Dr Slaa Kuwa Mgeni Rasmi Mahafali Darasa la Saba Queens' Schools

matasha

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
378
400
Dr Slaa atakuwa mgeni rasmi katika mahafali ya darasa la saba Queens' schools (Nursery and Primary) iliyopo Ukonga Dar es Salaam. Shule hiyo ipo karibia na kituo cha Polisi Sitakishari njia panda ya Segerea kama unatokea maeneo ya Uwanja wa Ndege. Kama unatokea Tabata ukifika Mbuyuni elekea njia ya Airport na ukivuka tu daraja utaona kibao cha Queens, kama unatokea upande mwingine ni kabla hujavuka daraja.

Wananchi wote mnakaribishwa na hasa wale wenye watoto wanaotarajia kujiunga mwaka 2013. Shule hii ilipewa cheti cha pongezi mwaka jana kufaulisha wanafunzi wote na inafanya vizuri sana katika taaluma. Karibu umsikilize Dr wa ukweli, njoo ujionee shule iliyopania kukijenga kizazi kipya chenye fikra mpya.

Mahafali yataanza saa 4 asubuhi kesho jumapili tarehe 28/10 na kutakuwa na burudani lukuki.

Source: Tangazo lililotolewa na uongozi wa shule hiyo makini
 
bila shaka ni ya watu binafsi hii ?
Naifahamu mtoto wangu alisoma pale alifanya vizuri sana. ndio ni ya binafsi na ni English Media. Naupongeza uongozi wa shule hiyo kwa kuwa bold kuweza kumwalika kiongozi wa upinzani kwani wengi ni waoga. Hii inafungua ukurasa mpya wa Tanzania kuwa hata wapinzani pia wanaweza kualikwa kama wageni rasmi maeneo mbalimbali bila woga
 
itakuwa ya kanisa hio
By default kama inaperform vizuri hadi kupata barua ya pongezi ujue ina connection na kanisa, na sio msikiti.
Kuna msikiti pale Soko la Kilombero Arusha, watoto wa umri huo wanafundishwa Judo na Karate, ukipita jirani unasikia Huu-haaa! Najiuliza hatima ya hao watoto itakuwa nini.
Wakati huo wenzao wako darasani wanakata mapythagoras theorem na schrodinger`s theorem.
 
hahaha yale yale madrasa ni shule sema kwa lugha tofauti, ni sawa sawa na school na shule naona hilo hulijui, halafu hizo karet na judo utajua faida yake soon ww kunywa tu bia na jumapili nenda kanisani kanywe divai na mkate wa kinyesi sio mm msemaji ni biblia, halafu sooner than u thnk utakuja kuona nchi inaongozwa na kina nani
 
ndio maana wamesema shule ?
Ingekuwa sio ya kanisa c ungeona wameandika Dr slaa kuwa mgeni rasmi madrasa ?
Jiongeze kufikili ?

Dah! Kuna great thinkers humu sio mchezo! Sina cha kuongeza Mkuu. Ha ha ha ha ha ha!
 
Naijua ni ya kanisa na haijaanza mda mrefu sana,ni nzuri kwa taaluma kwa kweli.
 
Dr Slaa atakuwa mgeni rasmi katika mahafali ya darasa la saba Queens' schools (Nursery and Primary) iliyopo Ukonga Dar es Salaam. Shule hiyo ipo karibia na kituo cha Polisi Sitakishari njia panda ya Segerea kama unatokea maeneo ya Uwanja wa Ndege. Kama unatokea Tabata ukifika Mbuyuni elekea njia ya Airport na ukivuka tu daraja utaona kibao cha Queens, kama unatokea upande mwingine ni kabla hujavuka daraja.

Wananchi wote mnakaribishwa na hasa wale wenye watoto wanaotarajia kujiunga mwaka 2013. Shule hii ilipewa cheti cha pongezi mwaka jana kufaulisha wanafunzi wote na inafanya vizuri sana katika taaluma. Karibu umsikilize Dr wa ukweli, njoo ujionee shule iliyopania kukijenga kizazi kipya chenye fikra mpya.

Mahafali yataanza saa 4 asubuhi kesho jumapili tarehe 28/10 na kutakuwa na burudani lukuki.

Source: Tangazo lililotolewa na uongozi wa shule hiyo makini

View attachment 69485 MPAKA CAROLITE naye atakuweko?
 
Hebu tudokeze kidogo kuhusu karo yake kwa mwaka. Najua itakuwa inazidi kwa mbali ile anayolipa mwanachuo wa UDSM! Ni lini tutakuwa na chombo kama TCRA(kwenye mawasiliano), SUMATRA(kwenye usafiri na uchukuzi), EWURA(kwenye nishati na maji), ..., kwenye ELIMU yetu? Au kwa kuwa hii ni miradi ya wakubwa?
 
Nauliza hivi shule za Msikiti ziko wapi jamani, nataka nimpeleke mwanangu huko!
Na je ufaulu wake ukoje?

st marys ambazo ndio wanaoiba umeme sana haopa nchini,st peter wanaoiba mitihani sana hapa nchini na junior seminary inayotoa mapadre sana hapa nchini ambao wengi kwa sasa ni viongozi wa chadema
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom