Live UPDATES: UCHAGUZI WA DIWANI KATA YA DARAJA MBILI, ARUSHA. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Live UPDATES: UCHAGUZI WA DIWANI KATA YA DARAJA MBILI, ARUSHA.

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Arushaone, Oct 28, 2012.

 1. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,371
  Likes Received: 629
  Trophy Points: 280
  Heshima kwenu wote, sasa maofisa wa tume ya uchaguzi wameanza kuja na baadhi ya polisi nao naona wanaingia. Kupiga kura kutafuata baadaye saa moja.
   
 2. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  kila la heri, haki itendeke wapiga kura wapate waliyemkusudia
   
 3. K

  Kwayu JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 487
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Safi sana kamanda! Mtujuze mwenendo mzima wa upigaji kura kamanda!
   
 4. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mungu ibariki tanzania vurugu tu ndo hatutaki kusikia pande zote zimekubali matokeo
   
 5. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kumbuka kupiga kuraa na kulinda kura

  otherwise kila heri katika uchaguzi huu
   
 6. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,371
  Likes Received: 629
  Trophy Points: 280
  Mkuu Duble Chris bahati mbaya mimi sio mpiga kura wa hap, ila nimekuja kulinda kura wasije tuibia.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kama wewe ni wakala mchunge sana wakala wa ccm,cuf na msimamizi wa tume wote lao moja..
   
 8. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,212
  Likes Received: 10,550
  Trophy Points: 280
  Update ni kitu muhimu sana zikiambatana na picha..
   
 9. M

  Molemo JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Kupiga kura bila kuilinda hakuna maana yoyote
   
 10. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  “Mwizi siku zote huwa anaona wenzake nao ni wezi“
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Tunafatilia hapa tupo pamoja kiongozi.......
   
 12. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  kamanda kwa kuwa huo ni ukanda wako natarajia usogee karibu na kutupa updates na pia kuwatahadharisha makamanda wanaosimamia kura zetu mkuu! huwa na appreciate sana kazi yako!
   
 13. Jangakuu

  Jangakuu JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 497
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  musisahau kulinda kura wakuu, musikae mbali mpaka kieleweke
   
 14. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  hahaha Rejao bana!! bado una gamba halija kuelemea??
   
 15. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,371
  Likes Received: 629
  Trophy Points: 280
  Mkuu Crashwise siko kwenye uwakala ila nimeamua ku-volunteer na ku-mobilize vijana tulinde kura. Tuko hapa kuiadabisha CCM.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,418
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  kwisha habari yenu magamba,ni wakati wenu wa kulia na kusaga meno!
   
 17. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kulinda kura ni muhimu.
   
 18. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  m4c ni mwanzo na mwisho
   
 19. C

  Concrete JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Lazima tuwakamue magamba mpaka wakimbie Arusha.
   
 20. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Safi sana mkuu hawa majambazi usipo jipanga wanawaliza mchana kweupe nakumbuka uchaguzi wa Arumeru kuna mwenyekiti wa mtaa alijidai kutishia watu vijana walimfanyiakazi natumaini hata kaa arudia ujinga huo...
   
Loading...