Kampeni za udiwani Arusha: CCM maji ya shingo Daraja 11

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,171
3,346
Photo0016.jpg

Photo0017.jpg

Jana nilipita maeneo ya Fire, kwa bahati mbaya nikakutana na kampeni za CCM zilizokuwa zikiendela maeneo ya Fire, kwa kuwa sikuwa na vitendea kazi nikabahatika kupiga tupicha hutu tuwili kama zawadi ili mjionee jinsi hali ilivyo maji ya shingo kwa CCM. Hapo ilikuwa ni saa kumi na moja na nusu hali ilikuwa hivyo!!!!

CCM isipokuwa makini itashindwa vibaya katika uchaguzi huo wa udiwani Daraja Mbili.
 
Picha yenyewe inaonesha wameshashindwa.

View attachment 68819

Jana nilipita maeneo ya Fire, kwa bahati mbaya nikakutana na kampeni za CCM zilizokuwa zikiendela maeneo ya Fire, kwa kuwa sikuwa na vitendea kazi nikabahatika kupiga tupicha hutu tuwili kama zawadi ili mjionee jinsi hali ilivyo maji ya shingo kwa CCM. Hapo ilikuwa ni saa kumi na moja na nusu hali ilikuwa hivyo!!!!

CCM isipokuwa makini itashindwa vibaya katika uchaguzi huo wa udiwani Daraja Mbili.
 
Hao unaowaona hapo wako kura posho tu, wakinyimwa posho nao hawaji ng'o kwenye mkutano.
 
Japo kuona ni kuamini, na pia japo sipo hapo eneo la tukio, nakiri picha ni za kweli, sio photoshop, ila bado siamini kama ni kweli the timing inayoelezwa na mtoa mada ni timing ya ukweli!. Japo ni kweli CCM iko hoi bin taaban kwenye baadhi ya maeneo, lakini sio kweli kuwa ndio iko hoi kihivyo tunavyoonyeshwa humu na kutaka tuaminishwe!.

Ukiwa ni mtetezi wa ukweli, unakuwa tayari kwa matokeo!, mtakao niita gamba, niiteni tuu ila siku zote ukweli utasimama!.
P.
 
Mkuu,
Tumekuwa tukiripoti matukio mbalimbali na picha yanayoonesha hali halisi ya kisiasa kati ya cdm na ccm hapa Arusha. Najua ni vigumu kwa watu wa mikoani kuamini ukweli wa mambo. Niseme tu kwamba, hali ya ccm hapa Arusha ni mbaya zaidi ya chama hicho huko Pemba. Leo hii imekuwa ni aibu kubwa kujitambulisha kuwa ni mwana ccm hapa Arusha. Watu wanakushangaa kabisa! Ndio maana naamini kama uchaguzi utakuwa huru na haki, ccm haiwezi kushinda hata kiti kimoja hapa jijini. Tusubiri ya daraja ll
 
Pia kuna uwezekano kwa baadhi ya vyama vya upinzani ambao vyenyewe vimejipanga kuwa ni ni vyama vya upinzani vya kudumu!.
Mkuu Pasco,
Hiyo ipo sana tu,kama unaona kuna baadhi ya vyama hata havijishughulishi kujenga vyama vyao wala kukuza network ya vyama,kwa mazingira hayo ni obviously vitaendelea kuwa ni vya upinzani vya kudumu.Lakini vizazi hubadilika pia so wanaweza kuja wengine wakajikita ktk kutaka kuchukua dola yamkini mimi na wewe tusiwepo.
 
Japo kuona ni kuamini, na pia japo sipo hapo eneo la tukio, nakiri picha ni za kweli, sio photoshop, ila bado siamini kama ni kweli the timing inayoelezwa na mtoa mada ni timing ya ukweli!. Japo ni kweli CCM iko hoi bin taaban kwenye baadhi ya maeneo, lakini sio kweli kuwa ndio iko hoi kihivyo tunavyoonyeshwa humu na kutaka tuaminishwe!.

Ukiwa ni mtetezi wa ukweli, unakuwa tayari kwa matokeo!, mtakao niita gamba, niiteni tuu ila siku zote ukweli utasimama!.
P.
Pasco niamini mimi ninachokuambia ni kweli, siku hiyo nilikuwa nataka nipite shortcut njia ya Fire ili niende home ....
Kwa bahati mbaya sana ninakuta barabara hiyo imefungwa ikanibidi niendelee na njia nyingine ambayo niliwahi kupita kitambo kidogo. Kwa bahati mbaya nikapotea njia, wakati narudi ndiyo nikakutana na mkutano huo ambapo ilikuwa ni saa kumi na moja inakimbilia na nusu. Kama nilivyotanguliza sikuwa na camera ambayo ningweza kuset date & time ili kukuamininisha wewe na wengine waliojenga nadharia ya uchakachuaji. Picha hizo zote nilipiga kwa simu ya mkononi.
Pasco naomba uamini hizo picha ni za kweli na hakuna uchakachuaji hapo.
 
Last edited by a moderator:
Chama cha vikongwe nao wengi wanangoja kufa na wengine wagonjwa huo ni ushindi kwa vijana wenye nguvu cdm
 
Back
Top Bottom