orodha ya wagombea. Je CDM makao makuu wametuma timu za kutia nguvu katika kila kata?[/QUOTE]
   
 8. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,047
  Likes Received: 3,078
  Trophy Points: 280
  kwa ipole-sikonge ushindi CDM ni 75% na kiloleli bado ni 50%,kutoka juu na mkoani hatujapata sapoti yoyote so far.
   
 9. M

  Molemo JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Tutaomba mkuu Tumaini Makene atusaidie hili.
   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mtu sahihi wa kukupa ukweli ni mtu anaefika mwenye mikutano tena ni vizuri ukaenda mikutano yote na ukipata kuongea na baadhi ya wakazi wa maeneo husika ni vizuri zaidi...
   
 11. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,318
  Likes Received: 10,371
  Trophy Points: 280
  Hivi kunawagombea wa chadema kata zote?
   
 12. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Tunaomba majibu ya msingi:

  1. CHADEMA kimesimamisha wagombea katika kata zote? Ni kina nani?
  2. Je, kuna uratibu kutoka makao makuu ili kusaidia kampeni katika kata husika?

  Binafsi nimechoka kusikia Darajambili kila siku!

  Chaguzi hizi ndogo ni kiashirio (inference) cha hali ya kiasa sasa hivi na hata itakavyokuwa mwaka 2014. Tuache siasa za mitandaoni, tufanye kazi.
   
 13. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,318
  Likes Received: 10,371
  Trophy Points: 280
  Kaka sikia nikuambie CHADEMA ni Arusha mjini, Moshi Mjini,labda Mbeya Mjini kwine hakuna kitu. Wanataka kuwaaminisha wananchi tu lakini bado hawajajipanga. Wakipata ka kata kamoja basi kelele hizo.

  NB: Hawawezi kuchangia thread hii maana iko direct.
   
 14. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Bila uratibu mzuri, ushindi sio rahisi kiasi hicho. Kampeni nazo zinachangia sehemu kubwa ya ushindi.
   
 15. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #15
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  CHADEMA imesimamisha wagombea BORA kwenye kata zote hizo,hadi sasa tuna 80% ya kata zote hizo
  Kata za Arusha,Bangata na Daraja mbili wagombea wa CHADEMA wanasubiri kuapishwa tu.
   
 16. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,318
  Likes Received: 10,371
  Trophy Points: 280
  Tatizo hujaelewa swali.
  Hebu jibu swali la msingi. Sema kweli! Wamesimamisha wagombea kata zote? Taja majina, Je wataenda kupiga kampeni?
  La sivyo itakuwa propaganda
   
 17. H

  Hiraay Member

  #17
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa maoni yangu kata zifuatazo ni ngumu CDM kuzichukua:

  Vugiri - Korogwe
  Tamsta- -Lushoto
  Makata- -Liwale
  Mpepai - Mbinga
  Ipole - Sokonge
  Kiloleli - Sikonge
  Miyenze - Tabora
  Lokokona - Nanyumbu
   
 18. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #18
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  cdm wako sawa sawa sana kikampeni hasa arusha na moro.
   
 19. ABEDNEGO CHARLES

  ABEDNEGO CHARLES JF-Expert Member

  #19
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Kuna uwezekano mkubwa CDM kushinda Msalato-Dodoma. Mashambulizi yanayoongozwa na Mh John Mnyika yamekaa vizuri.
   
 20. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #20
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mvomero nimetoka huko jumapili. hali ni mbaya sana kwa magamba japo makala anagawa hela kama njugu. Cdm itatetea kiti chake kwa ushindi mnono. Ikumbukwe kiti kilikuwa wazi baada ya diwani wa chadema kufariki dunia.
   
Loading...